Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi nadhani Big Sam atakuja tofauti na mwaka jana. Mwaka jana hakuwa na timu nzuri kabisa. Mwaka huu Kawa na timu nzuri sana. Nadhani atataka kuwa adventurous. Na hilo litamgharimu dearly.

Sakho,Valencia na Carol ni watu wabaya mno kwa sasa!Jiandaeni tu kisaikolojia kama kuna lolote baya litatokea
 
Ni kweli mkuu!

Msimu uliopita hawa Wagonga nyundo walipaki bus darajani wakapata sare! Sasa Nafikiri ata safari Hii watakuja na mfumo Huo Huo Wa kupaki bus! Ila ninacho kiona ktk Huo mchezo hawa Wagonga nyundo watashambuliwa sn tena sn!

Sio mechi rahisi hii hata kidogo!Song pale katikati ni shida
 
Kweli kabisa battle ya Song na Matic haitakuwa ya kitoto, hii game Mikel anaweza akaanza tena ili akamsaidie Matic pale katikati

Maana kuna akina Valencia ambao wanatakiwa wakabwe vizuri, ili wasiweze kufikisha mipira kwa akina Carol na Sakho
 
RRONDO sorry kwa kuchelewa kujibu post yako Hii! Unajua ukiwa na kocha mzuri anaeifahamu kz yake vzr na anaefahamu Wachezaji wake vzr na kwamba wapi amtumie nani na nani amuache! Kocha km Huyu lazima timu ipate matokeo mazuri! Mimi ktk Huo mchezo na Stoke pongezi zangu nyingi nazipeleka kwa Jose Mourinho kwa kuijua kz Yake vema!

Asante sn mkuu!

Ntuzu Manumbu agosti 8 hii game jana nimeiangalia yote....kwa ule mziki wa stoke city timu ambayo inaweza kutoka mechi ya jana ni Chelsea tu....game ilikuwa tough and too physical lakini chelsea hilo haliwasumbui plus technical ability za akina fabregas,hazard,willian kweli mwaka huu kuwasimamisha chelsea ni kazi sana....mtu mmoja tu jana alikuwa anawakwamisha wenzie ni Mikel,naona Mourinho alimpanga ili kuimarisha ulinzi na physical presence kwenye kikosi chake..

ila hongereni mechi ya jana timu legelege haitoki pale...nafikiri tutaenda pale muda si mrefu ni shida!!!!
 
Last edited by a moderator:
RRONDO sorry kwa kuchelewa kujibu post yako Hii! Unajua ukiwa na kocha mzuri anaeifahamu kz yake vzr na anaefahamu Wachezaji wake vzr na kwamba wapi amtumie nani na nani amuache! Kocha km Huyu lazima timu ipate matokeo mazuri! Mimi ktk Huo mchezo na Stoke pongezi zangu nyingi nazipeleka kwa Jose Mourinho kwa kuijua kz Yake vema!

Asante sn mkuu!

mkuu ule mziki wa jumatatu usiku sio mchezo.....yaani stoke city wameweka msuli wakachemsha,wakaja kwenye ufundi wakachemsha!!!! Mourinho katengeneza timu ngumu kuliko ile aliyochukua nayo ubingwa mara mbili....unajua game kama stoke city inakuwa ni battle na sio ufundi sana sasa ukiwa na timu inayoweza kubattle kama chelsea ndio ufundi unachukua nafasi yake na tofauti inaoneka lakini kama hutaweza ku-battle na mijitu kama stoke city hata ufundi wako unaweza usikupe ushindi ndio maana arsenal akienda kule kamasi zinamtoka pale hamna mpira kwa sana ni vita tu mpira kidogo....mwaka mpya tunaingia pale sina la kusema mpaka hio mechi iishe...na sisi at least kuna fighters akina rooney,fellaini,carrick labda tunaweza kushindda hio vita!!!
 
Tutawafunga Westham bila shaka; najua Hazard atapumzika au huenda ataanzia benchi maana juzi wamemuumiza sana; ila Oscar na Fabregas watakuwepo kuongeza akili kwenye timu; Matic na Mikel pale kati kuongeza 'msuli'; maana West Ham hawana tofauti sana na Stoke.

Mbele kama kawaida Diego; ..

tunahitaji kufikia 45 mapema mchana; maana sisi ndo mechi y kwanza ijumaa..

Ni kweli mkuu!

Msimu uliopita hawa Wagonga nyundo walipaki bus darajani wakapata sare! Sasa Nafikiri ata safari Hii watakuja na mfumo Huo Huo Wa kupaki bus! Ila ninacho kiona ktk Huo mchezo hawa Wagonga nyundo watashambuliwa sn tena sn!
 
Stoke wanacheza mguu wa kichwa mguu wa shingo; utadhani uwanjani hakuna refa....

mkuu ule mziki wa jumatatu usiku sio mchezo.....yaani stoke city wameweka msuli wakachemsha,wakaja kwenye ufundi wakachemsha!!!! Mourinho katengeneza timu ngumu kuliko ile aliyochukua nayo ubingwa mara mbili....unajua game kama stoke city inakuwa ni battle na sio ufundi sana sasa ukiwa na timu inayoweza kubattle kama chelsea ndio ufundi unachukua nafasi yake na tofauti inaoneka lakini kama hutaweza ku-battle na mijitu kama stoke city hata ufundi wako unaweza usikupe ushindi ndio maana arsenal akienda kule kamasi zinamtoka pale hamna mpira kwa sana ni vita tu mpira kidogo....mwaka mpya tunaingia pale sina la kusema mpaka hio mechi iishe...na sisi at least kuna fighters akina rooney,fellaini,carrick labda tunaweza kushindda hio vita!!!
 
cc. Ntuzu; West Ham ni wagumu kuliko Stoke City; tunapaswa kuimarisha sana ulinzi; kumbuka kuna washambuliaji wazuri West Ham kuliko Stoke; angalia mfano wa Andy Carrol; na Diafra Sakho na pia Valencia; ..yaani kiungo pia wako vizuri sana tu; akina Song na Noble na Nolan..mkuu tunahitaji kutumia nafasi zetu vizuri ili tushinde mechi ya ijumaa la sivyo itakuwa kama Newcastle;

ila najua DIEGO atafunga ...

Febregas kama kawaida yake;..ni assists kwa kwenda mbele..

CESC amecheza mechi 16 katoa assists 12.
JACK WILSHERE mechi 95 katoa assists 11.

sasa nadhani mnaelewa nazungumzia nini;
 
Mkuu unavyosema ni kweli! Mourinho amejenga timu ambayo inaweza kucheza mpira Wa aina yoyote ile

Mimi namuamini sn Van Gaal! Anafahamu kz yake vzr! Km Ukiangalia big game zote mlizocheza Van Gaal Alikua ameiandaa timu vzr! Kwa maana Hiyo km atawaanda vzr Wachezaji wake Mtapata matokeo mazuri tu!

mkuu ule mziki wa jumatatu usiku sio mchezo.....yaani stoke city wameweka msuli wakachemsha,wakaja kwenye ufundi wakachemsha!!!! Mourinho katengeneza timu ngumu kuliko ile aliyochukua nayo ubingwa mara mbili....unajua game kama stoke city inakuwa ni battle na sio ufundi sana sasa ukiwa na timu inayoweza kubattle kama chelsea ndio ufundi unachukua nafasi yake na tofauti inaoneka lakini kama hutaweza ku-battle na mijitu kama stoke city hata ufundi wako unaweza usikupe ushindi ndio maana arsenal akienda kule kamasi zinamtoka pale hamna mpira kwa sana ni vita tu mpira kidogo....mwaka mpya tunaingia pale sina la kusema mpaka hio mechi iishe...na sisi at least kuna fighters akina rooney,fellaini,carrick labda tunaweza kushindda hio vita!!!
 
cc. Ntuzu; West Ham ni wagumu kuliko Stoke City; tunapaswa kuimarisha sana ulinzi; kumbuka kuna washambuliaji wazuri West Ham kuliko Stoke; angalia mfano wa Andy Carrol; na Diafra Sakho na pia Valencia; ..yaani kiungo pia wako vizuri sana tu; akina Song na Noble na Nolan..mkuu tunahitaji kutumia nafasi zetu vizuri ili tushinde mechi ya ijumaa la sivyo itakuwa kama Newcastle;

ila najua DIEGO atafunga ...

Febregas kama kawaida yake;..ni assists kwa kwenda mbele..

CESC amecheza mechi 16 katoa assists 12.
JACK WILSHERE mechi 95 katoa assists 11.

sasa nadhani mnaelewa nazungumzia nini;

Siku zote derby yoyote ile hua ngumu sn Lkn mimi Naona km huu mchezo Utakua mgumu na rahisi Sio km Ule wa Stoke! Maana wao watakuja darajani kwa tahadhari kubwa tofauti na Sisi tutacheza ili kushinda! Pamoja na kua west ham wako na baadhi ya Wachezaji wazuri hasa ktk viungo na washambuliaji Lkn wao watakua na kz kubwa ya kutuzuia Sisi!
 
Ramires hajawa fiti kabisa; lakini uzuri wa RAMIRES ni kwamba timu itakuwa kasi...ni box to box midfielder huyu kijana. Tatizo moja ni rafu...

MIKEL ni mzuri; lakini ananiudhi jambo moja tu; anachelewesha sana mipira;..yuko slow..

Alaf siku hizi amekuwa mwoga wa kupandisha timu.....

lakini vyovyote vile kesho ushindi upo..

Kwanini isiwe Matic na Ramires??!
 
Nawapenda the bluz wanavyonipotezeaga midfields za timu pinzan hata km wanaaminika vp, huyo song hamtamwona labda aanze viwiko vya world cup
 
viwiko tutamkabidhi Mikel amfunze adabu; kwanza Song hana mbio...

Nawapenda the bluz wanavyonipotezeaga midfields za timu pinzan hata km wanaaminika vp, huyo song hamtamwona labda aanze viwiko vya world cup

Nimesoma magazeti ya Uingereza yanamsifu sana mchezaji mmoja anaitwa Downing (midfield ya Westham) whats his level? How good is he?

Au anasifiwa tu kwa sababu ya uingereza? Is he really better than Matic (as they said)?
Cc: Malafyale BAK Wacha1 kunguru mjanja
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Inawezekana ila naona kama kwa sasa coach anampendelea zaidi Mikel

Ila kwa kweli kocha ndo anawajua wachezaji wake na hali zao, hivyo yeye ndo ataamua

I agree kocha ndo anawajua zaidi wachezaji ila kwa game ya kesho nadhan Rami atafaa zaidi...those guys have speed and arent as physical as stoke so unaona kutakuwa na umuhimu wa kumweka Mikel tena?

Au arudi kwenye first eleven yake ya Matic na Farbregas. Then amu re instate Oscar.
 
Nimesoma magazeti ya Uingereza yanamsifu sana mchezaji mmoja anaitwa Downing (midfield ya Westham) whats his level? How good is he?

Au anasifiwa tu kwa sababu ya uingereza? Is he really better than Matic (as they said)?
Cc: Malafyale BAK Wacha1 kunguru mjanja

huyo ni orthodox left winger...wa zamani he was promising talent but didnt progress to higher level...alikuwa middlesbrough,akaenda aston villa na pia alipita liverpool sasa yupo west ham amepata ki-form fulani recently but overall hamna kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom