Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kweli kwa sasa Mourinho amefanya kitu kizuri sana kwenye kikosi chetu kila sehemu ina watu wawili au zaidi.....

Na kila mtu anauwezo wake, na wanatakiwa kucheza kitimu wakisaidiana kila idara.....kuanzia kukaba hadi kushambulia....

Mkuu Unajua wakati mwingine mi nashindwa kuelewa watu ktk hoja zao km Hiyo hapo juu!

Unajua Chelsea inawachezaji ambao Wanaweza kucheza nafasi mbili vizuri!

Mfano Azp, Huyu jamaa anacheza beki za pembeni vzr sn! Njoo Ivanovic, Huyu Naye anacheza pembeni kulia na Kati vzr sn!

Zouma anacheza pembeni kulia na Kati vzr sn!

Ake anacheza kiungo mkabaji na beki Wa Kati vzr sn!

Christiansen anacheza beki ya Kati vzr sn!

Km inatokea Terry na Cahill hawapo uwanjani!

Kikosi kitakua Azp beki ya pembeni kulia Ivanovic na Zouma beki za Kati na Felipe Luis beki kushoto pembeni!

Sasa sijui shida iko wapi hapo?
 
Well, siwapondi wachezaji wetu mkuu. Lakini sipo comfortable na watu kama Salah, Mikel, hata Ramires naona kayumba

Ake na Christiansen bado wanajifunza. Nina uhakika hata wewe hutakuwa na amani siku tunacheza na timu kama City au R.Madrid na uwaone hao wapo kati pale

First 11 yetu kuna wachezaji wanacheza almost kila mechi. Watachoka mwisho wa siku. Tuliona wote last season

Mkuu Salah ni kwamba hapangwi tu kucheza na kocha hataki kabisa kumuuza.... Kwanini asimuuze km Yuko vibaya?

Ramires Tangu alipoumia ktk game ya Man City bado hajapona vzr Na kurudi ktk Kiwango chake ndio maana unamuona Oscar anaanza vinginevyo km sio hivyo Oscar angekalia benchi!

Obi Yuko vzr sioni shida kwa Obi ni kwamba kocha anaamua tu Obi kaa bench na Matic uanze!

Si kweli kwamba Ake na Christiansen wanajifunza! Wako pale kucheza muda wowote ule wakiitajika kucheza ndio maana wako hapo! Rejea last season Chelsea vs Liverpool Dogo Kalas alifanya nini? Kweli ni kujifunza kule?
 
Hawa madogo tena walivyo na machungu ya kukaa bench km tunakutana na Madrid au Man City wataziba kichizi ili wapate nafasi ya kupangwa michezo mingine!
 
Hebu Wakuu tuanze kuwachambua Wachezaji wetu ktk kila nafasi zao ili tuweze kuona km viwango vyao vimeshuka au vipi?

Tunanzie kwa Strikers!

Drogba, Costa na Remy. Hawa jamaa wote wameonyesha viwango vzr na kufunga magoli na asist pia! Mimi binafsi sioni shida kwa yeyote Yule anapewa nafasi ya kuanza kucheza!
 
Badala ya kuongelea mpira sasa imekuwa biashara ya divers, when will this club change to proper football. Next they will start to park the bus.
 
Badala ya kuongelea mpira sasa imekuwa biashara ya divers, when will this club change to proper football. Next they will start to park the bus.

Najua unaongea unachofikiria, ila naomba nikuambie unafikiria sivyo......kwa hiyo mechi moja kupewa kadi za kujirusha imekuwa shida......kwa hiyo Ronaldo anavyojirusha?, R. Madrid hawachezi proper football???.....

Ila nimekuelewa ni kwamba roho inakuuma kuona chelsea ikiwa juu, na unaomba mabaya

Ila kumbuka kila game na approach yake....
 
Badala ya kuongelea mpira sasa imekuwa biashara ya divers, when will this club change to proper football. Next they will start to park the bus.

Halafu ngoja nikuulize vizuri kwanza kama uliangalia game...wewe unavyoona na Costa alijirusha??
 
Hebu Wakuu tuanze kuwachambua Wachezaji wetu ktk kila nafasi zao ili tuweze kuona km viwango vyao vimeshuka au vipi?

Tunanzie kwa Strikers!

Drogba, Costa na Remy. Hawa jamaa wote wameonyesha viwango vzr na kufunga magoli na asist pia! Mimi binafsi sioni shida kwa yeyote Yule anapewa nafasi ya kuanza kucheza!

Hata mimi sina shida na yeyote atakaye anza mechi, ila napenda kama Drogba akianza game basi asikae hadi mwisho..sio kwamba hawezi kumaliza game, ila napenda apumzike tu
 
Binafsi ntafarijika sana kama Ramires na Schurrle watarudi kwenye viwango vyao tuvijuavyo. Kwa hapa tulipofika tutawahitaji sana ili kupunguza uchovu kwa Oscar na Willian na hata Hazard. Sote tunajua Ramires aliwafanya nini Barcelona mwaka ule na tunamhitaji tena now that knock out stage inaanza champions league. Naamini by February mwakani atakuwa super fit na Kiwango. Nadhani pia maurinho anampa hasira na usongo kidogo Sarah ili ajitume na kuinua Kiwango the Chelsea level. Essien alisema juzi kati kuwa maurinho anaweza kujifanya kukusahau ili kukuhamasisha
 
Hata mimi sina shida na yeyote atakaye anza mechi, ila napenda kama Drogba akianza game basi asikae hadi mwisho..sio kwamba hawezi kumaliza game, ila napenda apumzike tu

Ok Umejibu vema mkuu!

Naam, tuje kwa mawinga!

Schurrle, Hazard, Willian na Salah. Na wakati mwingine Ramires hucheza winga kulia!

Hawa juu wanashida gani? Au kocha anapenda tu kuwapanga Willian na Hazard?

Cc: Manumbu na wengine wote!
 
Last edited by a moderator:
Binafsi ntafarijika sana kama Ramires na Schurrle watarudi kwenye viwango vyao tuvijuavyo. Kwa hapa tulipofika tutawahitaji sana ili kupunguza uchovu kwa Oscar na Willian na hata Hazard. Sote tunajua Ramires aliwafanya nini Barcelona mwaka ule na tunamhitaji tena now that knock out stage inaanza champions league. Naamini by February mwakani atakuwa super fit na Kiwango. Nadhani pia maurinho anampa hasira na usongo kidogo Sarah ili ajitume na kuinua Kiwango the Chelsea level. Essien alisema juzi kati kuwa maurinho anaweza kujifanya kukusahau ili kukuhamasisha

Ni kweli mkuu! Mchezaji yoyote Yule kwa Mourinho ni muhimu! Kwasababu anapanga mtu kucheza kutokana na timu anayokutana nayo!
 
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie nachikia mmebebwa na mbeleko ndio chababu leo kumetulia khe khe khe khe ke khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Chelsea were far from perfect, with Willian and Costa booked for diving and Gary Cahill lucky not to be sent off. The England defender had already been shown a yellow card for a late challenge in the first half - a tackle on Sone Aluko that Hull manager Steve Bruce thought was deserving a straight red card - and after the break the centre-back went to ground too easily inside the Hull box.

Hull's incensed players surrounded referee Chris Foy, arguing Cahill should have been shown a second yellow for diving, but the Chelsea player escaped punishment and less than 10 minutes later a frustrated Hull were reduced to 10 men.

Source: BBC Sport - Chelsea 2-0 Hull City

Bubu kasema kwa ubebwaji wa Chelsea link BBC Sport - Steve Bruce accuses referee Chris Foy of 'not doing his job'
 
Ngoja tuone kama itakuwa kweli maana anaweza akakumbwa na ukame wa magoli kwa kipindi kirefu au naye akaumia na kuwa kwenye majeruhi kwa kipindi kirefu pia.

BAK Asante sn kwa picha ya Top scorer wetu!

Mpk Aguero apone Huyu Costa atakua anaongoza kwa kufunga EPL mark my words mkuu!
 
Mind the Gap.
[h=3]MOTD2 Extra[/h]

[h=4]'Diving a blight on our game'[/h]Chelsea 2-0 Hull
Posted at
Aston Villa goalkeeper Shay Given: "A few years ago, we'd say it was the foreigners bringing it into our game, but yesterday it was a 6ft 4ins English centre-half Gary Cahill. I've never come across a manager who told us to dive, but managers have said if you get hit in the box to go over. Is that a dive? I don't know. If a panel could get together after a game and debate whether certain incidents were a dive, red card etc, I think that would help stop it."
Sports writer Ollie Holt: "I'm fed up of it, I hate diving. Most managers condemn it when it's the other team and look past it when it's their team. Until that changes, the issue won't change. The media feels strongly about it and fans of clubs dislike their own players doing it. The will is there to stamp it out but there's been enough talk, we need to bring in retrospective punishment."
Ex-Liverpool defender Mark Lawrenson: "We're in trouble when Gary Cahill is diving. He'll be embarrassed. It's a blight on our game. It needs managers to lose players to suspension and then it will stop."
 
Bloody divers khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom