Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

10868074_10153012473652259_7614761301781054077_n.jpg
 
''Perhaps that is why Diego Costa was often so subdued when this was still a match between equal numbers. He had not scored in his previous four appearances and barely made a dent on Hull’s defence in the first half. Often, the supply line just was not functioning.With due credit to Hull, they steadied themselves well after a dreadful start littered with misfortune.

They were behind after only six minutes and had good cause to appeal for a foul in the build-up to Hazard’s headed opener. Mikel had won possession in the middle of the pitch, but replays showed he took more than a bit of Sone Aluko’s foot in the process. No whistle came, Matic spread the play to Oscar on the left and his excellent cross found Hazard. His header meant eight goals this season for a man closing in on a £200,000 a week contract.

Mourinho said: ‘He didn't play against Sporting Lisbon in midweek. I gave him four days holiday. He went with his family to a weather where he can take his shirt (off) and get some sun. Then, in return, he said he'd come back fresh. He came back with that happiness in his legs.’
Dawson then left the pitch after injuring his hamstring and what was already a tough fixture looked far harder. Somehow, the walloping never happened; Hazard’s goal was the only shot on target in the half''.

khe khe he khe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie timu ya majangili yameiba pesa urusi yamejificha uingereza khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

#Mind the Gap.
 
Haikuwa mechi nzuri sana kwa mtazamo wangu. Lkn pia hatukutumia nguvu nyingi na hii ni habari njema. Tunahitaji ku preserve energy kwa mechi nyingi za mwezi huu. Kama ushindi utapatikana kwa kutumia nguvu kidogo ni vema zaidi. Muhimu ni points 3. Tunaangalia mechi ijayo na derby County robo fainali ya capital cup j4 ijayo.
 
What matter points 3 muhimu I REALLY dont care zimepatikana vipi!Hongereni sana

Nipo Ikwiriri shambani toka jana jioni,bahati mbaya sitaweza watch game yetu na Man U leo,nitarejea Dar usiku wa manane leo na nita watch recorded ehehehehe
Ntuzu
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli mkuu!

Tuna michezo minane kutoka sasa mpk January 3 hivi Yani tunatakiwa kucheza game 8 ndani ya Siku 20 Moja ya capital one na Moja ya FA na zilizobaki ni za EPL.

Tunahitaji kufanya vema na kitunza Wachezaji! Nimefurahi kumuona Mourinho akimpa nafasi tena Obi kucheza hii itamsaidia kurudi km form yake haraka maana bench nalo baya sn!
 
Asante mkuu Malafyale

Usikimbie bwana! BR ni kocha bora mkuu Mbona mnamkimbia?

What matter points 3 muhimu I REALLY dont care zimepatikana vipi!Hongereni sana

Nipo Ikwiriri shambani toka jana jioni,bahati mbaya sitaweza watch game yetu na Man U leo,nitarejea Dar usiku wa manane leo na nita watch recorded ehehehehe
Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Naona maurinho anajaribu kucheza na washambuliaji wawili na anatafuta combination gani itafanya kazi vizuri Drogba Costa au Costa Remy au Remy Drogba
 
Naona maurinho anajaribu kucheza na washambuliaji wawili na anatafuta combination gani itafanya kazi vizuri Drogba Costa au Costa Remy au Remy Drogba

Ni kweli mkuu!

Unajua mkuu ukisimamisha washambuliaji wawili pale mbele kwa Mfano Costa na Drogba unakua umepeleka kitisho kikubwa sn kwa timu pinzani! Maana DM na CB wote hawataweza kupanda mbele au kucheza kwa uhuru!

Anyway! Nasubiri Draw ya UEFA ya 16 kesho nione tumetupwa kwa PSG au Juventus au Livakusen au Shakter au Basel?
 
Ntuzu round ijayo ya uefa itakuwa ngumu sana. Timu zote ni nzuri. Kama alivyosema maurinho sasa ndo uefa champions league inaanza. Mechi zitakuwa nzuri na ngumu sana
 
Ntuzu round ijayo ya uefa itakuwa ngumu sana. Timu zote ni nzuri. Kama alivyosema maurinho sasa ndo uefa champions league inaanza. Mechi zitakuwa nzuri na ngumu sana

Mi nasubiri mkuu nione Hiyo draw mkuu! Mourinho ni mwehu mkuu! Mi napenda sn kufatilia mahojiano Yake au habari zake! Pamoja na kwamba Anasema UEFA ndio kwanza imeanza Na timu zote zinalolitaka Hilo kombe bado zipo Lkn anasisitiza kua Yuko tayari kukutana na timu yoyote ile! Huyu jamaa ni hatari Aisee!
 
Na anakwambia kama mwaka jana hatukuwa wazuri tulifika nusu fainali mwaka huu lazima tufike mbali zaidi!!! This interprets to mean lazima tuchukue ubingwa!
 
Na anakwambia kama mwaka jana hatukuwa wazuri tulifika nusu fainali mwaka huu lazima tufike mbali zaidi!!! This interprets to mean lazima tuchukue ubingwa!

Hahahaaaa Huyo ndo Mourinho mkuu! Ni hatari sn Huyu jamaa! Yuko vzr sn ktk kujieleza kwenye Vyombo vya habari!
 
Mechi ya jana, kati ya CHELSEA na HULL CITY, katika picha.
 
Attachments

  • 1418538379490.jpg
    1418538379490.jpg
    58.1 KB · Views: 50
  • 1418538397899.jpg
    1418538397899.jpg
    78.1 KB · Views: 56
  • 1418538421704.jpg
    1418538421704.jpg
    88.9 KB · Views: 51
  • 1418538438940.jpg
    1418538438940.jpg
    99.9 KB · Views: 48
  • 1418538464874.jpg
    1418538464874.jpg
    85.4 KB · Views: 57
  • 1418538495103.jpg
    1418538495103.jpg
    51.8 KB · Views: 50
  • 1418538514981.jpg
    1418538514981.jpg
    52.5 KB · Views: 51
  • 1418538534811.jpg
    1418538534811.jpg
    41.6 KB · Views: 48
  • 1418538553684.jpg
    1418538553684.jpg
    124.2 KB · Views: 46
  • 1418538588577.jpg
    1418538588577.jpg
    79.4 KB · Views: 49
  • 1418538605387.jpg
    1418538605387.jpg
    72.5 KB · Views: 49
  • 1418538625180.jpg
    1418538625180.jpg
    72.3 KB · Views: 50
  • 1418538647732.jpg
    1418538647732.jpg
    78 KB · Views: 52
  • 1418538663284.jpg
    1418538663284.jpg
    74.8 KB · Views: 57
  • 1418538685375.jpg
    1418538685375.jpg
    62.2 KB · Views: 59
  • 1418538700104.jpg
    1418538700104.jpg
    72.4 KB · Views: 55
  • 1418538714965.jpg
    1418538714965.jpg
    75.9 KB · Views: 50
  • 1418538731290.jpg
    1418538731290.jpg
    42.8 KB · Views: 50
Nakubaliana na Nonda. Ubingwa wa Premier League kwa Chelsea inaweza kuwa ngumu unless mwisho wa siku tutolewe kwenye mashindano mengine yote

Tatizo ni moja: Tuna first 11 nzuri ndio, lakini bench letu halina kiwango bora. City wanaweza kufanya hata 5 changes kwenye first eleven na wasitetereke saaana.Hivi mbadala wa Cahil na Terry ni nani? ZOUMA!?
 
Sawa tunaweza tusichukue ubigwa, ila pia tunaweza tukachukua.....hakuna ajuae ila muda utaongea..

Kuhusu sub ya Cahill na Terry kuwa Zouma isikutishe mkuu yule dogo wewe uwe unamfwatilia kwa makini akicheza utaona ana uwezo mkubwa sana kuliko unavyodhani....pia kumbuka Ivanovic anaweza kuicheza kati halafu pembeni wakakaa Felipe Luis na Azpilicueta
 
Nakubaliana na Nonda. Ubingwa wa Premier League kwa Chelsea inaweza kuwa ngumu unless mwisho wa siku tutolewe kwenye mashindano mengine yote

Tatizo ni moja: Tuna first 11 nzuri ndio, lakini bench letu halina kiwango bora. City wanaweza kufanya hata 5 changes kwenye first eleven na wasitetereke saaana.Hivi mbadala wa Cahil na Terry ni nani? ZOUMA!?

Si kweli kwamba bench letu halina Kiwango, unaweza kusema ni nani Hana Kiwango ktk bench?

Zouma, Christiansen, Ake, Ivanovic hawa wote wanacheza CB!

Una hoja ingine tena mkuu?
 
Si kweli kwamba bench letu halina Kiwango, unaweza kusema ni nani Hana Kiwango ktk bench?

Zouma, Christiansen, Ake, Ivanovic hawa wote wanacheza CB!

Una hoja ingine tena mkuu?

Kwa kweli kwa sasa Mourinho amefanya kitu kizuri sana kwenye kikosi chetu kila sehemu ina watu wawili au zaidi.....

Na kila mtu anauwezo wake, na wanatakiwa kucheza kitimu wakisaidiana kila idara.....kuanzia kukaba hadi kushambulia....
 
Si kweli kwamba bench letu halina Kiwango, unaweza kusema ni nani Hana Kiwango ktk bench?

Zouma, Christiansen, Ake, Ivanovic hawa wote wanacheza CB!
?
Well, siwapondi wachezaji wetu mkuu. Lakini sipo comfortable na watu kama Salah, Mikel, hata Ramires naona kayumba

Ake na Christiansen bado wanajifunza. Nina uhakika hata wewe hutakuwa na amani siku tunacheza na timu kama City au R.Madrid na uwaone hao wapo kati pale

First 11 yetu kuna wachezaji wanacheza almost kila mechi. Watachoka mwisho wa siku. Tuliona wote last season
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom