Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hayo ndio mliobakisha kujivunia! Ooooh tumejenga uwanja, Mara timu Ina hela Mara tunashiriki UEFA! Makombe hakuna! Kashinda babu jana mnamuona kocha bora! Akipigwa afukuzwe! Khe Khe Khe Khe Khe!

Ntuzu umeibuka msaidie kalou mwaka huu mmeshinda kombe gani? Chichi hatutegemei sugar daddy.
 
Tatizo lako unaota weye. khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Jibu swali Wacha umbeya mwaka huu mmeshinda kombe gani? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

tumeshinda makombe mengi tu kama aliyoshinda babu wenger kwenye Champions League .
 
Ntuzu umeibuka msaidie kalou mwaka huu mmeshinda kombe gani? Chichi hatutegemei sugar daddy.

Baba yako alivyokuwa anakulipia ada alikuwa anakulipia kama SUGAR DADY wako au kama mzazi wako?
 
Mapuya mabaya sn Khe Khe kheeeeeeeeee!

Nicheke mie hakuna Jasiri kutoka Chelsick anayeweza kukiri kwamba mwaka huu wametoka Nunge, zero wakati Gunners wana kombe la FA Cup. Chacha siwezi kubishana na plastic fans ambao hawawezi kusema ukweli wamekalia kupokea pesa kutoka kwa tajiri tu hata hawafahamu zinakotoka. Tajiri akifa na timu inakufa, hiyo ndio problem ya plastic fans Banitez aliwaambia hawakusikia chacha wanakula matapishi yao kama jadi .. ... .. .khe khe khe khe kjhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW Rev Kishoka et al na wenye akili timamu yaani Chelsick damu hebu rudini hapa tujadiliane sio hawa nguchiro wanaobadili majina kama vinyonga ubishi wao ni wa kwenye migahawa . . .
 
hivi babu Wenger ameshashinda makombe mangapi ya Champions League?
 
Nicheke mie hakuna Jasiri kutoka Chelsick anayeweza kukiri kwamba mwaka huu wametoka Nunge, zero wakati Gunners wana kombe la FA Cup. Chacha siwezi kubishana na plastic fans ambao hawawezi kusema ukweli wamekalia kupokea pesa kutoka kwa tajiri tu hata hawafahamu zinakotoka. Tajiri akifa na timu inakufa, hiyo ndio problem ya plastic fans Banitez aliwaambia hawakusikia chacha wanakula matapishi yao kama jadi .. ... .. .khe khe khe khe kjhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW Rev Kishoka et al na wenye akili timamu yaani Chelsick damu hebu rudini hapa tujadiliane sio hawa nguchiro wanaobadili majina kama vinyonga ubishi wao ni wa kwenye migahawa . . .

Hivi Bill Gates akifa na Microsoft inafilisika? shirikisha ubongo wako mara moja moja
 
Nicheke mie hakuna Jasiri kutoka Chelsick anayeweza kukiri kwamba mwaka huu wametoka Nunge, zero wakati Gunners wana kombe la FA Cup. Chacha siwezi kubishana na plastic fans ambao hawawezi kusema ukweli wamekalia kupokea pesa kutoka kwa tajiri tu hata hawafahamu zinakotoka. Tajiri akifa na timu inakufa, hiyo ndio problem ya plastic fans Banitez aliwaambia hawakusikia chacha wanakula matapishi yao kama jadi .. ... .. .khe khe khe khe kjhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW Rev Kishoka et al na wenye akili timamu yaani Chelsick damu hebu rudini hapa tujadiliane sio hawa nguchiro wanaobadili majina kama vinyonga ubishi wao ni wa kwenye migahawa . . .

Khe Khe Khe hivi nyie mlishawahi kuchukua UEFA? nijibu hili swali langu Khe Khe Khe Khe Khe!
 
Game down ,Chelsea 3-1 Sporting ,
nice job Mikel,nice job.
KTBFFH
 
Khe Khe Khe hivi nyie mlishawahi kuchukua UEFA? nijibu hili swali langu Khe Khe Khe Khe Khe!

huyu jamaa hakuna kitu kichwani,..analeta theory zake za vijiwe vya kahawa ,eti tajiri akifa na timu inakufa, ..wamekufa wakina mzee Henry Ford na mpaka leo watu tunaendesha magari ya kampuni yake, nimemdharau sana huyu jamaa.

ajipange tena, kama anaona ubongo wake mdogo abaki huko huko Emirate
 
Hujui mpira wewe ndo maana timu zina mabeki,viungo washambuliaji so unataka mou asajili washambuliaji tu, timu inashambulia inapokuwa na mpira na inashambulia inapopoteza mpira sema hiv nikuelewe unachukia sana unapoona chelsea wanazuia vizur na kushambulia vizr hao makocha wasioongea hawaziamin timu zao baada ya game utawasikia we were good at defending our goal, in midfield etc kwa nn waseme after game? Mou husema kabla na anafanya yake

We kweli poyoyo Hujui kitu!

Hivi mabeki wa Chelsea wanacheza mpira wa miguu au mieleka?
 
Wanakaba na kuokoa hatari bila kusababisha faulo haijalishi ni mieleka au rugby Mradi kazi inafanyika ipasavyo. Ndio kazi ya beki Nonda
 
Last edited by a moderator:
Chelsea have found it difficult to
shake off their ‘boring’ tag, with
many linking them for a long-
time with ‘park the bus’ style
football.
But this stat shows how much
things have changed.
The Blues are the top scorers in
the Champions League group
stages this season, hitting 17
goals in six matches – at an
average of 2.8 goals a game.
That’s more than Real Madrid, the
holders and favourites, who only
got 16 in a group which had
teams from Switzerland and
Bulgaria in it… along with
Liverpool.
 
Chelsea most successful British
club in Europe
You look at Liverpool's
Champions League campaign
this season and see how they
have struggled. You look at
Manchester City and their
ongoing problems in Europe's
biggest competition ever since
they have become as successful
domestically as they have and
you can only have admiration
for what Chelsea have achieved
over that ten year period. Man
City in particular would bite
your hand off to have a record
as we have right now!
Ten years ago, Peter Kenyon
spoke of Chelsea's vision of
establishing themselves in the
Champions League, in Europe
and then all over the world as
one of the biggest clubs and we
have done exactly that.
The squad has evolved over that
period of time and has gained
vital experience. We have had
managers who also have that
experience and know exactly
what it takes to get results and
the club has established
themselves now as one of the
favourites for the competition
every single season!
Maybe it's just me, but I really
feel that because of our record,
people do not give us the credit
we deserve because there is a
level of expectation now at this
club. It's when you see other
clubs from England struggle
that you realise just how good
we have been.
 
Over the previous ten seasons,
Chelsea have missed out on
qualifying for the latter stages
just once in 2012-2013 (but
went on to win the Europa
League). In those ten seasons,
Chelsea have reached the semi-
finals an incredible FIVE TIMES
winning it once in Munich
19.05.12.
Chelsea's complete record for
the past ten seasons is as
follows:
Ten-year European record (UEFA
Champions League unless
indicated otherwise)
2013/14: semi-finals
2012/13: UEFA Europa League
winners (having transferred
from UEFA Champions League
group stage )
2011/12: winners
2010/11: quarter-finals
2009/10: round of 16
2008/09: semi-finals
2007/08: runners-up
2006/07: semi-finals
2005/06: round of 16
2004/05: semi-finals
 
Wacha fujo wewe nyie mwaka huu kombe lenu mliloshinda ni lipi? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hizo pesa zetu hatukuomba kwa tajiri kama nyinyi ... ... .

Wacha kelele wewe, jengeni nyumba kwanza ondokaneni na hiyo cowshed au tajiri kagoma khe khe khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee uwanja utafikiri handaki la ng'ombe. Bado mko omba omba kama yatima khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Fanyen mikakati ya top four mapema nko mbali mjue
 
BAK aksante sn mkuu!
Nimefurahi kuona timu tatu za EPL zimesonga mbele Hii inaleta matumaini kua hizi timu zitafika mbali!

Lkn hawa wapanga ratiba ya 16 unaweza ukashangaa Hiyo knock out ya 16 uso kwa uso Chelsea na Arsenal hahahahaaaaa!

Khe Khe Khe Khe Khe kheeeeeee Hongereni humu kwa ushindi mkubwa kwenye UEFA League.

CC: Ab-Titchaz, Ntuzu, kalou na wengineo wa jukwaa hili.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom