Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We may have lost the battle, but we will win
the war!
KTBFFH !
 
Hiyo unbeaten ilikuwa extra tu,nia ya league ni kombe,hata kama time zingua leo bado wote mpo nyuma yetu,mtukute ndo mwongee

Mlijiaminisha sana kama vile hamtakuja kufungwa,ila poa tunaelewa nyie ndo wakali wetu lakini mpaka sasa lolote laweza tokea hatujafika bado...
 
Reactions: BAK
Kwani Mikel ni mchezaji wa Newcastle? Tuliposema Chelsea ina top performers wasiozidi wa5 Matic being among them, mlisema kila nafasi iko covered na viwango vya dunia, next game Fabregas naye bench, mpaka ifike January mtaongea sababu zoote

Iko covered bwana kwasababu hakuna pengo la Matic Leo lililoonekana! Sema bahati haikua yetu mkuu!

Mchezo tuliushika kila sehemu!
 
Mlijiaminisha sana kama vile hamtakuja kufungwa,ila poa tunaelewa nyie ndo wakali wetu lakini mpaka sasa lolote laweza tokea hatujafika bado...

Peaneni matumaini naona una moyo BAK mnajuana madhaifu yenu
 
Last edited by a moderator:

Mawazo mazuri sn mkuu!
 
On a football side, Matic mchezaji muhimu sana kwetu. Hizi goli esp la pili lazima ule mpira usingepita angekuwepo.

Kweli kaka, lakini mimi naliona tatizo kwenye foward line, sijuhi mtazamo wangu ukoje, tunakosa kabisa mipango ya kufunga pale mbele, ukiangalia mechi ya away ya Sunderland na hii ya NewCastle, almost zinafanana kwa minajili ya possession, tuna percentage kubwa sana ya kumiliki mipira lakini shida iko kwenye kufunga

pia sikubali sana Williams awe anaanza game, still nasimama kwa Ramires, mbele kunatakiwa watu wawili tu wanaohold na kudribble mipira, Hazard na Oscar na william aingie kama sub, na nafasi yake ichukuliwe na Ramires au Schulle, so mbele tunaweza anza na Hazard, Oscar, Ramires na Costa

sijaona kosa la Mikel, makosa yote ni ya kimchezo tu, na pia kuwekwa sana bench kunamuathiri anakosa match fitness

ALWAYaS BLuES
 
Hadi pole nashindwa niipeleke jukwaa lipi....

Kuna hii moja hapa ichukueni mwaweza gawana na Arsenal fans kama kwenu zimewazidia...

'POLENI'
 
Sisi leo tunampiga stoke, tunafikisha 26, bado points 10 tu tumfikie chelsea, na ndio basi tena huyu anashuka mdogo mdogo.....

sawa leo mnashinda 4 - 3 mbakishe pointi 10 tu! Arsenal oyeeee!
 
ndio hivyo mkuu BAK, leo majanga yamezigeukia timu kubwa. ni advantage kwa man city kuzidi kusogea juu ikiwa watawafunga everton. kama nao wakiangukia pua, basi itakuwa kifo cha wengi--HARUSI. nasikitika timu nilizokuwa naziamini zimenichania mikeka chungu nzima!
 
Last edited by a moderator:
Peaneni matumaini naona una moyo BAK mnajuana madhaifu yenu

Hahahaha!! Hii ni EPL bwana kila team ni mshindani ,kwanza mm na BAK ni timu mbili tofauti kila mtu anataka yake ndo ishinde.
 
Mi najua we man u,naona mmejipanga Leo nilikuwa nafuatilia news aisee mmejipanga kusajili vifaa kwenye dirisha dogo la usajili
 
Last edited by a moderator:

ndio hivyo mkuu BAK, leo majanga yamezigeukia timu kubwa. ni advantage kwa man city kuzidi kusogea juu ikiwa watawafunga everton. kama nao wakiangukia pua, basi itakuwa kifo cha wengi--HARUSI. nasikitika timu nilizokuwa naziamini zimenichania mikeka chungu nzima!
 
Last edited by a moderator:
Kifo cha wengi harusi, lakini wenzetu wana nafuu ukilinganisha na sisi, hivyo wacha tuchapwe hata goli nne zaidi katika dakika 45 za kipindi cha pili, maybe this will speed up the process to get rid of Wenger. Kwanini Wellbeck hakuanza leo?

Mkuu acha mikeka ni kuchezea hela
 
Last edited by a moderator:
Kumbukumbu hii chelsea hamuwezi kumsahau huyu mtu
 
Attachments

  • 1417881993662.jpg
    31.9 KB · Views: 152

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…