Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

majeruh ya cahil naomba yasiwe ya muda mrefu, nimeona zouma hajaweza kuvivaa viatu vya cahil kwa usahii



Mkuu Hilo lisikupe taabu!

Zouma anacheza CB na RB. Ivanovic anacheza RB na CB. Wanaweza kubadili hivyo na ikakaa pouwa kabisa!

Au nikupe Hii ingine! Azpi atarudi RB na Luis atakaa LB na Ivanovic na Terry watakua CB! Upo hapo mkuu?

Na sub atakua Zouma, Ake na Christiansen! Hapa kuna CB na CB/RB ambae ndio Zouma!

Ktk upande Wa beki hakuna shida kabisa yani tuko na wazoefu na machipukizi ambayo ni vipaji sn!

Alafu uzuri mwingine tuna mabeki ambao Wanaweza kucheza nafasi mbili Zaidi tena vzr tu! Km Azpi, Ivanovic, Zouma na Dogo Ake anaweza kucheza km CB au DM. Mbona kz wanayo jamani safari Hii....!
 
Mkuu Manumbu agosti 8 Skillionare na wadau wote km wewe ndio kocha Wa Chelsea utampanga nani na umuache nani Kati ya Drogba, Remy na Costa? Maana km wote kutupia na kufanya Assist wanafanya... Inakuaje Hapa wadau maana hawa strikers wote wanamshawishi kocha awapange kwa jinsi wanavyotupia magoli kiasi kwamba km kocha akimuweka Fulani bechi haina maana km hatupii Bali kapenda tu Fulani aanze kutokana na mpangilio! Sijui nyie wadau mnalionaje hili kwa strikers wa chelsea kwa sasa?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Manumbu agosti 8 Skillionare na wadau wote km wewe ndio kocha Wa Chelsea utampanga nani na umuache nani Kati ya Drogba, Remy na Costa? Maana km wote kutupia na kufanya Assist wanafanya... Inakuaje Hapa wadau maana hawa strikers wote wanamshawishi kocha awapange kwa jinsi wanavyotupia magoli kiasi kwamba km kocha akimuweka Fulani bechi haina maana km hatupii Bali kapenda tu Fulani aanze kutokana na mpangilio! Sijui nyie wadau mnalionaje hili kwa strikers wa chelsea kwa sasa?
Mkuu kuna mechi moja ilikuwa ya capital one walivurunda Mourinho akasema najua timu ya kupanga next game anyway wote wanafanya vizuri kwa kila gamewanayopangwa ,if I was manager nitampanga the most fit striker on that specific game,MATIC hatacheza game yaNewcastle sababu kadi tano mfululizo za njano...Mou kasema hamna shidaa itakuwa kama leo Diego alibyokosa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuna mechi moja ilikuwa ya capital one walivurunda Mourinho akasema najua timu ya kupanga next game anyway wote wanafanya vizuri kwa kila gamewanayopangwa ,if I was manager nitampanga the most fit striker on that specific game,MATIC hatacheza game yaNewcastle sababu kadi tano mfululizo za njano...Mou kasema hamna shidaa itakuwa kama leo Diego alibyokosa


Ni kweli mkuu lazima upange mtu anaefiti ktk Hiyo game!

Obi ataanza Siku ya Newcastle! Bado tutakua na uhai mkubwa sn! Obi ameingia Leo km kunyoosha viungo kwa majukumu yanayokuja tarehe 6.

Ninapendezwa sn mkuu kwa viwango vya Drogba, Remy na Costa!
 
Ni kweli mkuu lazima upange mtu anaefiti ktk Hiyo game!

Obi ataanza Siku ya Newcastle! Bado tutakua na uhai mkubwa sn! Obi ameingia Leo km kunyoosha viungo kwa majukumu yanayokuja tarehe 6.

Ninapendezwa sn mkuu kwa viwango vya Drogba, Remy na Costa!

nimelipenda sana goli la remy...ameonesha ukakamavu ..utulivu...na ukomavu wa kutosha mbele ya yule beki ...big up remy.....hazard anaonyesha kuzidi kukomaa na kufanya maamuzi sahihi mbele ya eneo la wapinzani....willian hakutumia ipasavyo nafasi alizopata....kikubwa point tatu....chelsea haishikiki
 
Formation...
 

Attachments

  • 1417675980008.jpg
    1417675980008.jpg
    41.2 KB · Views: 82
Full Time...Final Whistle!!!
 

Attachments

  • 1417676025509.jpg
    1417676025509.jpg
    47.5 KB · Views: 95
Swali zuri sana Ntuzu. of course hakuna jibu la moja kwa moja. Kila mmoja ana nafasi yake kwa wakati wake. Remy ni mzuri sana. Namkumbuka alipokuwa New Castle kwa kumpoko. Alikuwa anasumbua sana.He is a very good clinical finisher. Bado kijana. Na kikubwa sana kwake ambacho binafsi namwona nacho ni he is a gentleman. Ni Muungwana na Mstaarabu sana. Ila ni jamaa mwenye usongo sana ndani yake. Anataka ku prove point. Of course ktk hao strikers watatu, yeye ndo most junior kwa maana ya kutokuwa a well established striker. hao wengine tayari wana CV kubwa zinazojulinaka Duniani. So Remy ana usongo sana wa kwenda juu na kuprove point kuwa hata yeye ni striker mzuri na mkubwa sana hapa duniani. na ku cement hilo, zari lilipondondokea kuja Chelsea baada ya Liverpool kuleta majungu, alijua ndoto na sala zake zimesikika. Bahati mbaya kwa Chelsea kwa sasa, bado ni striker wa 3, japo soon atakuwa elevated kuwa namba 2 ili azidi kumpa pressure Costa.

Drogba haitaji maelezo mengi. Ni mtu mwenye majukumu mengi sana uwanjani. Uwepo wake tu, tayari unazuia mabeki 2 (Central Defenders) na mmoja Defensive Midfielder wasiwe mbali nae. kwa hiyo tayari anapunguza mashambulizi kwa Chelsea kwa yeye kusimama mbele. Kwa vile alivyo physique hata kama kasi imepungua lakini anao bado uwezo wa kusukumana na mabeki na kwa uzoefu mkubwa alionao, akaleta madhara makubwa kwa maadui. Tazama ile one-two ya jana na Hazard. Drogba alikuwa na mabeki wawili pale, lkn bado aliweza kutoa pande la uhakika kwa Hazard aliyetupia goli la kwanza. Drogba pia anaweza kufunga kwa vichwa na deadballs ikibidi. so nae ni mhimili wa aina yake na muhimu sana kwa timu. Bado ile influence kwa wenzie vijana. Tazama jana vijana walivyomkumbatia alivyofunga goli la pili. Body language inaonesha admiration waliyonayo kwake. Ni aina ya mtu/mchezaji ambaye anafanya kambi (dressign room) kuwe na furaha na hamasa ya ushindi kila wakati. Ni mtu kama Drogba ambaye mkiwa mmefungwa atawainua wenzake wajitume kusawazisha goli. anaweka mtu wa 12 uwanjani!

Costa yeyeni res ipsa loquitor (kitu kinajieleza chenyewe). CV ni nzito na ameshaonesha kwa nini CV yake ni nzito! Ni mshindi na ameumbwa kushinda. kushindwa kwake hakupo, unless imeshindikana. No wonder last msimu alikuwa tayari kucheza hata akiwa majeruhi kwa ajili ya ushindi kwa timu. Tayari keshaleta fear factor kubwa kwa timu zote England na hicho si kitu kidogo. strikers wa level yake kwenye EPL nadhani ni wawili tu yeye na Aguero kwa sasa.

Uchaguzi wangu.

Ntaanza na Costa kwa vile tayari uwepo wake tu uwanjani tayari ni ushindi kwa vile timu pinzani inaogopa kufungwa any time. Itakapohitajika kufunga magoli yasiyo ya move sana ntamweka Drogba ili asumbue mabeki na tupate magoli ya kona au deadball nyingine. Lakini nikitaka Spidi game ambako nataka timu nzima iwe inakimbiza kila wakati mpaka mabeki wagongane wenyewe kwa wenyewe ntamweka Remy au Costa!!

Ningependa siku moja niwaone ERemy na Costa pamoja ktk 4-4-2 nione mabeki pinzani watafanyaje huku midfield ikiwa na Hazard, Oscar, Fabregas na Matic na fulbeki wa kulia akiwa Ramires (kama alivyokuwa Essien miaka ile) huku kushoto akiwa Luis!

Mkuu Manumbu agosti 8 Skillionare na wadau wote km wewe ndio kocha Wa Chelsea utampanga nani na umuache nani Kati ya Drogba, Remy na Costa? Maana km wote kutupia na kufanya Assist wanafanya... Inakuaje Hapa wadau maana hawa strikers wote wanamshawishi kocha awapange kwa jinsi wanavyotupia magoli kiasi kwamba km kocha akimuweka Fulani bechi haina maana km hatupii Bali kapenda tu Fulani aanze kutokana na mpangilio! Sijui nyie wadau mnalionaje hili kwa strikers wa chelsea kwa sasa?
 
Mkuu Mledi nakubaliana na wewe 100%. Lile goli lilikuwa zuri sana. In fact kama lingefungwa na Drogba au Costa lingezungumziwa sana na media. Pasi aliyopokea Remy usingetegemea ingeishia kwenye goli. ALikuwa na kazi kubwa ya kuu control mpira na beki wa kuhangaika nae. Kumbuka beki alikuwa mkubwa na mwenye nguvu kuliko yeye Remy. Lakini bado aliweza ku control mpira bila shinda, akamgeuza beki huku akikinga mpira na kumpa mwili. Beki hakuwa na jinsi zaidi ya kuloose balance na kuanza kudondoka chini. Bado Remy alikuwa na kizingiti cha kipa ambaye ni mmoja wa makipa wazuri kwenye EPL msimu huu. (in fact anashindanishwa na De Gear na Courtoius kwa ubora) Remy aliweza kucheza na mwili na kipa akapelekwa maboya. na kwa utulivu na uhakika, badala ya kufumua bonge la shuti (Torres angeweza kufanya hivyo), Remy akaipasia nyavu kushoto huku kipa akiangukia kulia...! Lilikuwa na bonge la goli la mtu mkomavu na anayejua mpira.

Kilichonifurahisha baada ya hapo ni jinsi alivyoshangilia. Ukisoma body language anakwambia

"huyo ndiyo mimi Remy, nipeni nafasi nitupie magoli!!!"

Tazama ile sura yake baada tu ya kufunga akikimbilia pembeni huku Willian akimshika manywele yao! Fikiria zile nafasi za Willian angezipata Remy.

I rejoiced for him zaidi kuliko hata goli lenyewe!

nimelipenda sana goli la remy...ameonesha ukakamavu ..utulivu...na ukomavu wa kutosha mbele ya yule beki ...big up remy.....hazard anaonyesha kuzidi kukomaa na kufanya maamuzi sahihi mbele ya eneo la wapinzani....willian hakutumia ipasavyo nafasi alizopata....kikubwa point tatu....chelsea haishikiki
 
Wilian anapiga mashuti yake Yote kama amepiga mtoto wa chekecheaaa Anakera sanaaa Ndo alitukosesha ushindi kwa newcastle anapata nafas ya kupiga anapiga shuti kama kinyesi cha mwisho, Hajui kumchambua kipa kwa far post, Pa1 na kuwa anapiga kazi kubea defensively na Counter attacks lakin precision yake ni zero, anataka kubweteka namba ya Shurrle ile.
 
Mkuu Manumbu Asante sn kwa uchambuzi wako mzuri!

Kwa maana Hiyo Chelsea kwa sasa tunacheza mpira Wa aina zote! Mpira Wa kasi na mpira Wa kawaida!

Alafu mkuu Naona kwa sasa hakuna pressure ktk nafasi ya strikers wote wamelizika kutokana na kz zao nzuri!

Hawa watu wananiumiza sn akili yangu, Schullre na Salah sijui nini kinawasumbua mpk wanachelewa Kwenda sawa na wenzao?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Manumbu ata Mimi natamani sn kuona 4-4-2 ktk ubora wake huku maana huko mbele ktk hao strikers shughuli Yake sijui itakuaje!

Alafu mkuu umenikumbusha mbali sn uliposema kwamba Ramires awe beki mbili. Huo mfumo mkuu ni Wa mauaji mkuu! Umenikumbusha jamaa yangu mmoja anaitwa Lassan Diara alikua anapewa Hayo majukumu pale winger Wa timu pinzani kuonekana msumbufu sn! Kuna mchezo mmoja wa Fc Porto kulikua na jamaa mmoja msumbufu sn Qwaresima. Huyu jamaa alikua anapiga chenga ni hatari mkuu! Lkn Lassa alimdhibiti vibaya sn!
 
Last edited by a moderator:
Ni wei Ntuzu. mfumo wa kumtumia midfield mchezeshaji kama fulbeki unasaidia sana kuua mashambulizi toka kwa wapinzani. inabidi wawe wana defend tu all the time. Hebu fikiria kushoto unakuwa na fulbeki mshambuliaji kama Philipe Luis. kulia unamweka Ramires kama fulbeki. Mbele ya Ramires unamweka aidha Willian au Salah (akiwa kwenye kiwango chake cha juu). Kushoto umemweka Hazard. Pale katikati kuna Oscar na Fabrigas. strikers wako ni Costa na Remy. Yani hapo ni kukimbizana tu

Mkuu Manumbu ata Mimi natamani sn kuona 4-4-2 ktk ubora wake huku maana huko mbele ktk hao strikers shughuli Yake sijui itakuaje!

Alafu mkuu umenikumbusha mbali sn uliposema kwamba Ramires awe beki mbili. Huo mfumo mkuu ni Wa mauaji mkuu! Umenikumbusha jamaa yangu mmoja anaitwa Lassan Diara alikua anapewa Hayo majukumu pale winger Wa timu pinzani kuonekana msumbufu sn! Kuna mchezo mmoja na Fc Porto kulikua na jamaa mmoja msumbufu sn Qwaresima. Huyu jamaa alikua anapiga chenga ni hatari mkuu! Lkn Lassa alimdhibiti vibaya sn!
 
Mourinho reserves special praise for Didier Drogba after Tottenham win - We Ain't Got No History


Maurinho Bw. Anampenda sana Drogba. Hebu jisomee mwenyewe


Mourinho reserves special praise for Didier Drogba after Tottenham win

On the day he scored his 162nd career Chelsea goal and got his 88th career Chelsea assist -- hey, that adds up to a nice milestone! -- many questioned the manager's decision to start with the veteran over ostensibly second-choice Loïc Rémy. Despite The Big Man's record against big teams, against big rivals, in big games, on big occasions when the floodlights shine brightest, he is roughly 300 years old and surely can't have much left, right?

Wrong.


"He's remarkable. You know ... first of all he's a team player. He's a team player. After that, he's got one of these ‘old-days' mentalities: not selfish, not vain, a humble guy who plays and fights for the team. Fantastic. When he is on the bench and comes on for the last few minutes because the team needs someone to hold the ball up or to defend set-pieces, he does that with the same enthusiasm and spirit as he does when he starts a game against Tottenham."

Of course, Mourinho's not really surprised by any of this. Mourinho knows. He always knows.


"[My team] played against him when I was at Real Madrid and also with Chelsea, last year, so I could feel the kind of potential he still has. I was expecting exactly this [impact]. And there was not even a doubt in my mind about a player who would not be playing every game like before [in his first eight-year spell at the club]. I knew that, from a mental point of view, he would adapt very well to this role, which is so important in the team."

But surely we can't expect him to go on forever. After all, we do have Rémy locked up for four years and he is more than capable as well (and scored on Wednesday, too).


"The important thing is he is here and will finish his career with Chelsea. It looks, for me, that he's going to stay doing other things when he finishes his career. I don't know if this will be his last season as a player. It must be his decision. He came here to stay, I want him to stay, the club want him to stay. It will be his decision when he decides when he must stop as a player. Something personal."

When he left in 2012, Drogba famously said that one day he'll come back, even if just to mow the grass in Stamford Bridge. I think I like the current version of this story much better.
 

Attachments

  • 459892196_0.jpg
    459892196_0.jpg
    34.1 KB · Views: 86

Similar Discussions

Back
Top Bottom