Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mkuu Mentor nakuona mkuu unapita jukwaani mara kwa mara. lkn sijakusoma siku nyingi mkuu. fanya mambo
 
Last edited by a moderator:
Actually you are very very right Mkuu Ntuzu. nilitaka kulisemea hilo pia. Maurinho amedhamiria kuchukua makombe yote! na hiyo ni record ambayo haitoweza kuvunjwa na mtu yoyote in a near future. Makombe yote ya ushindani, yatue Darajani!!!


Nikweli mkuu...!

Naam, unaonaje kwa mtazamo wako Km tunaweza kuongeza wachezaji wawili ktk nafasi ya viungo ktk usajiri wa dirisha Dogo ingawa naona Mourinho hataki wachezaji waondoke Au kuleta wengine... Hili unalionaje? Je kikosi kina nguvu bado ya kuweza kuhimiri mikiki ya mashindano yote?

Cc: agosti 8 na wote mashabiki wa chelsea
 
Last edited by a moderator:
Premier League - Paper Round:

Lionel Messi 'nears Chelsea move'

Lionel Messi is set to force through a move to Chelsea

1357215-29138197-2560-1440.jpg


Chelsea close to signing Messi: The Daily Express reports that Lionel Messi is considering a move to Chelsea this summer, with the Argentine star locked in a major wrangle over money withBarcelona. The forward is ready to try to trigger a move to Stamford Bridge, according to the report, with Adidas willing to help broker a deal. Barca have placed a near-£200 million price tag on Messi's head but with the help of the sportswear giants - who provide boots for Messi and are Chelsea's kit manufacturers - a deal may get done.

Paper Round's view
: The paper adds some pretty damning evidence that points to Messi coming to Chelsea (or not, depending on how much you want to believe it): Messi's close friend Cesc Fabregas has been trying to persuade him to join Chelsea; Messi is learning English; Messi is unimpressed about the attention lavished on Neymar in Barcelona; and Messi is stewing that he gets paid less than Real Madrid's Cristiano Ronaldo. It all adds up, doesn't it? Well, of course, all these 'leaks' might well simply be coming from Messi's camp, who are trying to get an improved deal out of Barca, and Chelsea don't really stands a chance of luring one of the greatest players of all time - still in his prime - to West London. So don't get too excited just yet.

Read the full story.
 
Mkuu Manumbu kuna stats ameleta mkuu kalou hapo juu zimekaa Pouwa sn..!

Nini mtazamo wako ktk kiwango cha Chelsea Tangu msimu umeanza Mpk sasaivi maana kuna wadau wanasema kasi ya Chelsea imepungua sio Km mwanzo Je wewe unalionaje Hilo?

Kuna mambo mawili ambayo swali lako linajaa humo, kuna moja, kasi ya timu kupungua na pili, Diego Costa kuonekana kama kasi imepungua

kwa mtazamo wangu, Pengo la Ramiles liko wazi sana, jamaa hana vitu vingi lakini focus yake kubwa ni vipi timu itapata ushindi, same kama anvyocheza Fabregas, ni aina ya wachezaji wanojaribu kupush timu kwa kuangalia mianya yote yenye kuleta faida kwa timu

kuumia kwa Ramires kulimuweka William kwenye hiyo nafasi kama mchezaji wa first 11 na sio kama sub tena, uchezaji wa William, Hazard na Oscer almost unafanana japo kuna tofauti ndogondogo, ni wachezaji wanaopenda kuhold sana mipira na pia wana ile hali ya kujiamini kuwa anaweza yeye mwenyewe kupasua ngome na kuingia ndani ya box, ni aina nzuri ya uchezaji lakini kwa kiasi fulani unaweza kupunguza kasi ya mchezo kwani kunakuwa hakuna ile team work, hao ni wachezaji wazuri sana kwenye timu lakini sio wote wacheze kwa pamoja kwa 90mins,

Ramires na Fabregas ni watu wa kuachia mipira, hivyo kila mtu anajua anytime atapokea mpira kutoka kwa hao viungo washambuliaji

Kasi ya Diego sio kama imepungua bali ni aina ya uchezaji wa Hazard, William, Oscer ndio unamfanya Diego ashindwe kufunga kama mwanzo, kama nilivyoeleza hapo juu, hao ni wachezaji wa kuhold na kujaribu kufunga wenyewe hata pale panapoonekana kuna ugumu, hatuwezi sema magoli yote yafungwe na Diego lakini Ki ukweli Diego anajua hasa siri ya kufumania nyavu, na yeye ni striker wa mwisho kabisa, na anajua kujiposition vizuri, na ndio maana Fabregas alikuwa anamchungulia kila saa na kumuona alipo, sasa Walliam, Hazard na Oscer wakiwa wanaingia kwenye (box) territory yake anapoteza position na mwisho anakuwa anasubiri rebounce tu

Na hope Ramires akirecover fully kasi yetu itarudi kama kawaida

japo inaonekana kama kasi imepungua still Chelsea ni timu nzuri sana, na mwaka huu tutafanya maajabu sana, kuna kila dalili ya kubeba makombe matatu kati ya manne tunayogombania mpaka sasa
 
Kituko Asante sn...! Ngoja tufatilie ESCROW kwanza tutakuja kupiga story...!
 
Last edited by a moderator:
wameblock njia ambazo hazard anapita ikawa ngumu kwake kupenetrate labda winga wangepanua uwanja ....DIEGO COSTA atakosa mechi ijayo kwa kuwa na mfululiza wa kadi za njano.....wamecheza vizuri black cats chelsea wamejitahidi ukizingatia energy iliyotumika kuhakikisha tunaongoza kundi la champions league welldone blues #chelsea Till i die#
 
wameblock njia ambazo hazard anapita ikawa ngumu kwake kupenetrate labda winga wangepanua uwanja ....DIEGO COSTA atakosa mechi ijayo kwa kuwa na mfululiza wa kadi za njano.....wamecheza vizuri black cats chelsea wamejitahidi ukizingatia energy iliyotumika kuhakikisha tunaongoza kundi la champions league welldone blues #chelsea Till i die#


Walikua wamejiandaa vzr...!

J5 Saa 4:45 tutawakaribisha Spurs darajani bila ya kua na Costa...!

Leo tumecheza vzr Lkn sio kwa nguvu sn nafikiri ni kutokana na uchovu wa mchezo wa Shalke Au ni kujaribu kucheza vzr bila kupoteza ili kujiandaa na Spurs J5... Maana London Derby yoyote ile hua ni ngumu sn..!

#KTBFFH
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom