Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nilishamwambia RRONDO wao wabovu kwa Sbb sisi Kiwango kimepanda sana. Na kwa wao kuja kutufikia lazima wa invest kwa kocha kama Guadiorla ambao sio wengi. No wonder tutaendelea kutamba sana England. Tutakuwa tunashindana zaidi na continental Europe than other English teams. Uzuri maurinho keshakubali kutulia chamani, hela ipo na kila mchezaji mzuri atataka kuchezea Chelsea. Zile zama za kuchukua makombe 20 zimegeukia Chelsea sasa. Hao wengine watabaki kuwa na historia ya kunyakua makombe in the past wakati sisi tunayanyakua in the present n future! Blues Forever
 
mkuu usihofu mimi na Ntuzu tunaelewana najua nitamkamata wapi....mimi hili jukwaa ni my home from home wala siwezi kukasirika nawaelewa vizuri wana chelsea

Ni kweli we jamaa yetu lkn nachofahamu kilichobaki kwako unasubiri siku tukifungwa tu uje ukeshe ktk thread yetu! Ila kikubwa naomba ufahamu ubingwa wa EPL lazima uje darajani utake usitake ata km tutapoteza michezo au kufungwa!
 
Last edited by a moderator:
1416861238815.jpg
Chelsea keyboard inapatikana play store
 
Which former chelsea player do
you miss the most?
1 david luiz
2 samuel etoo
3 demba ba
4 jose bosingwa
5 A. Cole
6 frank lampard
7 lukaku
8 victor moses
9 juan mata
*type the name of your favorite
former chelsea player if he is
not in my list.
 
Naona Southampton ame draw na Aston Villa, tumeshamwacha point 6, na game ijayo wanakutana na Man City.

Tunawaacha waumizane wenyewe sisi tunazidi kupaa na kuongeza gap.

Ni kicheko tu msimu huu.

Na leo kichapo tunakihamishia kwa Shalke 04 then tunarudi kumshughulikia Sunderland.

Trueblue, Hatari sana.
 
Mkuu nilijua tu mchezo utakua mgumu sn huo kwa Soton... Ameshapata draw na tarehe 30 atakua na Man City kwake na tarehe 3 atakua away na Arsenal na tarehe 8 atakua home na Man Utd... Ana kz kubwa sn ktk hiyo ratiba..! Yani Mpk tarehe 28 tukikutana nae tayari atakua hayuko ktk top four...!
 
Last edited by a moderator:
Nawamiss wengi sn Lkn kuna beki walikua wazee wa kz walikua wakipangwa ngome inakua Km ngumu Km chuma.

Ricardo Calvalo

Wiliam Galas

Na kiungo Claudio Makelele..!

Ni hatari jamani

Cc: agosti 8
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nilijua tu mchezo utakua mgumu sn huo kwa Soton... Ameshapata draw na tarehe 30 atakua na Man City kwake na tarehe 3 atakua away na Arsenal na tarehe 8 atakua home na Man Utd... Ana kz kubwa sn ktk hiyo ratiba..! Yani Mpk tarehe 28 tukikutana nae tayari atakua hayuko ktk top four...!

mkuu december fixtures ni deadly huyu wa soton ameshasema hana kikosi chenye depth ya kutosha kupambana wakati wa xmass na naona akiondoka hapo kwenye nafasi ya pili zikirudi team from manchester.na sijaona akipata test yoyote katika games alizocheza mpaka hiyo tarehe 28 dec tutamalizia .tu na kujihakikishia kombe na gap la maana
 
Ni kweli mkuu Ntuzu, Tukikutana nae tunamzika mazima
 
Last edited by a moderator:
leo tunachinja mtu kwao,hizi mechi wangefanya saa mbili hivi,dah siyo kabisa unaangalia mechi ukisinzia
 
mkuu december fixtures ni deadly huyu wa soton ameshasema hana kikosi chenye depth ya kutosha kupambana wakati wa xmass na naona akiondoka hapo kwenye nafasi ya pili zikirudi team from manchester.na sijaona akipata test yoyote katika games alizocheza mpaka hiyo tarehe 28 dec tutamalizia .tu na kujihakikishia kombe na gap la maana

Nikweli kabisa mkuu Skillionare. Mimi mwenyewe nikiitizama December fixtures ya timu yetu nabaki kimya kabisa...!

Tuombe Sn majeruhi yapite mbali
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom