leo tunachinja mtu kwao,hizi mechi wangefanya saa mbili hivi,dah siyo kabisa unaangalia mechi ukisinzia
mkuu africa mashariki ni 10:45,saa tano kasoroMkuu mechi inachezwa Ujerumani na itaanza 20:45H (saa 3 kasorobo) kwa saa za Ulaya ya magharibi, sasa kuna tofauti ya masaa mawili au matatu (sina hakika) na Afrika mashariki ndio maana inakuwa usiku sana.
Mkuu mechi inachezwa Ujerumani na itaanza 20:45H (saa 3 kasorobo) kwa saa za Ulaya ya magharibi, sasa kuna tofauti ya masaa mawili au matatu (sina hakika) na Afrika mashariki ndio maana inakuwa usiku sana.
KICK OFF UK 1945.....tofauti ya UK na EA ni 3HRS WINTER TIME HENCE 2245 EAT KICK OFF....saa za UK zikibadilika kwenda 2hrs difference na EA kick off EAT ni 2145 kama ilivyokuwa mwezi uliopita
Mechi inachezwa Ujerumani mkuu, wala sio UK.
do you feel the heat?i know...mshika dau ni SKYSPORTS UK na ndio anaowapa SUPER SPORTS LIVE GAMES,kwahio wanafuata time za UK ndio maana game hizi ni 1945 UK whether saa wakirudisha nyuma au wakisogeza mbele wanafuata UK time 1945 ndio maana huku tz mara inakuwa 2245 au 2145 lakini UK ni 1945.
do you feel the heat?
Chelsea 1 Shalke 0