baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,698
- 18,144
Hesabu kali sana kula hiyo King4+6=10
Hesabu kali sana kula hiyo King4+6=10
Inamaana hako kanembo ka Rungwe ndio kanaandaliwa kupitia tittle ya Mwalim kuja kusimamia Reforms ama!!?Kunakete mpya yenye tittle ya mwalimu itatokea kwenye hii checkers ndio itafanya reforms kwenye checkers hii
Hapana,hako ni mshirika wa kete ya sita na ya nne,kapo kimkakati kuvuruga wazarendo halisi lakini hakata fanikiwa,mwalimu ni unknown hata wao hawamjuiInamaana hako kanembo ka Rungwe ndio kanaandaliwa kupitia tittle ya Mwalim kuja kusimamia Reforms ama!!?
Mwalimu ni unknown!!?aiseh!ndio huyo Brother!!?Hapana,hako ni mshirika wa kete ya sita na ya nne,kapo kimkakati kuvuruga wazarendo halisi lakini hakata fanikiwa,mwalimu ni unknown hata wao hawamjui
Hafi mtu Kamanda.😁Kete ya pili ilipigwa 2024,je kete mbili hizi(4+6),je summation zake,si sawa na mwezi zitakazopigwa ?,hekima inahitajika sana
6+4=10Hafi mtu Kamanda.😁
"Kifaa Cha kufukua makaburi kimefungiwa Hadi Sasa"by infiltrator!Hafi mtu Kamanda.😁
KipyaRed army ndo kikosi gani?
Inaanza 6 Ili 4 ashindwe Cha kufanya mission yake iwe imefeli,wakati ana figure out then kipanga anampitia au!!?6+4=10
Mpangilio!6+4=10,yaani 6 kwanza au!!labda wanadhani wakianza na 4 nne,SITA 6 atapanic sana na kumimina ghadhabu Kwa hata wasio husika na damage yaweza kuwa kubwa ama!!?Mi nadhani ikiliwa 4 huyu 6 ni kama kumsukuma mlevi tu na checkers wataneemeka. Lakini ikiliwa 6 kwanza kabla ya 4, naona kama safari itakua ndefu kidogo kwa chekers kufikia neema. 🤔
Nimekusoma! Kwa hoja uliyoweka naungana na wewe, Anyways busara inahitajika.Mpangilio!6+4=10,yaani 6 kwanza au!!labda wanadhani wakianza na 4 nne,SITA 6 atapanic sana na kumimina ghadhabu Kwa hata wasio husika na damage yaweza kuwa kubwa ama!
PM?Mwalimu ni unknown!!?aiseh!ndio huyo Brother!!?
Neema kwa wavuja jashoPole,siku zitapita na muda utawadia ,utajua namna gani kete hizi mbili zimeliwa