Uchaguzi hauta haribika, kwasababu kupiga kura ni hiyari ya mtu siyo lazima.Vikundi hivi, ambavyo sasa vinajulikana sana kama Jeshi la Bendera Nyekundu (Red Army), si sehemu ya ulinzi wa raia wala programu yoyote rasmi ya umma. Badala yake, vinaonekana kuwa sehemu ya mkakati wa siri wa kuimarisha udhibiti wa kisiasa wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 unakaribia.
Kuna watchdogs za kimataifa zinafuatilia kila hatuaUchaguzi hauta haribika, kwasababu kupiga kura ni hiyari ya mtu siyo lazima.
Sisi HATUTAPIGA KURA lakini wao watatumia taarifa zako za chaguzi zilizopita wata sema ulipiga Kura na mgombea wao kashinda kwa kishindo.
Turn over ya wananchi haita kuwepo, lakini watalazimisha hivyo hivyo, na kwasababu hatutakwenda kupiga kura watashinda, na hakuna wa kuwazuia.
NIDA wanayo wao BVR wanazo wao, na hilo wanaliita daftari la mpiga kura wanalo wao, una wazui vipi?
Uchaguzi hamna!Kuna watchdogs za kimataifa zinafuatilia kila hatua
UbharamuseHapa najikuta mtu wa kwanza kumuogopa n mleta Uzi...🤔
Mtu wa kawaida huwez andaa code next level kama hii!!!
Anyway: Endeleeni kutupa somo kina kanjanja tutoke gizani..
🤲🤲🤲🤲Kuna awamu SITA za uongozi awamu nne zimeshatangulia ambazo ni mchonga,ruksa,lodilofa na chuma!
Awamu zilizobaki ni 6 na 4,jumla Yao ni 10 mwezi wa uchaguzi!!awamu ya mwisho kuondoka ni ya pili mwaka jana 2024 ambaye ni ruksa!!
Sasa je kabla ya jumla kuu (mwezi wa 10) ya kete mbili zilizobaki zitakua zimeliwa!!?
Unamaanisha hivyo!!?
Ngoja tuone!!
NAmkubali sana, itaniuma sana.Yuko nyuma ya pazia,kete yake itapigwa pia kama kete ya drafti ya awamu ya 1,2,3 na ya 5 ilivyopigwa
Hao hata usiwape uziti, hawasaidii demokrasia na haki.Kuna watchdogs za kimataifa zinafuatilia kila hatua
Ni monster,lakini hii kete mwaka huu,haitasaliaNAmkubali sana, itaniuma sana.
Kafanya kosa gani?Ni monster,lakini hii kete mwaka huu,haitasalia
Nani mstaafu anaetaka Rcs,Das,Ras wasiwepo!!?,mafao ya wastaafu kufutwa!!?Raise ambaye ni toothless na Hana uwezo wa kuteua yeyote !!?cheo Cha waziri mkuu kifutwe kisiwepo!!?Kafanya kosa gani?
Pool table hiiMtiririko wa drafti lako,unajumla ya kete sita hadi sasa lakini kete nne zimeshapigwa,na kete ya mwisho kupigwa ilikuwa ni ya awamu ya pili ya drafti lako,hadi sasa kuna kete mbili tu kwenye drafti lako,je summation ya hizi kete mbili zilizo baki (4+6=10) si sawa na mwezi katika mwaka huu zitakavyopigwa ,inahitaji hekima zaidi
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwasheeAssume drafti lilikuwa na kete sita,6+4=10, lakini kete mbili zimepigwa tena,kwanini drafti gumu hivi?,Mwezi wa 10
Kunakete mpya yenye tittle ya mwalimu itatokea kwenye hii checkers ndio itafanya reforms kwenye checkers hii