Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

Mtiririko wa drafti lako,unajumla ya kete sita hadi sasa lakini kete nne zimeshapigwa,na kete ya mwisho kupigwa ilikuwa ni ya awamu ya pili ya drafti lako,hadi sasa kuna kete mbili tu kwenye drafti lako,je summation ya hizi kete mbili zilizo baki (4+6=10) si sawa na mwezi katika mwaka huu zitakavyopigwa ,inahitaji hekima zaidi
Kete = Marais
Kupigwa= kufariki
Kete zilizobaki = Marais waliopo
4 na 6 = Awamu ya 4 na 6
4+6 =10= Oktoba= Mwezi wa Uchaguzi so 4 kumsaidia 6 mwezi wa kumi kwenye Uchaguzi

Mengine endeleeni
 
Hizi kete mbili zimekaa kimchongo sana, ilikua ni afadhali zingeliwa hizo ila hamna namna.
Na kete ya sita ilivyo kaa kuna namna tukawa nayo kwa kitambo kirefu bila shaka! Inasaidizana sana na kete ya nne.
Yote ya yote mchezo si mwepesi , inaweza kutokea kusiko julikana kete ya saba ika leta mapinduzi ya daima kwenye mchezo wa drafti
 
Back
Top Bottom