Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,871
- 3,135
- Thread starter
- #61
Reformed checkers iko karibuDah hii code ni extraordinary
Reformed checkers iko karibuDah hii code ni extraordinary
Lakini mkuu dafti linachezwa na pande 2, kila upande unajaribu kuchek na kucalculate moves za upande wa pili na kufanya counter attack. Nadhani wachezaji wote ni wabobevu kwenye hili game, mchora draft ndo muamua mechi?Mwaka ni mwaka wa neema na ni mwaka wa huzuni kuu kwa baadhi
Lakini mkuu dafti linachezwa na pande 2, kila upande unajaribu kuchek na kucalculate moves za upande wa pili na kufanya counter attack. Nadhani wachezaji wote ni wabobevu kwenye hili game, mchora draft ndo muamua mechi?
Heri mwerevu, heri mwenye hekima maana ataona ya sirini, katika checkers hii inahitaji hekima kuifungua code yakeLakini mkuu dafti linachezwa na pande 2, kila upande unajaribu kuchek na kucalculate moves za upande wa pili na kufanya counter attack. Nadhani wachezaji wote ni wabobevu kwenye hili game, mchora draft ndo muamua mechi?
"The state na st.peters ni taasisi tofauti,pale st.peters Kuna wenye kulinda wakubwa na wanafikiri wanazo means za kuyaacha mambo yakabaki hivi hivi,watakaushwa kimya kimya na baada ya muda hawatokuwepo!!lakini the state imetoa mpaka mwakani(2022)mchakati wa katiba mpya uwe umeanza rasmi,nasikitika kusema mtajwa asipofanya hivyo hadi mwakani itakua too late kwake"By Tumia akili kwenye Uzi "operation imesitishwa the state amesema apewe muda!!Lakini mkuu dafti linachezwa na pande 2, kila upande unajaribu kuchek na kucalculate moves za upande wa pili na kufanya counter attack. Nadhani wachezaji wote ni wabobevu kwenye hili game, mchora draft ndo muamua mechi?
Checkers kete zake zote zitaliwaKweli JAL 1 is done 2 and 3 are next!
Hizi codes kweli ngumu, zinahitaji hekima na akili ya kutosha sana. Its like sitting on the same table with your enemy and devising strategies of destroying each other, At the end one becomes the winner. It looks funny."The state na st.peters ni taasisi tofauti,pale st.peters Kuna wenye kulinda wakubwa na wanafikiri wanazo means za kuyaacha mambo yakabaki hivi hivi,watakaushwa kimya kimya na baada ya muda hawatokuwepo!!lakini the state imetoa mpaka mwakani(2022)mchakati wa katiba mpya uwe umeanza rasmi,nasikitika kusema mtajwa asipofanya hivyo hadi mwakani itakua too late kwake"By Tumia akili kwenye Uzi "operation imesitishwa the state amesema apewe muda!!
NB.
Hizo pande mbili ziliwekwa na hao the state Sasa ,ukiona wametia taarifa kupitia Uzi wa "Brother" maana yake "process"tayari IPO kwa blood stream ya wahusika kupisha mchakato mkuu wa reforms!!
Nadhani,nawaza!naomba Mungu!!
KAZI na utu tunasonga mbele!
Checkers kete zake zote zitaliwa
Haina hesabu ya kuwa keteMbona kama wanataka kete kongwe zote ziliwe tubaki wenyewe!!?patatosha kweli!!
Hiyo kete ilioshindwa uenyekiti na yule mlemavu na Sasa Inashiriki ku destabilize process ya NRN mayo itadumu!?au shall return to roost!!?
Kunakete mpya yenye tittle ya mwalimu itatokea kwenye hii checkers ndio itafanya reforms kwenye checkers hiiMbona kama wanataka kete kongwe zote ziliwe tubaki wenyewe!!?patatosha kweli!!
Hiyo kete ilioshindwa uenyekiti na yule mlemavu na Sasa Inashiriki ku destabilize process ya NRN mayo itadumu!?au shall return to roost!!?
Red army ndo kikosi gani?Vikundi hivi, ambavyo sasa vinajulikana sana kama Jeshi la Bendera Nyekundu (Red Army), si sehemu ya ulinzi wa raia wala programu yoyote rasmi ya umma. Badala yake, vinaonekana kuwa sehemu ya mkakati wa siri wa kuimarisha udhibiti wa kisiasa wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 unakaribia.
mkuu kete ya nne ina shida gani mpaka iliwe?Wafuasi na chawa wa kete hizo mbili hawataamini
Hatmamkuu kete ya nne ina shida gani mpaka iliwe?
We Sasa ndio nimekuelewacode inasoma : jiwe katawala miaka 6 akaliw na kingi + 4 ya mama=10 ,wakuu iv eleksheni ni mwez wangap? huenda kete1 nayo ikaliwa naking.. kuna swali lnajtokea nan king sasa!
Kete Ngumu sana hii ni ya moto sana ila kila kubwa ina kubwa yakeKete 4 hii kete inapita mtari mkuu kama king.
Hii kete sizani kama kuna wa kuila sizani.
Ukigeuza draft kuna kete upande wa pili zimevurugwa zikadondoka zikabaki kete mbili.
Moja imezuiliwa haiwezi sogea moja inacheza lakini haiwezi kula kete za mpinzani..
Yote na yote kete zinasukumwa kama kawaida.
4+6=10Kete Ngumu sana hii ni ya moto sana ila kila kubwa ina kubwa yake
Ngoja tuone kete zinavyoliwa kwenye checkers hii
Heri mwenye hekima, heri mwerevu maana atafungua code hiiWe Sasa ndio nimekuelewa
Pole,siku zitapita na muda utawadia ,utajua namna gani kete hizi mbili zimeliwaSisi wacheza Chess hatujui kitu kuhusu checkers/draught...