Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,968
- 4,063
Mkuu mpeni ulinzi wa kila ainaWakubwa wastaafu wote hawawezi kukubali hayo coz watakisa kuandika vimemo na kujipendekeza Kwa Rais Kwa ajili ya maslahi yao!!
Mkuu mpeni ulinzi wa kila ainaWakubwa wastaafu wote hawawezi kukubali hayo coz watakisa kuandika vimemo na kujipendekeza Kwa Rais Kwa ajili ya maslahi yao!!
Namuona MKM kama nI mwalimu,na ana uthubutu na maamuzi magumu!!Unknown lakini title yake ni mwalimu,anajulikana
Mkuu hii Code ya MKM ni mkuu wa wilaya ya Rufiji au?Namuona MKM kama nI mwalimu,na ana uthubutu na maamuzi magumu!!
Sio PM?Mkuu hii Code ya MKM ni mkuu wa wilaya ya Rufiji au?
alisema sio huyuSio PM?
Ongezea na wanywa kahawa mkuuHakuna watu wanaoona wameyapatia maisha kama wacheza draft….