Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,880
- 3,154
- Thread starter
- #121
Unknown lakini title yake ni mwalimu,anajulikanaMwalimu huyu afanye reforms
Unknown lakini title yake ni mwalimu,anajulikanaMwalimu huyu afanye reforms
We hope for the bestUnknown lakini title yake ni mwalimu,anajulikana
Mwandiko kama wa Tumia akiliAssume drafti lilikuwa na kete sita,6+4=10, lakini kete mbili zimepigwa tena,kwanini drafti gumu hivi?,Mwezi wa 10
Kete 4 hiyo ni kama King cobra inameza nyoka wenzie plus imekaa kwenye system mda mrefu alafu ina sumu kali hiyo King kuliwa inakua kazi sanaUnknown lakini title yake ni mwalimu,anajulikana
Mbele ya Mda
Haina mwendo kete hiyo inaliwa,mwaka jana ilinusu harufu,hali yake ilikuwa tete,kete hii 2025 inapigwaKete 4 hiyo ni kama King cobra inameza nyoka wenzie plus imekaa kwenye system mda mrefu alafu ina sumu kali hiyo King kuliwa inakua kazi sana
Ina nyoka wengi ndo shida ndo maana ilinusa harafu kila sehemu ina nyokaHaina mwendo kete hiyo inaliwa,mwaka jana ilinusu harufu,hali yake ilikuwa tete,kete hii 2025 inapigwa
Aiseee, hii ni sawa fisi aliyevamia zizi lako la wanyama akachukua kondoo, ukatoka kumnyang'anya, halafu wewe uonekane una kosa kweli?Nani mstaafu anaetaka Rcs,Das,Ras wasiwepo!!?,mafao ya wastaafu kufutwa!!?Raise ambaye ni toothless na Hana uwezo wa kuteua yeyote !!?cheo Cha waziri mkuu kifutwe kisiwepo!!?
Wakubwa wastaafu wote hawawezi kukubali hayo coz watakisa kuandika vimemo na kujipendekeza Kwa Rais Kwa ajili ya maslahi yao!!
Refer Uzi wa "Brother"
Lazima wastaafu watataka kuzuia Yale maagizo ya Brother asitekeeleze Wala yasiwtepo kwenye katiba!!
Ndio maana kete lazima ziondolewe!!
Nawazaw na kuwazua
Nadhani!!
Mossad=CIA=M16 hao ni wamoja kimedani hasa Globally!!Aiseee, hii ni sawa fisi aliyevamia zizi lako la wanyama akachukua kondoo, ukatoka kumnyang'anya, halafu wewe uonekane una kosa kweli?
Kingine mkuu RESILIENT KATO Mzee anaujua huu mpango?
Je tahadhari anachukua?
Je hana vijana watiifu wenye weledi wakamlinda ipasavyo?
Je haiwezekani kuwekewa ulinzi wa Mossad na M1..
Du hii nimeielewaMossad=CIA=M16 hao ni wamoja kimedani hasa Globally!!
Sasa mfumo wanaotaka the state ni kama wa America ulivyo Sasa hayo mashirika hayawezi kujipinga coz Wana maslahi yao kimfumo!!
"The state Haina feelings towards individual,Bali wanajaoi maslahi ya taifa"!unajuaje hao walinzi ma body guard Wana kiapo Cha siri Cha kulinda maslahi ya taifa!!?
Unakumbuka Kuna dereva wa Dr. Tibazonkiza alifariki dokta kashangaa eti msiba unapigiwa mizinga,kumbe alikua hajui yule dereva alikua ni intelligence was JWTZ!!
Kila mlinzi wa kiongozi anafanya ulinzi kwa maslahi mapana ya taifa sio Kwa maslahi binafsi linapokuja swala Zima la kulinda viongozi wa kitaifa!!
Wanafuata maelekezo na codes wanazotakiwa kuzitanyia KAZI na sio matakwa ya kiongozi pekee!!
Nadhani!
Tumia AI,tuone itajibuje,si tumeshindwaKete ya pili ilipigwa 2024,je kete mbili hizi(4+6),je summation zake,si sawa na mwezi zitakazopigwa ?,hekima inahitajika sana
Aiseee ndio nasikia kwako kuhusu Tibazonkiza kwamba amewahi kufiwa na dereva.Unakumbuka Kuna dereva wa Dr. Tibazonkiza alifariki dokta kashangaa eti msiba unapigiwa mizinga,kumbe alikua hajui yule dereva alikua ni intelligence was JWTZ!!
Protocols za usalama hazipo chini ya kiongozi Bali jamuhuri!!unaweza pendekeza jambo fulani Waka ku outsmart na kukupa uongo na kweli kuhusu jambo fulani!!Aiseee ndio nasikia kwako kuhusu Tibazonkiza kwamba amewahi kufiwa na dereva.
Hivi mfano wewe uje uwe Waziri mkuu au Makamu wa wa rais, ukiwa na dereva wako, vipi ukiomba file lake huwezi kupata ili ujue details zake, kwamba dereva wako Cv zake zikoje za wazi na za sirini hata kwa wafanyakazi nyeti ofisini kwako wote,
Ili ujue kuwakwepa baadhi ya mambo kufanya machoni pao.
Aisee mfano huyu namba one wetu wa sasa ambaye yasemwa kwa muda mrefu yuko kwenye system (Tiss) kila kona anaijua system na mwalimu wake aliyemweka madarakani KJ, nasikia asilimia kubwa ya askari nchini yasemwa huenda 90% ni watu walio watiifu sana kwake sababu ya kuwaingiza yeye au watu wa timu yake,Protocols za usalama hazipo chini ya kiongozi Bali jamuhuri!!unaweza pendekeza jambo fulani Waka ku outsmart na kukupa uongo na kweli kuhusu jambo fulani!!
Nasikia wakati wa kikwete pale tabora protocols Fulani za msafara hazikufuatwa baadae alipouliza kwanini akaaambiwa kulikua na wanafunzi Wana goma ndio maana!!
Yaani unaweza kuuliza ufafanuzi baada ya kutokea jambo Fulani ambalo ulikua hujui!!
Utapendekeza na wao watapendekeza halafu watakuambia Kwa maslahi ya jamhuri!!
Ishu sio file!ishu ni kitengo kimekutuma kufanya Nini katika office yake!Aisee mfano huyu namba one wetu wa sasa ambaye yasemwa kwa muda mrefu yuko kwenye system (Tiss) kila kona anaijua system na mwalimu wake aliyemweka madarakani KJ, nasikia asilimia kubwa ya askari nchini yasemwa huenda 90% ni watu walio watiifu sana kwake sababu ya kuwaingiza yeye au watu wa timu yake,
Wote wawili HSS na KJ sehemu nyeti viongozi wake hadi kwenye Ma File waweke watu wao,
Je wakiomba File lako liwe na ukweli 100% watanyimwa?
Ni sahihi.Hii game ni kwa watu smart tu na waliosoma Cuba
Aiseeee, mambo ya ya Jamhuri si mchenzo.Ishu sio file!ishu ni kitengo kimekutuma kufanya Nini katika office yake!
We unaamini ndugu nchimbi alikua Team lowasa!!?au alikuwepo kule ku spin movement za upande ule!!?
Niliwahi kusoma mahali sababu mojawapo ya Benard membe kuwa recruited ni uwezo wa kongea uongo kama ukweli vile na ukaaminika!!
Wengine ni double agent,wengine ni mission ndani ya mission!!
Unakumbuka laurant kabila aliemuua pale DRC congo!!?hakua mtu wa karibu!!
Wanausalama wameapa kufa kwa ajili ya taifa sio mtu!kufahamiana sio tiketi ya kupata favor ya asilimia zote toka kwao!!
Mfano josephat Gwajina ye ni team ipi!!?mbona alitumika kipindi Cha kikwete,kipindi Cha jpm na sasa kipindi Cha mama ametumika Tena kuwatoa pangoni tekateka fc!!?
Nasikia kipindi Cha kumpitisha jpm ndani ya chama Kuna baadhi ya mafile yalinyofolewa eti kuhusu afya yake ya akili!niliwahi soma Mahalia pia!!
Unaweza omba file ukapewa na bado akawa sio loyal kwako !
Mbona mama kabadilisha wakurugenzi wa idara Maya nne he hakua na uhakika na vetting yake!!?
Nadhani na kufikiri pia!
😂😂☝️Nasikia kipindi Cha kumpitisha jpm ndani ya chama Kuna baadhi ya mafile yalinyofolewa eti kuhusu afya yake ya akili!niliwahi soma Mahalia pia!!