Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

code inasoma : jiwe katawala miaka 6 akaliw na kingi + 4 ya mama=10 ,wakuu iv eleksheni ni mwez wangap? huenda kete1 nayo ikaliwa naking.. kuna swali lnajtokea nan king sasa!
 
Mtiririko wa drafti lako,unajumla ya kete sita hadi sasa lakini kete nne zimeshapigwa,na kete ya mwisho kupigwa ilikuwa ni ya awamu ya pili ya drafti lako,hadi sasa kuna kete mbili tu kwenye drafti lako,je summation ya hizi kete mbili zilizo baki (4+6=10) si sawa na mwezi katika mwaka huu zitakavyopigwa ,inahitaji hekima zaidi
Kuna awamu SITA za uongozi awamu nne zimeshatangulia ambazo ni mchonga,ruksa,lodilofa na chuma!

Awamu zilizobaki ni 6 na 4,jumla Yao ni 10 mwezi wa uchaguzi!!awamu ya mwisho kuondoka ni ya pili mwaka jana 2024 ambaye ni ruksa!!

Sasa je kabla ya jumla kuu (mwezi wa 10) ya kete mbili zilizobaki zitakua zimeliwa!!?

Unamaanisha hivyo!!?

Ngoja tuone!!
 
Kete 4 hii kete inapita mtari mkuu kama king.
Hii kete sizani kama kuna wa kuila sizani.
Ukigeuza draft kuna kete upande wa pili zimevurugwa zikadondoka zikabaki kete mbili.
Moja imezuiliwa haiwezi sogea moja inacheza lakini haiwezi kula kete za mpinzani..
Yote na yote kete zinasukumwa kama kawaida.
 
Kuna awamu SITA za uongozi awamu nne zimeshatangulia ambazo ni mchonga,ruksa,lodilofa na chuma!

Awamu zilizobaki ni 6 na 4,jumla Yao ni 10 mwezi wa uchaguzi!!awamu ya mwisho kuondoka ni ya pili mwaka jana 2024 ambaye ni ruksa!!

Sasa je kabla ya jumla kuu (mwezi wa 10) ya kete mbili zilizobaki zitakua zimeliwa!!?

Unamaanisha hivyo!!?

Ngoja tuone!!
Mkuu uko sawa kabsa
 
Back
Top Bottom