Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Washambuliaji ni wana-Chato ambao Tundu lissu anawasema wamepelekewa maendeleo kwa upendeleo
IGP kama kweli yuko serious basi aanze na hao WAHUNI WA CCM, hayo MAGENGE ndio yatakayotumika pia kupora nakala za matokeo kwa Mawakala kama ambavyo walifanya kwa Wagombea Ubunge na Udiwani. This is a failed Government, Magufuli must go.
 
Wacha ashughulikiwe, atatia adabu tu. Wananchi wa Chato sio wa mchezo mchezo.
 
Wacha ashughulikiwe, atatia adabu tu. Wananchi wa Chato sio wa mchezo mchezo.
IGP kama kweli yuko serious basi aanze na hao WAHUNI WA CCM, hayo MAGENGE ndio yatakayotumika pia kupora nakala za matokeo kwa Mawakala kama ambavyo walifanya kwa Wagombea Ubunge na Udiwani. This is a failed Government, Magufuli must go.
 
Ku attack msafara wa mgombea yeyote sio jambo la kiungawana.

Lakini lazima uulize akili za strategist wa CDM kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Chato?

This is just a provocation kwa watu wa Chato mambo mengine ni ya kujitakia anawapa walinzi wake binafsi na jeshi la polisi kazi ya ziada wakati mwingine.
Wanatafta kutrend, hiyo ndo siasa ya CDM , utaona vichwa vya magazeti kesho.
 
Mbona hata Rais Mstaafu Kikwete msafara wake uliwahi kushambuliwa kwa mawe? Kuna watu bado ubongo wao haujapevuka. hata kwenye majukwaa ya kisiasa bado watu hoja zao ni matusi tu nao ni sawa na hawa wanaorushia mawe viongozi, mawe mengine yanarushwa humu JF watu badala ya kujibu hoja wanatukana tu!
Tuwaombee wastaarabike, Ameen!
2810
 
Wanatafta kutrend, hiyo ndo siasa ya CDM , utaona vichwa vya magazeti kesho.
It is not going to work Lissu na watu wake (mabeberu waliomtuma) washajiandaa kushindwa ndio maana wanajitangaza washindi mapema sijui Lissu anasapoti kubwa ndani ya Tanzania etc with nonsense ya kutengeneza mazingira ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kujaribu kuanzisha vuruga.

Hawatafanikiwa bila ya hata serikali kuwazuia kwa sababu Lissu atopata support ya viongozi wenzake wajuu ndani CDM including Mbowe mwenyewe, achilia mbali wa Tanzania walio wengi.

The guy is just dillusional na waliomtuma awaifahamu Tanzania vizuri, bora wangemtafutia daktari wa kumtibu psychology issues zake tu.
 
Wasalaam wana jamvi!

Nimeshangazwa na kitendo cha Lissu kuamuru kufungwa kwa barabara baada ya msafara wake kushambuliwa na wahuni ...kitendo cha Lissu kutaka barabara ifungwe kisa yeye ameshambuliwa wakati sio wana chato wote ndio wamemshambulia na alitakiwa kuwavumilia kama ambavyo huwa ana waaminisha watanzania kuwa yeye ni mvumilivu na watu watakuwa huru akipewa nchi.

Kwanini Mh Lissu anakuwa dikteta mapema hivi kabla hajapewa nchi? Kwanini asivumilie akasubiri jeshi la polisi wawatafute waaharifu hao?

Lakini kwa upande mwingine Mh Lissu amekuwa ni chanzo cha uvunjifu wa amani kutokana na matamshi yake mwenywe.

Mfano hao wana chato wamekuwa wakitukanwa miaka mitatu na chadema na Tundu Lissu na amekuwa akiwasema vibaya kila leo.

Lissu jana alikwenda mbele zaidi na kumtukana mwanachato kuwa ni mshamba tena huko uko kanda ya ziwa.

Mimi bado najiuliza kuwa Lissu alitarajia nini kutoka kwa aliokuwa ana watukana kila leo? Kwanini amekuwa chanzo cha vurugu na uvunjifu wa amani kila leo?
 
Wewe ni pumbavuu kiwango cha lami, magufuli alipokelewa kwa heshima Ikungi iweje ufurahie Lissu kushambuliwa chato.
Hivi huko lumumba huwa mnabakwa?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app

Hili suala hali pendezi kabisa, ila na Bwana Lissu matumizi ya kauli za kuudhina ushari, jaribu uwe unalenga wapi pa kuzitoa, kiiungwana tuu, fanya kama alivyo fanya mwenzio kwenu Ikungi, Singida.

MKUU ULIYE LETA UZI HUU LETE TULETEE HUTUBA YA LISSU CHATO ITATUSAIDIA SANA HAPA KUPUNGUZA MUNKARI WA WANA JF. WENGINE SISI WAOGA. AU NIKUTUMIE KWENYE INBOX ILI UIPANDISHE?
 
Lissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe tena wampige mawe haswaa
Mbona Dr. Magufuli alikwenda Singida? Acha siasa za kitoto haya ni maisha kila mtu ana uhuru wa kuchagua kiongozi anayemtaka
 
Back
Top Bottom