Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Hii ni kazi ya halmashauri kwa kutumia ushuru wanaokusanya kutoka maegesho ya magari katika stendi ya chato, muulizeni mnyika mapato ya stand ya ubungo kafanyia nini kwa wana ubungo?
:A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:
 
Taa huwekwa kwa ajili ya kuongoza magari/ kuweka usawa katika matumizi ya barabara kuepusha ajali! ivo cdhan kama ni issue kuwekwa taa za brbrn wilayan! tulisha kalili taa hadi kwenye msongamano wenzetu hata kama gar mbili hupita! hata kijijini uweza kuweka taa za barabarani!

Hapana . Hii sio sahihi. .

Kinachowezesha taa kuwepo barabara inatokana na idadi ya magari ama uwepo mkubwa wa visababishi ajali barabarani kutokana na watumiaji na matumizi yenyewe.

Kuna hatua zinafuatwa kabla ya kuweka taa.

1. Tunaangalia hali halisi kiusalama wa barabara... basic rule of the road.. hapa unamruhusu mwenzako wa kulia katika makutano.

2. Alama za barabarani kama stops sign, yield line iwapo hatua 1 ikishindikana

3. Na kama zote hapo juu zikishindikana basi unatumia taa za barabarani
 
Kuweka mataa chato ni matmizi mabaya ya fedha za umma, hata ukihamua kupita pale ukiwa umefumba macho sidhan kama kuna GARI utagongana nalo. Kwa takwimu za haraka GARI upita pale kila baada ya dakika 40, sasa hiyo ndo sehemu ya kuweka taa nawakt kuna miji haina hizo taa badala yake wanatumia roundabout

Kwa kusoma kwa haraka... hujui unachokiandika
 
Hii ni kazi ya halmashauri kwa kutumia ushuru wanaokusanya kutoka maegesho ya magari katika stendi ya chato, muulizeni mnyika mapato ya stand ya ubungo kafanyia nini kwa wana ubungo?


Wow! Kumbe kuna halimashauri zinaisaidia TANROAD? Haitokei barabara iliyo chini ya TANROAD kuhudumiwa na halmashauri. Usizuge!
 
Hapo ni njia panda ya kwenda bukoba kyaka hadi Uganda, magari hayakai yanafika yanashusha na kupanda yanaondoka, lakini ushuru unaingia,sasa mnyika na misongamano yote hiyo kashindwa kutumia mapato ya ndani kuwaletea wanaubungo maendeleo. kabla ya magufuli kama unataka kwenda bukoba ilibidi kuzungukia biharamulo akatengeneza shot cut ya kupitia chato hadi muleba sasa hivi ni safari ya masa saba mwanza bukoba. mbona mbowe kajengewa barabara ya lami wakati hamna hata basi moja linalokwenda hai zaidi ya noah (viford) na bodaboda.

Unajua Mt .Kilimanjaro? Kule pia kuna njia ya kupanda huo mlima via hiyo road.
 
Hapo ni njia panda ya kwenda bukoba kyaka hadi Uganda, magari hayakai yanafika yanashusha na kupanda yanaondoka, lakini ushuru unaingia,sasa mnyika na misongamano yote hiyo kashindwa kutumia mapato ya ndani kuwaletea wanaubungo maendeleo. kabla ya magufuli kama unataka kwenda bukoba ilibidi kuzungukia biharamulo akatengeneza shot cut ya kupitia chato hadi muleba sasa hivi ni safari ya masa saba mwanza bukoba. mbona mbowe kajengewa barabara ya lami wakati hamna hata basi moja linalokwenda hai zaidi ya noah (viford) na bodaboda.

Mbowe akiiba na wewe utaiba??
 
Kwani taa ni sh ngapi? Akiwa Rais ataipendelea Tz nzima. Chato ina hispital nzuri toka 2000's ina barabara ya lami toka 2000's. Anajitahidi sana mlikua mnamsema Membe kwa kushindwa kuleta maendeleo kwao.

Suala la kupeleka taa za barabarani Chato halina tafsiri nyingine yeyote zaidi ya ubinafsi. Kwa TZ hii ilivyo huwezi kuniaminisha kwamba Chato kuna pilikapilika nyingi za magari na watu kuliko Morogoro, Dodoma, Iringa, Moshi n.k. sehemu ambazo hazina taa za barabarani kiasi cha kukidhi mahitaji.
 
attachment.php

Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?

Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.

Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi

Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.

Lowassa akiwa waziri alishughulika na matatizo ya watz wote,Na huyo ndiye mtu anafaa kuliongoza taifa kwa sasa.[/QUOTE ]

Taa za kuongoza magari mjini ni wajibu wa halmashauri husika. Waziri hausiki.
 
Nimekuwanikifika Chato na kutoka. Zamani eneo linaloitwa kwa Magufuli lilikuwa ni eneo la kawaida tengefu kama km tatu kutoka Chato mjini barabara ya Mwanza-Bukoba. Baada ya miaka mitano toka Maguri amekuwa Mbunge eneo la kuzunguka pale ambalo nakadiria kuwa na ekari nyingi sana ghafla liligeuka kuwa Ka mji kadogo Ka kisasa Ka kifamika kote kumilikiwa na Magufuri huku Nyumba za wamiliki wa awali kuhamishwa na Maghufuri.

Haileweki walihama vipi. Zilujengwa nyumba nyingi ndogo zilizo anza kutumika kama makao ya kupangisha (Estate) Kukiwapo Bus stopover ya kisasa, kanisa, Social hall nk nk. Eneo hili lililo fahamika kama kwa Maghufuri, lilifanyiwa promo na miradi ya kitaifa.

Japo Barabara ya Mwanza-Bukoba haikuwa ktk plan ya kuwekwa lami, alipokuwa waziri wa ujenzi akasimamisha miradu kutoka kwingine ili hii barabara ya kupita kwake iwekwe lami (wanao mfananisha na Nyerere kwa hili wanakosea). Alipo endelea alipitisha miradi mingi kama kujenga makao makuu ya Halmashauri hapohapo ili eneo hilo lipande thamani na kwa kipindi chote waluo kuwa mji wa chato wakatelekezwa kukaanza kujengwa kwa Magufuri.

Kilichofanywa kule mji mkongwe ni vibanda na Barbara inayochipukia huko japo kuna hospitality na kituo cha polisi kuwekwa taa za kuongozea magari. Sababu ya hizo taa uwa najiuliza kwa nini ziliwekwa bila majibu.

Magufuri mwanalie vizuri si mwenzetu sisi maskini kwa mbali.
 
Hiyo ni kweli tupu mkuu watu wa Biharamulo wanamsubili kwa hamu wamwadhibu kwa kuchepusha barabara iliyokuwa ipite Biharamulo ikapita Chato, pia wavuvi wanamsubiri alichoma nyavu zao akaacha wenye viwanda wanaotengeneza nyavu.
 
Magufuli hata mke wake anamuona hafai kuwa rais, ndo maana wala haangaiki nae. Nawashangaa nyinyi

Nashangaa mke wa Magufuli katulia nyumbani huku mke wa Kikwete anahangaika majukwaani ili ufisadi wao ulindwe na mgombea dhaifu wa CCM
 
Mpeni adhabu hafai. Kumbe ndiyo maana anaomba eti chama cha matatizo kisiadhibiwe na eti kitanda cha kunguni kisichonwe moto. Choma kabisa.
 
Back
Top Bottom