Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 4,046
- 3,049
Huyu ni rais wa watanzania wote. sio wale wanataka mji mhimu iwe Arusha au moshi
Hapo penye red lazima pamkoseshe kura nyingi.Malofa ninyi.
Magufuli ndiye raid wetu.
Mkuu lazima BMW waangaike sababu mgombea kashatangaza kufunguaNashangaa mke wa Magufuli katulia nyumbani huku mke wa Kikwete anahangaika majukwaani ili ufisadi wao ulindwe na mgombea dhaifu wa CCM
Teh teh,raid??? means vamizi,raider means mvamiziMalofa ninyi.
Magufuli ndiye raid .
Nashangaa mke wa Magufuli katulia nyumbani huku mke wa Kikwete anahangaika majukwaani ili ufisadi wao ulindwe na mgombea dhaifu wa CCM
Malofa ninyi.
Magufuli ndiye raid wetu.
Malofa ninyi.
Magufuli ndiye raid wetu.
Hiyo ni kweli tupu mkuu watu wa Biharamulo wanamsubili kwa hamu wamwadhibu kwa kuchepusha barabara iliyokuwa ipite Biharamulo ikapita Chato, pia wavuvi wanamsubiri alichoma nyavu zao akaacha wenye viwanda wanaotengeneza nyavu.
hivi lowasa kafanya nini monduli?au mbowe kafanya nini hai?
Malofa ninyi.
Magufuli ndiye raid wetu.
Malofa ninyi.
Magufuli ndiye raid wetu.