Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,856
Malofa ninyi.
Magufuli ndiye raid wetu.
Hakika magufuli ni Raid lakini Lowasa ni Raisi.
Malofa ninyi.
Magufuli ndiye raid wetu.
raid ndo nini mkuu?
Jamaa ni mbinafsi na roho mbaya balaa. Alijenga kanisa kwao lubambangwe waumini wakalisusa baada ya kuona anataka wamuabudu yeye. Jimboni kwake wanamjua mkichagua diwani au mwenyekiti wa upinzani anazuia msililetewe miradi ya maendeleo, hata pesa za mfuko wa jimbo alikuwa anatoa kwa vijiji zenye wenyeviti wa ccm tu. Alifikia hatua anataka kukwepesha umeme upitishwe porini ili kukwepa kata ya bwanga ambayo diwani wake ni chadema. Kifupi akipita ndio mtamfahamu vzr endeleeni kumshabikia tu.
Malofa ninyi.
Magufuli ndiye raid wetu.
Mmawia una updates zozote huko?
Kwahiyo hizo taa ni za kuongozea Punda na wheelbarrow??Unaijua stendi ya Chato na idadi ya magari yanayopaki kwa siku? Kwa wasiofahamu Chato ni kijiji kilichopewa hadhi ya makao makuu ya wilaya kwa mabavu (hakikuwa na sifa hiyo) kwa ajili ya uswahiba wa magufuli na Mkapa nukta. Wakti mwingne unafika stendi hakuna gari hata moja unasubiri. Leta uwongo mwingne.
Kwani taa ni sh ngapi? Akiwa Rais ataipendelea Tz nzima. Chato ina hispital nzuri toka 2000's ina barabara ya lami toka 2000's. Anajitahidi sana mlikua mnamsema Membe kwa kushindwa kuleta maendeleo kwao.
HahahahaaaMagufuli mtaziona rangi zake halisi muda si mrefu....
Huyu mtu ni mbinafsi sana...
Anaweza hata kuwawekea ng'ombe wake vitanda zizini ilhali wagonjwa wanalala chini!
Acha kukariri watu tumepita chato tumezionaPhotoshop