![]()
Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?
Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.
Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi
Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.
Lowassa akiwa waziri alishughulika na matatizo ya watz wote,Na huyo ndiye mtu anafaa kuliongoza taifa kwa sasa.

Wewe unayashangaa ya taa za barbarani na huyashangai ya
Lowassa aliyeyatoa maji Arumeru na kuyapeleka Monduli, hali watu wa Arumeru wana shida ya maji ( angalia video za Dr SLAA alipokuwa anamponda Lowassa kwa ufisadi ).
Aaah mbona maajabu haya.Magufuli sio mzima amewadharau watu wachato.
Bro anaonekana mburula wa histry ya nchi hii uliza pesa kwaajili ya ujenzi wa nyumba za wabunge ilipangwa iwe tshs ngapi nayeye akiwa prime minister alicomand jimbo lake lipewe kiasi gani kwaajili ya nyumba ya mbunge? Fanya uhakiki kabla ya kucoment
Kwani taa ni sh ngapi? Akiwa Rais ataipendelea Tz nzima. Chato ina hispital nzuri toka 2000's ina barabara ya lami toka 2000's. Anajitahidi sana mlikua mnamsema Membe kwa kushindwa kuleta maendeleo kwao.
mwaka huu kwa magufuli hamna cha kisema kilichpbaki ni unafiki eti taa chato,wewe kwa akili yako hao watu wa dar ndo unawaona wa maana sana wengine sio watu,dhambi ya unafiki inawamaliza taratibu
Mkuu hapo uliposema Chato ni njia pekee kuelekea BK kupitia Biharamulo umechemka. Unaweza ukapita Bwanga ukatokea B'mulo na ukanyoosha kufika BKNiambie magari yako Mangapi Chato niambie na sheria zinasemaje? Naijua Chato toka 2004 mpaka leo, naijua chato ni njia pekee ya kuelekea Bukoba kupitia Biharamulo
Nilipoona kichwa cha habari nilijua ni utani!!!!
Taa zinawekwa tu kiholela????
Ishu yangu hapa sio gharama (labda milionin150 zilitosha).....
Natamani nione ripoti iliyohalalisha kuwekwa taa hizo!
Wingi wa magari wa Chato sio sawa na wingi wa magari wa Dar?? Chato hakuna foleni kama Dar. Mengine ni ushabiki tu lakini ukweli unaujua.
Mkuu hapo uliposema Chato ni njia pekee kuelekea BK kupitia Biharamulo umechemka. Unaweza ukapita Bwanga ukatokea B'mulo na ukanyoosha kufika BK
Acha upuuzi chato tunapajuwa hapastahili taa za kuongoza magari. Majiji yote tz ukiachana na manispaa zinahitaji taa kwasababu ya msongamano wa magari na waenda kwa mguu. Chato?. Hapana hapana