Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,643
na lowasa alipochukua maji arumeru na kuyaleta monduli mbona haujasema ubinafsi huo na wakati wameru hadi sasa hawana maji,
mm sio mshabiki mkuu nakwambia ukweli hata chato wanalipa kodi na wao wanastaili ,je unajua zilipowekwa kuwa kuna mtelemko na njia ya watembea na miguu ,na hizo zinasaidia kupunguza ajari hapo au unacoment kisa umeona uzi humu pasipo kujua why?
Lowassa amehusikaje na mada ya taa za barabarani?? Anyway kwakuwa anakuwasha embu sema jinsi alivyotoa maji ziwa victoria kwa ajili ya wakazi wa shinyanga na kahama je?? Mahitaji ya taa za barabarani ndio mada mkuu acha mihemko ya Lowassa huu uzi ni wa taa za chato kusikokuwa hata na foleni.