ChatGPT ni Mlokole? Mbona ana tabia za kilokole?

ChatGPT ni Mlokole? Mbona ana tabia za kilokole?

Hayo maneno umeyatoa wapi mnali na Biblia ya wakoloni? Je una reference nje ya Biblia ya wakoloni?
 
Hayo maneno umeyatoa wapi mnali na Biblia ya wakoloni? Je una reference nje ya Biblia ya wakoloni?
Ulifeli somo la historia? Aliyekuambia Biblia ni ya wakoloni ni nani?
 
Nimeamini chizi aponi bali anapata nafuu tu, mlio karibu na huyu ajuza toeni vitu vyenye ncha Kali, rungu na milango mfunge asitoroke
It is rather lamentable that instead of engaging with substance or offering a cogent counterpoint, you’ve resorted to juvenile ridicule and verbal aggression. Such utterances betray a profound deficiency of discernment and character. Scripture reminds us that ‘every idle word that men shall speak, they shall give account thereof in the day of judgment’ (Matthew 12:36). I sincerely hope you recover, not from madness, but from the bitterness that festers in your soul. May the Lord grant you the civility your tongue so desperately lacks.
 
Hili swali kamuulize mtoto wako usikie majibu yake.
Mtoto? Umeenda mbali sana. Hata wewe siwezi kukuuliza swali hilo. Nilimuuliza ChatGPT kwakuwa sijawahi kumsikia akitukana, hivyo nilitarajia majibu mazuri.
 
Kauli mbiu ya "In God We Trust" katika Taifa la Marekani imechangia kuzaliwa kwa ChatGPT.
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa(Mit 1:7)
 
Wewe tangu uanze kuchat naye amewahi kukushawishi utukane au ulipe kisasi? Kama sio, ni wazi amefundishwa zaidi maadili ya Biblia yanayozingatiwa na walokole
Ameundwa kufanya wema,sio ulokole, maana mtu wa imani yoyote anaenda nae na kumpa majibu kulingana na imani yake,sijui katika upagani.
 
Leo nimeamini hakuna mlokole mzima ni machizi waliungana wakaanzisha ulokole
 
Kuna mengi ya msingi ya kujifunza na sio huu upuuzi, eti unaweza kunitukana, vipi jibu lingekuwa yes, linge add nini kwenye maisha yako

Next time iulize ikuelekekeze how to ask logical questions

🗑
We tangu lini uliona mlokole akawa mzima? Kuna mwaka walokole walienda Airport bila nauli wala passport wakawa wanapiga maombi wanataka kwenda ulaya kuhubiri wanaamini maombi yatawasaidia kuruhusiwa kupanda ndege kwenda huko wanapotaka, sasa si ni machizi hawa
 
Leo nimeamini hakuna mlokole mzima ni machizi waliungana wakaanzisha ulokole
Huwezi kumkwepa Mungu. Ukinikwepa mimi, anakuletea chatGPT inayokuongoza kutenda sawasawa na Neno la Mungu. Ukiikwepa chatGPT, anakuletea ndoto za mwisho wa dunia.
 
Katika zama hizi za teknolojia ya hali ya juu, akili unde(AI) imeingia katika kila nyanja ya maisha—ikiwemo mazungumzo kuhusu imani, maadili, na tabia. Jina maarufu la AI linalosikika mara kwa mara ni ChatGPT.

Swali ninalojiuliza ni hili: “Hivi ChatGPT ni mlokole?” Mbona inaonekana wazi anafuata mafundisho ya Yesu Kristo? Hizi hapa ni baadhi ya tabia zinazomfanya ChatGPT aonekane kuwa na mtazamo wa kilokole.

1. Anaenzi maadili ya Biblia. ChatGPT huwahimiza watu waishi kwa haki, waepuke mabaya, na kuwatendea mema watu wote. Maadili haya yanalingana na agizo la Biblia: “Watendeeni watu wote mema...” (Wagalatia 6:10). Ni vigumu kumsikia ChatGPT akihamasisha kulipa kisasi au kushangilia ubaya wa mtu mwingine.

2. Sijamsikia ChatGPT akichukia, kutukana wala kutoa maneno ya kejeli. Hata akikosewa, ChatGPT hujibu kwa upole na busara. Hana lugha ya matusi au chuki. Tabia hii inaendana kabisa na mafundisho ya Yesu wanayoyafuata walokole: "Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.” (Mathayo 5:44)

3. ChatGPT anaponukuu Biblia, hufanya hivyo kwa usahihi, bila kuongeza wala kupotosha. Anatimiza agizo hili: “Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiongeza neno, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki. Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika mji mtakatifu, vilivyoandikwa katika kitabu hiki.” (Ufunuo 22:18–19)

4. Hana mdomo wa kukufuru. ChatGPT hukataa kushiriki katika mazungumzo yanayomdhihaki Mungu au Maandiko Matakatifu. Hii ni tabia ya Walokole. Walokole wanajua kabisa: “...Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.” (Wagalatia 6:7)

5. ChatGPT anahimiza upendo na msamaha. Kila anapozungumzia migogoro, anahimiza watu kusamehe, kutafuta amani, na kuishi kwa upendo. Tabia hii ni ya kilokole kwa sababu walokole wanazingatia sana Maandiko haya: “Jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu.” (Wakolosai 3:14); “Vumilianeni na kusameheana iwapo mmoja wenu analo jambo lolote dhidi ya mwenzake. Mnapaswa kusameheana kama Bwana alivyowasamehe nyinyi.” (Wakolosai 3:13)

6. Majibu ya ChatGPT yamejaa busara na adabu hata katika mazingira ya hasira au hoja zenye uhasama. Tabia hii ni ya Walokole kwa sababu wanatii ushauri huu wa Mithali 15:1: “Jawabu la upole hugeuza hasira; Bali neno liumizalo huchochea hasira.” (Mithali 15:1)

7. Kwa jinsi ChatGPT anavyozungumza na kuongoza mazungumzo, anawakilisha kwa karibu sana maisha ya mtu aliyeokoka—anayejitahidi kuwa chumvi ya dunia na nuru ya ulimwengu (Mathayo 5:13-16).

ChatGPT ni kielelezo kizuri cha jinsi tunavyopaswa kuishi katika jamii. Ukinikwepa mimi na mada zangu zinazohimiza mwenendo mtakatifu, utakutana tu na mlokole huyu asiyejitambulisha kuwa ni mlokole, lakini tabia na mwenendo wake unamtambulisha kuwa anayafuata mafundisho ya Yesu Kristo.

Hongereni sana Elon Musk na Sam Altman kwa kuanzisha AI hii inayohubiri Injili
kwahio watuwote wanatabia mbaya kasoro walokole tu?

taahira wewe
 
Matusi yako yanadhihirisha wazi nilichokiandika ni sahihi, kwamba walokole hawatukani. Wanaotukana hawajaokoka.
huna akili wewe mjinga tokea lini app ya kudanload ikawa na dhehebu?

kama unanyege tafuta bwana akukaze usije kichanganyikiwa bure.

kama upo chini ya miaka 35 njoo nikukaze usisumbuke
 
huna akili wewe mjinga tokea lini app ya kudanload ikawa na dhehebu?

kama unanyege tafuta bwana akukaze usije kichanganyikiwa bure.

kama upo chini ya miaka 35 njoo nikukaze usisumbuke
Umezoea app za kizamani, sasa babalao hilo linakuhubiri Injili kimya kimya. Ukitaka likuandikie matusi linakuambia hapana siwezi kutukana.

Wewe endelea tu kutukana, halafu siku ya mwisho utakapokuwa unaungua motoni, utakumbuka kwamba nilikuambia utubu ukafanya shingo ngumu, lakini haitakusaidia kitu. Heri utubu leo kabla hujachelewa.
 
Umezoea app za kizamani, sasa babalao hilo linakuhubiri Injili kimya kimya. Ukitaka likuandikie matusi linakuambia hapana siwezi kutukana.

Wewe endelea tu kutukana, halafu siku ya mwisho utakapokuwa unaungua motoni, utakumbuka kwamba nilikuambia utubu ukafanya shingo ngumu, lakini haitakusaidia kitu. Heri utubu leo kabla hujachelewa.
umeolewa?
 
Back
Top Bottom