Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Mamaaaaa!Huyu jamaa alikuja kupiga kampeni akiwa chakali,, kalewa tilalila!!! Ni jitu LA hovyo kabisa, na kwa namna hii magufuli anatuonesha wazi nguvu za soda.
Kumbe hata kwenye kampeni alikuwa analewa.....watu Wa misungwi naona mnajua hili jambo from back.....
Asante sana Jodeo kwa utabiri wako....