Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

kama kigezo ni urafiki magufuli ana marafiki wangapi??hivi unataka kuniambia marafiki aliokuwa nao magufuli ni huyo tu??

hiyo wizara inataka hekima sana si maamuzi magumu kuna ishu za dini kudili na kina pona vyama vya siasa wazanzibari migogoro wakulima na waf?gaji uraia na uhamiji hupaswinkuweka ukada mbele utaondoka kama nchimbi wanapewagaa mslims na wazanzibari k?ondoa majungu

Nimekupa like, mwaka utakuwa karne. Muslims wakianzisha zao za kidini na mabucha yao .... ikafuatiwa na migogoro ya wafugaji na wakulima, wimbi la wahamiaji haramu, escrow, epa, makontena, nk.
 
Wewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!

Umemuelezea vizuri sana mh. Kitwanga hebu tupe mfano m1 wa jambo gani kubwa na la maana watanzania wanaloweza kumkumbuka huyo mh. Kwa nafasi alizowahi kuwatumikia wananchi
 
Huyu jamaa alikuja kupiga kampeni akiwa chakali,, kalewa tilalila!!! Ni jitu LA hovyo kabisa, na kwa namna hii magufuli anatuonesha wazi nguvu za soda.

Mimi sikuona sababu ya kunitukana kwa kweli
 
hivi masha aliyekuwa waziri katika hii wizara kabla ya kukatwa na kuhamia chadema alikuwa na cv gani haswa iliyotukuka??
na mbona hamkuuulizia cv yake kipindi cha jk??mlikuwa hamumuoni??hakuwepo bungeni??hakuwa anachangia na kuwasilisha bajeti ya wizara yake enzi za kikwete hadi leo mushangae au muuulizie uteuzi wake??

JK alimweka kiswahiba, wana historia ya familia rafiki.
JPM tulimwamini atampa mtu nafasi nyeti kama hii kwa kuzingatia vigezo vya CV na uzoefu uliotukuka.
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.

Kitwanga wanashirikiana/ wana share na mapadlock ktk kampuni ya ujenzi, kwani nilishawahi fanya nae kazi ktk kampuni hiyo mwanza
 
Kitwanga alisoma na Magufuli darasa moja pale UDSM kati ya mwaka 1985 to 1988; kwa hiyo wanajuana muda mrefu sana.

Hii nchi ina mijitu mingi mipumbavu kabisa, kwa hiyo sifa ya waziri mchapakazi ni yule asiyejuana na rais siyo, na ukisoma naye iwe no. one discolification kupata uongozi sio!!! Hata sijui watu wanafikiri kutumia kiungo gani, shame
 
wewe tulia,endelea kusoma wenzio,hapa kila mtu anafunguka anachojua,ukisoma vizuri utaona ni zaidi ya kusoma pamoja
 
Mimi siyo Waziri kwann anitukane wakati sijatukana mtu

Rudia kusoma kilichoandikwa na utafakari vyema. Kama utaona kabisa umetukanwa wewe,,,nasubiri unijuze nikuombe msamaha
 
JF wamebaki mamluki tu sasa...hakuna cha maana watu wamekuwa wadaku tuu hakuna hoja za msingi... Kuingia JF skuizi unapoteza bundle na muda tuu...
 
Hii nchi ina mijitu mingi mipumbavu kabisa, kwa hiyo sifa ya waziri mchapakazi ni yule asiyejuana na rais siyo, na ukisoma naye iwe no. one discolification kupata uongozi sio!!! Hata sijui watu wanafikiri kutumia kiungo gani, shame

JF skuizi kuna matahira mkuu... Ndo tatizo la utandawazi.wazoee tu
 
JF wamebaki mamluki tu sasa...hakuna cha maana watu wamekuwa wadaku tuu hakuna hoja za msingi... Kuingia JF skuizi unapoteza bundle na muda tuu...

tushawazoea sana na dharau zenu , kunana mshikaji anaitwa Kyenju 2012 alileta habari ya masamaki wa TRA lakini aliambulia matusi mengi sana ! kiko wapi sasa ? ukiletewa habari usidharau mjomba .
 
Last edited by a moderator:
JK alimweka kiswahiba, wana historia ya familia rafiki.
JPM tulimwamini atampa mtu nafasi nyeti kama hii kwa kuzingatia vigezo vya CV na uzoefu uliotukuka.

cv iliyotukuka kwako na kwenu nyie ukawa ni ipi??nipe cv ya msigwa na niambie anastahili wizara gani,nipe cv ya lema na uniambie anastahili wizara gani??mtu katumikia kipindi chote cha awamu ya 4 hakuna aliyetoa pingamizi juu ya utendaji wake leo ndo mnaona cv yake yake inaumuhimu hapo kabla haikuwa na maana??
 
Back
Top Bottom