Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,045
- 13,483
Hata JK alimtosa Edo mwaka jana
Mara nyinngi watu waliofanikiwa katika shughuli zao walifanikiwa kwa kuwaweka ndugu na marafiki zao kando, hakuna kitu kigumu kama kumuadhibu rafiki yakoWakati akimnadi Mh.Kitwanga,Rais JPM mbele ya hadhira ya maelfu ya wapiga kura wa Jimbo la Misungwi alikiri kuwa Charles Kitwanga ni rafiki yake sana,anamfahamu kwelikweli na anampenda sana,ni jamaa yake na wamesoma nae Chuo Kikuu,akawaomba wana Misungwi wamletee Bungeni rafiki yake na Collegemate wake.
Tayari amekwishatumbuliwa 20/05/2016Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Kwani barua ya Ikulu inasemaje nikuuulize wewe?Leo unasemaje?
Ingawa simjui mimi namuunga mkono Okw. Mimi nitatembea uchi siku tatu mfululizo kama nilivyoahid ya January halaf najiua. Hamna namna ikitokea
Tunataka SUKARI
Hatutaki SANAA
KIJUKUU cha MTUMENdugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Jamaa katishaUnabii wako umetimia , wooooooote waliokupinga kimyaaaaaaaaa
Napita tu jamaniMbona amekuwa Waziri tangu serikali ya awamu ya 4?...Ama nako alikuwa msiri wa JK?..
Eti atakuwa Waziri wa kwanza kufukuzwa na Bunge...Mbona hakufukuzwa na Bunge kipindi cha Awamu ya 4?
JPM analeta usanii kwenye jumba la sanaaaaa...watu waache kuongea mambo ya msingi waongee pombe za kitwanga...nchi ya matukioJPM ameonyesha ni kiongozi hodara sana na sio mwanasiasa. Anafuata sheria za kazi. Nathani JK hatakosa usingizi sasa hivi.
Mwenyewe nimecheka mpaka basi hahaha kuna watu wachokozi hatarii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee mbavu sina
Hiv ww upo Tz kweli?au kuzim?Wewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!