Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Hoja yako ya kilevi mkuu mbona kitwanga ameanza uwaziri tangu wakati wa jk.
Kuna wizara ambazo lazima umpe mtu unayemfahamu vizuri: Ulinzi na Mambo ya ndani. Nakumbuka Nyerere alipokuwa Rais alimpa best man wake yaani Kambona wizara ya Ulinzi, Mwinyi alipokuwa Rais alimpa Salim Ahmed Salim wizara ya Ulinzi, Mkapa alipokuwa Rais alimpa Maokola Majogo Wizara ya Ulinzi. Hizi ni wizara muhimu sana katika usalama wa nchi. Si ajabu kumpa mtu unayemfahamu kwa karibu. Hivyo basi kama wanafahamiana hakuna cha ajabu kupewa hii wiazara.Katika watu niliokuwa najua wataukwaa uwaziri ni huyu jamaa.Maana wakati wa kampeni jimboni kwake Magufuli alisema mbele ya watu,kwamba wasifanye masihara kutomchagua huyu jamaa kwani ana Kazi naye tena muhimu.Tangu hapo nilijua tu huyu jamaa ni waziri.
Kampa wizara ambayo ni nyeti,kumlinda yeye kama rais.Vita ya wahujumu uchumi si mchezo.
Majungu majungu ndio mjuayo. Pumbavu kabisa. Badala ya kuleta mada za maendeleo mnaleta unoko. Ulitaka akuteue wewe. Na wewe tafuta msiri wako mwacheni Magufuli afanye kaziNdugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Kama Jf jukwaa la siasa litaendelea hivi hakika itapoteza wachangiaji wengi. Jukwaa juu mpaka chini linajaa majungu na fitina tu, limekuwa kama kijiwe cha kahawa badala ya kuwa sehemu ya watu kuweka hoja zenye mashiko na nzito. Sahivi hoja za Jf ni nyepesi mno kama nyimbo za kizazi cha miaka hii zinazojulikana kwa jina la big ji.
Kitwanga wanashirikiana/ wana share na mapadlock ktk kampuni ya ujenzi, kwani nilishawahi fanya nae kazi ktk kampuni hiyo mwanza
Hoja yako ya kilevi mkuu mbona kitwanga ameanza uwaziri tangu wakati wa jk.
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Huyu kashafungiwa madirisha
Wenzake wamemtumia kupeleka taarifa za uwongo kwa Magu na magu limekuja juu ile kichizi
Hataki hata kumwona
Nafasi yake imechukuliwa na abdallah bulembo
Chuki binafsiNdugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Hoja yako haina mantiki kabisa. Kitwanga amekuwa waziri toka enzi za JK na hakuna mahali amefeli kiutendaji na ni dhahiri kuwa uzoefu wake ndiyo unafanya aweze kuteuliwa kuwa waziri kamili. Kujuana na JPJM si dhambi ya mauti na ni kigezo muhimu muhimu si serikalini tu bali hata katika maisha. Uliza mtu yeyote aliyeoa au kuolewa kama alifanya hivyo bila kumjua mwenziwe sembuse uwaziri? Charles Kitwanga anafaa kuwa waziri katika wizra ye yote ile!
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Mh. Rais ameoa huko kwao Misungwi.
Bila kusahau kuwa amekuwa akilipwa huko BOT kwa miaka 6 mfululizo
huyu ndio waziri wa mambo ya ndani
Kuna kipindi Jamii Forum ilikuwa inaaminika sana, lakini comment kama hii ya kwako ndio inashusha hadhi ya hili jukwaa na kuligeuza kuwa kijiwe cha chuki binafsi na majungu.
Kitwanga alistaafu BOT na jina lake halipo kwenye orodha ya wafanyakazi wala halipwi chochote.