Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Mkuu ujakosea kabsa huo ndo ukweli, na hata inshu nying za totoz wanazpiga sana! Kuna kipind nilisha wai kutana na Ndugu yake kitwanga, ayo mastory aliyokuwa ananipa kuhusu hayo majamaa ni aibu
 
mawaziri wasiwe wabunge,.....na wasiwe wanachaguliwa na RAIS,...system mbovu za kuchaguana na kubebana kirafiki ndo limefikisha taifa hapa lilipo..,.
tubadili systems na katiba ya warioba irudishwe bungeni.................

bila hivyo rais akiendelea kuwa mfalme taifa litaendelea kudumaaaa
 
Mkuu ujakosea kabsa huo ndo ukweli, na hata inshu nying za totoz wanazpiga sana! Kuna kipind nilisha wai kutana na Ndugu yake kitwanga, ayo mastory aliyokuwa ananipa kuhusu hayo majamaa ni aibu
SASA AKIKOSEA ATAWEZA KUMTUMBUA KWELI????
hizi danganya toto za drama tumbuatumbua bure kabxa........
 
Mkuu majinga meng ya ccm kazi yao ni bendera fata upepo, wenye akili tumesha elewa Magu hakuna anachokifanya ni usanii tupu
kipindi walisifia sana humu jamvini......naona bado wanaendeleza sifa za kijinga
na kukurupuka.....ngoja tuone mkuuuu
 
kipindi walisifia sana humu jamvini......naona bado wanaendeleza sifa za kijinga
na kukurupuka.....ngoja tuone mkuuuu
Nina Jamaa zangu walikuwa wanaleta mizigo yao kontena 60 na wako watatu, yan kila mmoja kontn 20,. Bt now dayz wanalalamika ushuru mkubwa na wameacha kuagza 60 wanaleta kontn 15, sasa angalia drama zao watakuja na Pato kwa mwez ni tirln 2, wakat wafanyabiasha weng wamepunguza Idad ya kuagiza mizigo
 
MNAOelewa ni wachache mkuu,...wasiojua mambo,kaz yao ni kusfia2 all days
kumbe nyuma ya pazia kuna mambo........ngoja tuone hadi 2017 kutakuwa na lipi jipya,....itakuwa drama inaendelea au lah
niswala la muda2
 
Kuna kiongozi moja alikuwa waziri mkuu na kuwa mgombea Wa uraisi 2015 ambaye alikuwa ana mlinda mkurugenzi Wa wanyama pori kisa watoto wao wameoana na wanatoka ukawa, pili kuna naibu waziri Wa fedha ktk kipindi cha uwaziri mkuu wake ambaye naye watoto wao wameoana na hii hadithi inaweza kuendelea Na kuendelea lakini wasioitakia mema nchi hawaongelei hiyo issue
Huyo n mamnvi tu na si mwingine.
Story hiyo naikumbuka, na kama ckosei kagasheki alimla Huyo director.
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Wa kwanza kufukuzwa atakuwa MaRope, kama Kitwanga ataondolewa labda itokane na kushindwa kwendana na goose-march ya Magufuli.
 
Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Wewe utakua ni PhD wa Morogoro. Hivi hujui kuwa Charles Kitwanga aliwahi kuwa naibubwaziri kwenye hiyo wizara?
 
Kama nilivyoweka angalizo kwa January na haikutokea,naweka pia kwa waziri Charles Kitwanga.Huyu ni msiri wa
Dr.Magufuli na ndiye
aliyeonekana katika video clip
moja akimshauri Dr Magufuli
"achukue fomu". Kweli
Dr.Magufuli "alichukua fomu" na sasa ni mkuu wa nchi.Nakwambia huyu haguswi,mtatumbuliwa nyie waajiriwa.Huyu akitumbuliwa mimi hapa natembea uchi Dar nzima.Tuliwaambia matatizo hayawezi kumalizwa na watu walioyasababisha
 
Akiwa na kosa akatumbuliwa tu! Mbona Lowassa "alishauriwa kujiuzulu" alipoleta dili la Richmond.
Urafiki wa Lowasa kwa JK na Lowassa uikuwa Mkubwa kuliko wa Magu na Kitwanga.
Cheo cha Lowassa kilikuwa kikubwa kuliko cha Kitwanga lakini akatumbuliwa. Akipatikana na Ushahidi "atashauriwa Kujiuzulu" kama Lowassa
 
Back
Top Bottom