Haaha..mkiambiwa muweke akiba ya maneno hamsikiiWewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!
Unadhani Magu anaushabiki wa hovyo kama ule wa kwako wa chama kwanza? Hope umejifunza kitu hapoSasa mbona amemtumbua?
Tatizo ni Lugumi tu sababu zinigine ni za kuzuga tu.Sasa mbona amemtumbua?
Mkuu Lizaboni hujapenda alivyomtumbua?Sasa mbona amemtumbua?
Angekuwa kampa hicho cheo kirafiki asingemtumbua. Alimpa kikazi zaidi kuliko kirafiki.Na kazi ya umma kwa kiongozi anayemaanisha kazi, hakuna rafiki!Sasa mbona amemtumbua?
Kama Jf jukwaa la siasa litaendelea hivi hakika itapoteza wachangiaji wengi. Jukwaa juu mpaka chini linajaa majungu na fitina tu, limekuwa kama kijiwe cha kahawa badala ya kuwa sehemu ya watu kuweka hoja zenye mashiko na nzito. Sahivi hoja za Jf ni nyepesi mno kama nyimbo za kizazi cha miaka hii zinazojulikana kwa jina la big ji.
Hapo atakuwa alikuwa na Zanzi zake kichwani kama tano hivikitwa Alitulia sana hapo au ndio alisha fanya vituu
Upoooooooo? ha ha haMbona amekuwa Waziri tangu serikali ya awamu ya 4?...Ama nako alikuwa msiri wa JK?..
Eti atakuwa Waziri wa kwanza kufukuzwa na Bunge...Mbona hakufukuzwa na Bunge kipindi cha Awamu ya 4?
ha ha ha h a safi saanaHapo atakuwa alikuwa na Zanzi zake kichwani kama tano hivi
Maana kuna zile huwa anapiga bungeni anasema mwenyewe "Za kuuwa so"
Wewe sasa unaleta hoja za kitoto, wabunge walilalamika kwamba alikuwa amelewa. Bungeni ndiko msingi wa kufukuzwa ulipo. Rais ametengua. Kwani angekuwa amelewa halafu akawa zake kona bar angefukuzwa?Hoja ilikuwa kufukuzwa na Bunge
Sasa mbona amemtumbua?