Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Aisee PHD kweli wewe ni PHD ya ukweli kabisa.
yametimia vile vile kama ulivyotabili
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Kuna pahala nimehoji huyu jamaa hakufanyiziwa ?...kitu kama dawa levya....ili aonekane ka mululuka?
 
JF jukwaa la utabiri, nasubiri na tetesi za kuvunjwa baraza la mawaziri
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Duuu wewe ulijuaje
 
Hahaha jf buana leo kila mtu shkamoo phd....duh hatare
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
PhD.......(shekhel yahaya) Huyu tayari tuambie nani anafuata???
 
Sasa ligi iko wapi hapo Chifu?..

Theme ya hii thread kwa mujibu wa PHD ni nepotism..Kwamba amateuliwa bila kufuata kigezo cha uwezo...Ameteuliwa kwa sababu ni msiri wa Rais JPM...

PHD alisema Kitwanga atafukuzwa na Bunge kwa sababu yu msiri wa Rais JPM...Kwamba ni rafiki wake wa karibu, kwamba amebebwa/anabebwa katika uteuzi..Kwamba pamoja na uwezo wake mdogo kiutendaji/na madudu yake Rais hataweza kumfukuza na badala yake Bunge ndio litamfukuza...

Nami nikauliza mbona Bunge halikumfukuza katika awamu ya 4 kama ilivotokea kwa wengine?,
Mkuu chutama tu, una busara za kutosha kuweza kukuonesha vyovyote iwavyo Kitwanga alikuwa anaondoka tu, jiulize ni kwa nini hotuba ya Lema imezuiwa bungeni? Lugumi.

Kosa lililomfukuzisha kazi Kitwanga limetokea bungeni na Rais ni sehemu ya bunge pia, kwahiyo thread ya jamaa bado inaishi.
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Akili kubwa sana.
 
Wewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!
Kama bado unapatika huku unaweza rudia kusoma ulichokiandika hapa?
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] naona unapita kuzomea mmoja mmoja
Watu walikuwa wanamkashfu PhD sana, watu wana PhD zao za utabiri wewe unaleta fyoko-fyoko hapa.....[emoji28] [emoji28]
 
Jamaa hakumumunya maneno..na imekua hivyo hivyo.
 
Watu walikuwa wanamkashfu PhD sana, watu wana PhD zao za utabiri wewe unaleta fyoko-fyoko hapa.....[emoji28] [emoji28]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] kuna mmoja alisema atatembea uchi....ukipata no ya PhD nitumie na mimi
 
Ingawa simjui mimi namuunga mkono Okw. Mimi nitatembea uchi siku tatu mfululizo kama nilivyoahid ya January halaf najiua. Hamna namna ikitokea
Mkuu unaanzia wapi safari ya kutembea uchi? Nataka upite maeneo hata niku-slap tako kidogo!
nakuunga mkono mi si kukojoa tuu ni kunyaaa hadi huko korogwe na namanga na kuiachia nch haruf chafu ya kinyes
Afu, pia utaanzia wapi kunya ili tukufate nyuma na gari za zomba mavi....si unajua Magufuli anataka mazingira masafi....

Show up please! [emoji41] [emoji41]
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] kuna mmoja alisema atatembea uchi....ukipata no ya PhD nitumie na mimi
Ni mjinga flani hivi anaitwa Copenhagen DN ,

Namtafuta hata nione tako lake jeusi manake , avatar yake unaona Meno na macho...[emoji13] [emoji13]
 
Inabid uwe mganga wa kienyeji PhD umemfunika Mzizimkavu na Mshana
 
Back
Top Bottom