Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Mkuu uwe na uhakika tusije tukauona mche wako na mayai yako meusi
 
Hahaha ...lakini okwi boban sunzu huwa anajiamini na anachosema kuumbuka kuhusu Jan makambaz@mkwepa kodi
 
Akiwa na kosa akatumbuliwa tu! Mbona Lowassa "alishauriwa kujiuzulu" alipoleta dili la Richmond.
Urafiki wa Lowasa kwa JK na Lowassa uikuwa Mkubwa kuliko wa Magu na Kitwanga.
Cheo cha Lowassa kilikuwa kikubwa kuliko cha Kitwanga lakini akatumbuliwa. Akipatikana na Ushahidi "atashauriwa Kujiuzulu" kama Lowassa
Lowasa anajitambuaaa
 
Kitwanga haina jinsi amechafuka mapema sana! Alianzia BoT na sasa ameingia kashfa mbaya sana tena wizara aliyopo sasa atasimamiaje maovu na yeye ana mikono michafu? Hata kama ni msiri wake JPM anatakiwa abadilishe baraza ma mawaziri.....amtoe huyo Kitwanga! Akiona aibu basi ampeleke kwingine kuficha aibu yake! Ampe hata wizara ya Kilimo ingawa napo hastahili! Sasa kwa kuwa ni Mwandani/msiri na JPM wanadai hashauriki ni mbabe bila kutumia busara zaidi atambakiza na kuziba masikio! Kitwanga amechafuka! Sawa na zaidi ya JM
 
Ingawa simjui mimi namuunga mkono Okw. Mimi nitatembea uchi siku tatu mfululizo kama nilivyoahid ya January halaf najiua. Hamna namna ikitokea
 
Utatembea usiku au mchana? Tupe na ruti utakayopita kabisa ili tukusindikize.
 
Ccm Bhalaa Hilo Yaani Wote Wameoza Hata Kuchagua Huwezi Kila Deals Wao
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
JamiiForums ni zaidi ya TISS!
 
Sasa wewe inakuuma nini?
Ujinga Ushenzi Ubwege na Upumbavu unatokana na maneno unayozungumza.

Sasa Kuna watu chungu tele wenye maovu kibaao unawaacha unaangalia tu mawaziri wa Magu.

Jambo la kipumbavu sana.

Sasa subiri na tunajua unapokaa.
 
Hahaha we kweli @mbotok eti unajua anapo kaa?
 
Mbona amekuwa Waziri tangu serikali ya awamu ya 4?...Ama nako alikuwa msiri wa JK?..

Eti atakuwa Waziri wa kwanza kufukuzwa na Bunge...Mbona hakufukuzwa na Bunge kipindi cha Awamu ya 4?
mkuu habar yako bwana?
 
Back
Top Bottom