Ze General
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 1,508
- 1,260
Mleta maada usituletee stress zako za kukwama kimaisha tafadhari.
Mkuu habari za asubuhi...
Mleta maada usituletee stress zako za kukwama kimaisha tafadhari.
Kumbe wewe ndiyo ulikuwa unapiga gongo na kitwangaMleta mada alikuwa amekunywa kakiroba
Leo hii hamna anayetaka kujua unapokaa lkn unakimbia mwenyeweSasa wewe inakuuma nini?
Ujinga Ushenzi Ubwege na Upumbavu unatokana na maneno unayozungumza.
Sasa Kuna watu chungu tele wenye maovu kibaao unawaacha unaangalia tu mawaziri wa Magu.
Jambo la kipumbavu sana.
Sasa subiri na tunajua unapokaa.
Kuna wizara ambazo lazima umpe mtu unayemfahamu vizuri: Ulinzi na Mambo ya ndani. Nakumbuka Nyerere alipokuwa Rais alimpa best man wake yaani Kambona wizara ya Ulinzi, Mwinyi alipokuwa Rais alimpa Salim Ahmed Salim wizara ya Ulinzi, Mkapa alipokuwa Rais alimpa Maokola Majogo Wizara ya Ulinzi. Hizi ni wizara muhimu sana katika usalama wa nchi. Si ajabu kumpa mtu unayemfahamu kwa karibu. Hivyo basi kama wanafahamiana hakuna cha ajabu kupewa hii wiazara.
Yaani leo nilikuwa stendi za mabasi ya mwendokasi, nimecheka hadi nikawa najistukia maana watu wanashangaa ninavocheka peke yangu. Jf tamu sana ukiwa lonely.Nimecheka sana!
Jamani kuna watu mna DNA za shehe Yahya humu!Though hajafukuzwa na Bunge directly[/QUOTE][QUOTE="
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
PHD katika ubora wakeNdugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
ni suala la MUDA TU ..............LABDA ATAPEWA KAZI NYENGINEWewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!
Jembe limeungua au?Wewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!
Nani anafuata mkuuNdugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Leo hii hamna anayetaka kujua unapokaa lkn unakimbia mwenyewe
Huyu mleta mada ni noma ase....utabiri wake umegonga mle mle...kweli nakubali hiyo PhD yako uliipata kihalali.Nani anafuata mkuu
tunafundishwa kiwa na akiba ya manenoKama Jf jukwaa la siasa litaendelea hivi hakika itapoteza wachangiaji wengi. Jukwaa juu mpaka chini linajaa majungu na fitina tu, limekuwa kama kijiwe cha kahawa badala ya kuwa sehemu ya watu kuweka hoja zenye mashiko na nzito. Sahivi hoja za Jf ni nyepesi mno kama nyimbo za kizazi cha miaka hii zinazojulikana kwa jina la big ji.
nakunga mkono sana, huyu kwangu anakua mtu wa pili kutabiri baada ya yue aliyesema mechi imekwisha na simba katwangwa mbili lolHuyu mleta mada ni noma ase....utabiri wake umegonga mle mle...kweli nakubali hiyo PhD yako uliipata kihalali.
Kwani amefukuzwa na Bunge ama Rais?..Nieleweshe hapa..Mkuu ulibisha sana kuwa huyo wazir hawezi kuwa wakwanza kufukuzwa umeona
njoo jf tuzidi kupoteza mudaJF wamebaki mamluki tu sasa...hakuna cha maana watu wamekuwa wadaku tuu hakuna hoja za msingi... Kuingia JF skuizi unapoteza bundle na muda tuu...