Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,437
Alikuwa na shavu gani huyu jamaa kabla ya siasa?Hana anacho poteza kwani kaacha Kazi nzuri sana kabla hajaingia kwenye siasa
Alikuwa na shavu gani huyu jamaa kabla ya siasa?Hana anacho poteza kwani kaacha Kazi nzuri sana kabla hajaingia kwenye siasa
endelea kumtetea mtu wako
Amekuwa akiwatumia Ma-RPC kuwanyanyasa Ukawa mda si mrefu atafunguliwa kesi ya kumlinda mtu aliyegushi hata ya Mahakama lakini kaamua makusudi kuwakomoa walalamikaji wabunge wa chadema.Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Richmond ni ya Kikwete mbona kamteua kuwa mkuu wa chuo kikuu? Mwakyembe aliiba pesa za mabehewa mbona kamteua kuwa Waziri ? January Makamba alikuwa akipiga Udalali Kwa kutumia jina la ikulu pia alipiga pesa za kampeni bilion 1.7 mbona kateuliwa kuwa Waziri? Magu mwenyewe alinunua kivuko cha 1978 Kwa bilion 8, wizara ya Ujenzi ilikutwa imewalipa bilion 250 makandarasi hewa.Mnabwabwaja tuu, mh rais, ana haki ya kumteua yeyote aneona anafaa katika kasi yake ya kuwaletea maendeleo wanainchi ili mradi asiwe na chembechembe na vimelea vya ufisadi kama lowassa, kwani makonda ilikwaje he stated from begining dogo huyu anajua kazi, birds with the same colour flock together, kamwombeni slaa awape maneno yakuandika
Tanzania hakuna Msafi Kwa 100% wengi wana madhambi Yao mda na saa ukifika watasomewa dhambi Yao .Uliona mbali kweli mkuu na hivi rais anapenda umbea hili nalo atalipata, halafu linamuhusu yeye ajitumbue mwenyewe sasa.
ushahidi Tanzania ? Hata ukipewa ushahidi utafanya nini wakati baba yako magu kaamua kufumba macho Kwa Ndugu yake.Leta uthibitisho kuwa Kitwanga anapokea mshahara. Huyo waziri alishastaafu BOT siku nyingi, kama ni kuchafuana, tafuta hoja nyingine.
Wivu gani wa kike ? Jina lake lipo BOT wivu unakujaje hapo? Rais ni binadamu hajui kila kitu ndiyo maana juzi ndiyo kajua kuwa Ndugu yake anakula haramu kaamua kwenda mwenyewe BOT akasema anajua mengi ameamua kusema baadhi tu, aliyoyaacha ni pamoja na Hilo jina la Ndugu yake , hakuna wivu hapo cha Msingi arudishe mishahara yote aliyokwapua Kwa miaka yote.Kama kunawatu wasiojielewa ni wewe. Huyo Kitwanga unaemuongelea hapa unamfahamu vyema au ni huo wivu wenu wa kike? muacheni afanye kazi msije anza mletea stress zenu zisizo na mpango. Huo ni wivu wa kike. Na kwa maneno yako hayo unadhani mheshimiwa Rais hajui anachofanya. We kilaza sana aisee. Hatuhitaji majungu huku.
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
CCM ni ile ile mambo yake ni Yale Yale , ushikaji na undugu Kama JK Sasa umerejea Kwa nguvu zote.I CAN SEE YOUR LOGIC, HATA KATIBU WAKE NI ALIYE KUWA NAYE UJENZI. MSIRI MWINGINE. WAPO WENGI TU.
Tulisema Sefue ni jipu mkapinga Hapa. Alipotumbuliwa mkaona Magufuli kafanya miujizaDuh ukawa sasa kimegeuka kijiwe cha majungu. Hoja aliondoka nazo Dr Slaa. Magufuli ni mtu wa kazi atawasumbua sana maana mtakuwa mnapotezana kila hatua anayopiga.
Mungu akuepushe na vitu vyenye ncha kali .Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Uwaziri wa kitwanga???Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Hiyo post ya ukuu wa wilaya ipo mbion kufutwaNamimi nilisoma na waziri mkuu nasubilia aniteuwe niwe mkuu wa wilaya mahali fulan ivi
unategemea nini kwa watu waliokosa hojaKama Jf jukwaa la siasa litaendelea hivi hakika itapoteza wachangiaji wengi. Jukwaa juu mpaka chini linajaa majungu na fitina tu, limekuwa kama kijiwe cha kahawa badala ya kuwa sehemu ya watu kuweka hoja zenye mashiko na nzito. Sahivi hoja za Jf ni nyepesi mno kama nyimbo za kizazi cha miaka hii zinazojulikana kwa jina la big ji.
Siyo hapo tu wameanza form 1 hadi chuo kikuu pamojaKitwanga alisoma na Magufuli darasa moja pale UDSM kati ya mwaka 1985 to 1988; kwa hiyo wanajuana muda mrefu sana.