Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Duh! Mkuu, wewe ni nabii. Anzisha kanisa utafanikiwa.
 
Kama nilivyoweka angalizo kwa January na haikutokea,naweka pia kwa waziri Charles Kitwanga.Huyu ni msiri wa
Dr.Magufuli na ndiye
aliyeonekana katika video clip
moja akimshauri Dr Magufuli
"achukue fomu". Kweli
Dr.Magufuli "alichukua fomu" na sasa ni mkuu wa nchi.Nakwambia huyu haguswi,mtatumbuliwa nyie waajiriwa.Huyu akitumbuliwa mimi hapa natembea uchi Dar nzima.Tuliwaambia matatizo hayawezi kumalizwa na watu walioyasababisha

Unaweza timiza ahadi yako sasa
 
[QUOTE="
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.[/QUOTE]
Jamani kuna watu mna DNA za shehe Yahya humu!Though hajafukuzwa na Bunge directly
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Narudia kusoma hapa mara tatu tatu
 
Kama Jf jukwaa la siasa litaendelea hivi hakika itapoteza wachangiaji wengi. Jukwaa juu mpaka chini linajaa majungu na fitina tu, limekuwa kama kijiwe cha kahawa badala ya kuwa sehemu ya watu kuweka hoja zenye mashiko na nzito. Sahivi hoja za Jf ni nyepesi mno kama nyimbo za kizazi cha miaka hii zinazojulikana kwa jina la big ji.
Leo unasemaje?
 
Back
Top Bottom