Rudia tena maneno yako leoHoja yako ya kilevi mkuu mbona kitwanga ameanza uwaziri tangu wakati wa jk.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ka movie za kihindi,, mi siropoki tenaa,, make jf kuna watu wenye makubwaaRudia tena maneno yako leo
Ubaya wa nadhiri za kijingaKama nilivyoweka angalizo kwa January na haikutokea,naweka pia kwa waziri Charles Kitwanga.Huyu ni msiri wa
Dr.Magufuli na ndiye
aliyeonekana katika video clip
moja akimshauri Dr Magufuli
"achukue fomu". Kweli
Dr.Magufuli "alichukua fomu" na sasa ni mkuu wa nchi.Nakwambia huyu haguswi,mtatumbuliwa nyie waajiriwa.Huyu akitumbuliwa mimi hapa natembea uchi Dar nzima.Tuliwaambia matatizo hayawezi kumalizwa na watu walioyasababisha
Ubaya wa ahadi za kijingaNasema hivi Kitwanga akitumbuliwa nakojoa kuanzia hapa Korogwe mpaka Boda ya Namanga.
Kweli kuna watabiri.Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Leo Rais mwema atakuwa anajua anachofanya au hajui?Kama kunawatu wasiojielewa ni wewe. Huyo Kitwanga unaemuongelea hapa unamfahamu vyema au ni huo wivu wenu wa kike? muacheni afanye kazi msije anza mletea stress zenu zisizo na mpango. Huo ni wivu wa kike. Na kwa maneno yako hayo unadhani mheshimiwa Rais hajui anachofanya. We kilaza sana aisee. Hatuhitaji majungu huku.
Haya jiue sasa maana hamna namna nyingine[emoji1] [emoji1] .Ingawa simjui mimi namuunga mkono Okw. Mimi nitatembea uchi siku tatu mfululizo kama nilivyoahid ya January halaf najiua. Hamna namna ikitokea
Jamaa alipiga kimya haswa, sasa Leo ongea wewe tukusikieKuwa na yakini na mambo unayoyazungumzia. Kama vp kaa kimyaaaaa
Rudia tena mkuuSasa wewe inakuuma nini?
Ujinga Ushenzi Ubwege na Upumbavu unatokana na maneno unayozungumza.
Sasa Kuna watu chungu tele wenye maovu kibaao unawaacha unaangalia tu mawaziri wa Magu.
Jambo la kipumbavu sana.
Sasa subiri na tunajua unapokaa.
Nimecheka sana!Ubaya wa nadhiri za kijinga
Haya, Leo nani mnywa viroba. Wewe, Kitwanga au mleta mada?Viroba kazini
Haya sasa utembee uchi tukusitiri.Kama nilivyoweka angalizo kwa January na haikutokea,naweka pia kwa waziri Charles Kitwanga.Huyu ni msiri wa
Dr.Magufuli na ndiye
aliyeonekana katika video clip
moja akimshauri Dr Magufuli
"achukue fomu". Kweli
Dr.Magufuli "alichukua fomu" na sasa ni mkuu wa nchi.Nakwambia huyu haguswi,mtatumbuliwa nyie waajiriwa.Huyu akitumbuliwa mimi hapa natembea uchi Dar nzima.Tuliwaambia matatizo hayawezi kumalizwa na watu walioyasababisha
Te Te Te Te Te Leo baada ya jamaa kua waziri WA Kwanza kufukuzwa unasemaje mkuu?Mbona amekuwa Waziri tangu serikali ya awamu ya 4?...Ama nako alikuwa msiri wa JK?..
Eti atakuwa Waziri wa kwanza kufukuzwa na Bunge...Mbona hakufukuzwa na Bunge kipindi cha Awamu ya 4?
Heshima kwako mkuuHuyu jamaa alikuja kupiga kampeni akiwa chakali,, kalewa tilalila!!! Ni jitu LA hovyo kabisa, na kwa namna hii magufuli anatuonesha wazi nguvu za soda.
Mbona amekuwa Waziri tangu serikali ya awamu ya 4?...Ama nako alikuwa msiri wa JK?..
Eti atakuwa Waziri wa kwanza kufukuzwa na Bunge...Mbona hakufukuzwa na Bunge kipindi cha Awamu ya 4?
Umeshaanza? Kuna wakati hali halisi husababisha yatokee hata yasiyodhaniwa.Nasema hivi Kitwanga akitumbuliwa nakojoa kuanzia hapa Korogwe mpaka Boda ya Namanga.
Kijiwe kilikua na taarifa za uhakika kua jamaa atatumbuliwa, mbaya zaid n kua jamaa alikua amelewa huku kaenda kujib swal bungen ha ha ha ha ha aibu na kudhalilika.Duh ukawa sasa kimegeuka kijiwe cha majungu. Hoja aliondoka nazo Dr Slaa. Magufuli ni mtu wa kazi atawasumbua sana maana mtakuwa mnapotezana kila hatua anayopiga.
Ukilijua hilo hupati shida. Unajifunza zaidi badala ya kukurupuka kukataa taarifa ya mleta taarifa.JamiiForums ni zaidi ya TISS!
Utulivu ni jambo la msingi sana kwenye mazingira kama haya.kuwa na fact sio unapost kwa kuropoka