Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.

Tuyaache maccm ya pigane vikumbo wenyewe kwa wenyewe
 
Nahisi ameteuliwa for security reasons, but time will tell. Mwenye CV yake aweke humu na record iliotukuka mpaka akapata hii wizara ni ipi haswa? Hilo ndo swali la msingi...
 
Kama kunawatu wasiojielewa ni wewe. Huyo Kitwanga unaemuongelea hapa unamfahamu vyema au ni huo wivu wenu wa kike? muacheni afanye kazi msije anza mletea stress zenu zisizo na mpango. Huo ni wivu wa kike. Na kwa maneno yako hayo unadhani mheshimiwa Rais hajui anachofanya. We kilaza sana aisee. Hatuhitaji majungu huku.
 
Mleta maada usituletee stress zako za kukwama kimaisha tafadhari.
 
Wewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!
hiyo wizara inataka hekima sana si maamuzi magumu kuna ishu za dini kudili na kina pona vyama vya siasa wazanzibari migogoro wakulima na waf?gaji uraia na uhamiji hupaswinkuweka ukada mbele utaondoka kama nchimbi wanapewagaa mslims na wazanzibari k?ondoa majungu
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.

Kuwa na yakini na mambo unayoyazungumzia. Kama vp kaa kimyaaaaa
 
Viroba kazini
 
Kama alishaanza kujisifu mbona hukusema tangu enzi hizo?
 
Weka yshahidi humu ndani. Maana hatutaki unafiki
 
Nahisi ameteuliwa for security reasons, but time will tell. Mwenye CV yake aweke humu na record iliotukuka mpaka akapata hii wizara ni ipi haswa? Hilo ndo swali la msingi...

hivi masha aliyekuwa waziri katika hii wizara kabla ya kukatwa na kuhamia chadema alikuwa na cv gani haswa iliyotukuka??
na mbona hamkuuulizia cv yake kipindi cha jk??mlikuwa hamumuoni??hakuwepo bungeni??hakuwa anachangia na kuwasilisha bajeti ya wizara yake enzi za kikwete hadi leo mushangae au muuulizie uteuzi wake??
 
kwa hiyo chadema wakivaa chpi kichwani ni wewe unavaa

Ndo maneno yenu hayo? Kujifanya kuwa mna perfect mind kukosoa kila kitu na majungu tu?
One of the effect of drug abuse in your brain is loss of memory and mental capability, psych disorders ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom