Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Aisee..Te Te Te Te Te Leo baada ya jamaa kua waziri WA Kwanza kufukuzwa unasemaje mkuu?
Umekielewa ulichokinukuu lakini??...
Kitwanga hajafukuzwa na Bunge..Amefukuzwa na Rais kwa sababu ya kuingia bungeni na kujibu swali akiwa ameutwika..
Hoja ilikuwa kufukuzwa na Bunge....Ndio maana nikauliza mbona hakufukuzwa na Bunge(kwa utendaji mbovu) kipindi cha awamu ya 4?