Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Leo PAC wamethibitisha kijiita PhD sio jambo la kitoto na ndio wazir wa kwanza kutuhumiwa na bunge kwa ufisadi,
Daima macho ya Wapumbavu hawaioni busara ya mjinga.

Uliamua kuzinga halafu unwambia mtu akabutue, sasa ni zamu yetu kuzinga tunaona wote mnaobutua kopo la komborela.

Wabunge wasipokutumbua tutawatumbua sisi even its a matte of 2020
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Ungetuambia before hajateuliwa..alipoanza kujisifu
 
Mzee uliona mbali.sana.
 
Kama Jf jukwaa la siasa litaendelea hivi hakika itapoteza wachangiaji wengi. Jukwaa juu mpaka chini linajaa majungu na fitina tu, limekuwa kama kijiwe cha kahawa badala ya kuwa sehemu ya watu kuweka hoja zenye mashiko na nzito. Sahivi hoja za Jf ni nyepesi mno kama nyimbo za kizazi cha miaka hii zinazojulikana kwa jina la big ji.
Lakini mkuu aliyoyaeleza mkuu ndio haya tunayashuhudia. Huyu kitwanga ni kimeo cha Pombe
 
Wewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!
Sasa si umeona jinsi ulivokuwa mnafiki na muongo??
 
Angekuwa jembe ansinge ingia Bungeni chakali
 
Kamfichia pombe? Angempa wakalewa wote.....mahakama ya mafisadiiiiiiii
 
Back
Top Bottom