Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

Kama nilivyoweka angalizo kwa January na haikutokea,naweka pia kwa waziri Charles Kitwanga.Huyu ni msiri wa
Dr.Magufuli na ndiye
aliyeonekana katika video clip
moja akimshauri Dr Magufuli
"achukue fomu". Kweli
Dr.Magufuli "alichukua fomu" na sasa ni mkuu wa nchi.Nakwambia huyu haguswi,mtatumbuliwa nyie waajiriwa.Huyu akitumbuliwa mimi hapa natembea uchi Dar nzima.Tuliwaambia matatizo hayawezi kumalizwa na watu walioyasababisha
sasa waweza fanyaaaaa
 
Huyu PhD sijui ni mganga wa Sumbawanga sehemu gani. Ramli yake ni ya masafa ya mbali.
 
Wewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!
Muongo?
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Naamini wewe siyo mtabiri wa kiwango cha marehem Shehe Yahya ila ulijuaje?????
 
PHd kwa mara ya kwanza umemfunika mshana jr kwa aya mambo ya utabiri nikisema nikuvulie kofia sita kutendea haki acha nikuvulie viatu duuuuuuuuuu
 
Wewe ni muongo na ni muongo sana. Urafiki wa Dr. Magufuli na Mh. Kitwanga siyo hoja ya kumteua kuwa waziri. Ingekuwa hivyo basi Masawe wa BOT naye angemteua maana naye ni rafiki yake wa karibu sana. Mimi namfahamu vizuri sana Charles Kitwanga. Ni moja ya viongozi wachache wenye msimamo na utendaji wa kazi. Ni mtu mwenye maadili na huwa hapendi uvivu na mtu wa maamuzi. Mi sema nilipenda angepewa wizara ya viwanda na biashara maana ni mtu anayeweza kufanya maamuzi. Ila hata huko mambo ya ndani anafaa tu Kwa sababu ni sehemu pekee inayohitaji mtu ambaye ana msimamo asiyeweza kuyumbishwa na mafisadi. Hivyo Charles Kitwanga ni Jembe!
Sintokuja kukaa kuishabikia wala kuwa mfuasi wa ccm hata siku moja.
 
11d1fb7.jpg
 
Sasa wewe inakuuma nini?
Ujinga Ushenzi Ubwege na Upumbavu unatokana na maneno unayozungumza.

Sasa Kuna watu chungu tele wenye maovu kibaao unawaacha unaangalia tu mawaziri wa Magu.

Jambo la kipumbavu sana.

Sasa subiri na tunajua unapokaa.
Vipi tena wewe? Umechanganyikiwa ghafla au?
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.

Umeuwa mkuu una jicho la mwewe
 
Duh ukawa sasa kimegeuka kijiwe cha majungu. Hoja aliondoka nazo Dr Slaa. Magufuli ni mtu wa kazi atawasumbua sana maana mtakuwa mnapotezana kila hatua anayopiga.
Hatua ya sukari kwa kuuzwa 6000/=???
 
Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.

Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.

Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.

Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Duuuuh! Ndugu, wewe una zaidi ya Jicho la Mwewe.
 
[QUOTE="
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Jamani kuna watu mna DNA za shehe Yahya humu!Though hajafukuzwa na Bunge directly[/QUOTE]

Lema nae alikuwa anajua. Inaonekana haikuwa siri kihivyo hii
 
Back
Top Bottom