Character yupi wa Prison break alikuvutia?

Fernando Sucre mzee wa malavi davi

Abruzzi, huyu ndo alikua kiboko ta T-bag

Alex Mahonne, genious wa pili ukimtoa Michael Scorfield

hii seies pamoja na 24 itabaki kuwa best ever miaka yooote!!
Mkuu mim baada ya stay home ya corona ilibidi nifungue pc yangu iliyoharibika miaka kumi sasa nimetoa hard disk nimeinunulia external case sasa.

Nimejikuta napata bonge la kampan hapa home la prison break. Yaani imekuwa kama mpya hivi kwangu
 
Me mwenyewe nairudia hapa na naiona mpya utazani imetoka hiv karibuni
 
hahaha nilimpenda sana huyu mwana,hasa ule ubabe wakati mjeda jela 😂
unakumbuka ile scene alimpa twinner burger ili apate siri za michael twinner akazingua likamwambia nilipe burger zangu akajibu hana pesa likamwambia “go sell your ass” 🤣
 
Kuna jamaa moja "Haywire" dishi limeyumba kidogo yeye ndie aligundua kwamba tattoo za Michael zina maana.Alikariri tattoo zote mpaka Michael alienda kumuuliza sehemu ambazo amesahau. View attachment 1415076
huyu jamaa alikuwa na akili sana,alikuwa TO wa huko kwao yani alipewa tuzo nyingi za kuongoza kwenye mitihani, elimu imelala hapo
 
wakuu tafuteni documentary inaitwa ESCAPE FROM ALCATAZ nadhani prison break wameiga hiyo story
kwa kifupi ni tukio lilitokea miaka ya 60 huko marekani kwenye kisiwa kilichoitwa alcataz ambacho ni gereza lililoaminika kuwa maximum security lakini kuna jamaa walitoboa ukuta wa cell yao wakaacha bed midoli afu wakawa wametengeneza maboya na boat kwa kutumia coats zao za baridi wakakimbia mpaka leo hawajapatikana
 
Sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom