Character yupi wa Prison break alikuvutia?

C' Note Benjamin miles Franklin

Benjamin Franklin halisi ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Marekani na hujulikanama kama Baba wa Taifa hilo, japo hakuwahi kuwa Rais wa Marekani.

Sasa picha yake hutumika kwenye noti ya Dola 100 nchini Marekani.

Ndio maana Benjamin Franklin wa Prison Break akajiita jina la utani C-Note yaani Noti ya Dola 100, ile C ni sawasawa na 100 kwa kirumi.
 
Mademu wazuri ni
Demu wa sucre
Demu wa c note
Demu wa lincon (mitaa kule sona beach)
Umesahau kisu kimoja hapo kinaitwa Sophia, dem wa James Wesla kule Panama. Aisee panama kuna watoto wazuri maana hata dem wa Ochela mbambe wa gerzani alikuwa kisu hatari.

Hii ni list yangu ya madem wakali wa PB
Dem wa c-note
Sophia
Dem wa sucre
Dem wa Ochelo
Sarah
 
mkuu asante anaitwa sophia (dem wa lincon
 
Usikasahau kale kademu ka yule dogo aliuawa na mahone pale kwenye gari..wakati wapo gerezan michael alitoka nae ila nje akamwambia ashike njia yake(sharobaro flan hiv alikuwa anapenda basket ball)
Sogo aliona bora afe kuliko kuwachoma wenzake. Maana mwanzo aliwahi wachoma akiwa gerezani. Malipo yake alipata mteso
 
Yap huyohuyo..sasa yule dem alikutananae kizari zari tu...anaitwa nani vile
images.jpeg-3.jpg
 
Usikasahau kale kademu ka yule dogo aliuawa na mahone pale kwenye gari..wakati wapo gerezan michael alitoka nae ila nje akamwambia ashike njia yake(sharobaro flan hiv alikuwa anapenda basket ball)
Dan umenikumbusha. Kweli yule dem ni mkali sio mchezo
 
Back
Top Bottom