Mchague mmoja Kati yao.
Theodore Bagwell
namkubali Theodore bagwel , teddy bear au T bag
kalitamani sana wakati fulani kubadili maisha yake ikashindikana ikabidi kaseme “we are all victims of our own identities”
Hahaha, Kila mtu na maisha yake,Michael Scofield, ila nilipogundua jamaa ni bwabwa; sikutaka kuendelea na series za mbele.
Huyu jamaa alivyaa vizuri Sana uhusika wa uchizi atazani alikuwa chizi kweliKuna jamaa moja "Haywire" dishi limeyumba kidogo yeye ndie aligundua kwamba tattoo za Michael zina maana.Alikariri tattoo zote mpaka Michael alienda kumuuliza sehemu ambazo amesahau. View attachment 1415076
Mzee wa lips denda.Style yake hii ilikuwa inanichekesha kweli kweli.
Ila alikufa kifo kibaya
Nami niliichukia hiyo series baada ya kuambiwa Scofield ni shoga! Sitaki kuisikia tena! Jamani useng* mbaya sana!
Naona umempa kubwa kuliko tatizo letu sisi wabongo tunapenda ujuaji Sana.Unaacha kuangalia series tamu balaa kisa tu umesikia baada ya kuambiwa jamaa ni shoga...yaaaan umesikia tuuu
Ajabu Zaidi bado unatazama maseries kibao ambayo ndani yake yanaonyesha kabisa ushoga!!
unajitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe,hehehehehe
WyattYule black ambae ukimpa siri ANAKUUA na GRECHEN
Mkuu series hukuiangalia vizuri. Kuna sehem Bellick anameza funguo???nakumbuka kuna wakati bellick alimeza ufunguo, scofield na brother wake wakamuekea poti aunye ufunguo, nilicheka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuuWay back 2007 au 2008 iyo Kama sijakosea
Sami