Character yupi wa Prison break alikuvutia?

Character yupi wa Prison break alikuvutia?

Sio T-Bag kweli aliyemeza funguo?

Alikuwa T-bag..tena nakumbuka alimeza funguo katika situation mbili tofauti

1.walipotoroka tu jela,akajifunga pingu mkono wake na wa scorfield ili wasimtoroke,halafu funguo akameza...ila jamaa walikuja kumkata mkono,daaaah hii seris kiboko

2.na mara nyingine ndo wakampa bakuli aende akaunye
 
Alexander Mahone.... the besttttt.... alikua na akili nyingi sana za kumtrace scoffield.. season 2..... season 4 pia wakati wa kuitafuta sylla.. alikua na machungu sana kwa kuuliwa mwanae...... don self pia season 4 sio mbaya.. sema alikuja kukera alivosaliti team.... general jonathan pia.. alikua na akili Mingi... kiufupi prison break kwa ujumla akili ni Mingi sana
 
Kwa upande wangu T-bagwell ndio alinivutia Sana namna alivyocheza kuanzia season 1 mpaka ya 4.zile swaga zake anazofanya akiwa anataka kitu muhimu alikuwa ananichekesha Sana, Jamaa alikuwa anapenda pesa ile mbaya alikuwa yupo radhi afoji jina la mtu mwingine Kama tu deal la hela anaweza kupata kupitia jina Hilo alilifanya hivi kwenye season 3.

Jambo lingine alikuwa kila Demu anadate nae alikuwa lazima amuuwe kasoro demu mmoja tu ndo alikuwa anampenda Sana kwa dhati ile mbaya ndo hakumuua.View attachment 1414826
Pale alipotoroka jela raia yoyote alipomuona na kutaka kumreport polisi alikuwa lazima amuuwe.Tabia nyingine alikuwa ana tabia ya kukugeuka ilimradi apate maslahi kwenye season 3 pale walipopelekwa kwenye ile jela la Sona ambalo ndani yake kulikuwa Hakuna walinzi zaidi ya wafungwa wenyewe kwenye Hilo jela akatafuta yupi ni mbabe wa pale jela akamuona akaona Bora awe ni kibaraka wake na akajifanya ni mpole kumbe ni katili kwelikweli ili aishi vizuri jela bila kubuguziwa baadae akamgeuka na kumuua baada ya kupata power alikuwa anaitaka na kuwa ndio mbabe mpya wa jela.

Je kwako ni character yupi ulimkubali kupitia series hii ya Prison break na Ni kwanini?
Pale alipomteka dr. Amuunge mkono wake halafu mbaya zaidi anakuja kupigwa pingu ya mkono huo na pira linakaribia akaona isiwe tabu bwana weee akaukat mkono akimbie police ,,,

Mahali nilipodhani jamaa angefanya mauaji makubwa mpaka shetani achukuw course ni pale yule mwanamke wake alipomwambia hata hawa watt si wako!!! Aiseeeeee

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Alichonichekesha huyo jamaa ni alivyokuwa polisi alikuwa mbabe kwelikweli na alikuwa anawaonea Sana wafungwa ila baada tu kuondolewa polisi alikuwa mpole Kama pilitoni akawa anaonewa mpaka na T-bagwell.
Pale kaingizwa gerezani sasa tbag kaka kitanda cha juu mshikaji anawenge mara tbag anashuka aiseeeee nilicheka mnoo na kumwonea huruma sana mana hakuna kitu aliachwa kufanywa

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Halafu jamaa alikuwa anapenda Sana kulapa lips
Nilipenda ile episode ambayo anapewa kazi ya kuwazuga walinzi wa ubalozi wa india ili wakina michael waingie ndani ya consulate kuona christina scofield ana enda kusuka mipango gani..

Baada ya kurudi kwenye appartment waliyopangiwa na na General kratz wanamkuta t-bag anajiosha vidonda. Anawauliza mmpata nini lincoln anamwambia a post it note..

Anawajibu... a post it note? How about a beat of a life time..

Risky 2X
 
Back
Top Bottom