Hivi watu wanaanzaje kuifananisha Prison Break na Money Heist?

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,236
14,206
Hivi unaanzaje kwa mfano!!

Yaani Messi umfananishe na Kichuya kweli?! Haiingii akilini!

Niseme tu, mimi ni mmoja kati ya watu tulioangalia series hizo zote 2 na sioni kama ubora ama uzuri wa The Heist unaweza kuupita ule wa Prison Break

Nilichogundua ni kwamba watu wengi wanaosifia The Heist wameanza kufuatilia series kipindi hiki hiyo series ilipotoka na hawajawahi kuangalia Prison Break kabisa. Labda wamesikia tu juu juu kwamba yule mwamba Scorfield mule ndani katumia akili, lakini hawajui alikuwa anafanya nini.

Halafu mtu kama huyo anabishana kwa kulinganisha. Ukimwambia ataje wahusika wa5 wa Prison Break kama kweli kaiona, hawajui!

Siwezi kusema The Heist sio nzuri, ila ni ya kawaida sana na ina mapungufu mengi.

Mifano iko mingi tu ila fikiria huu mmoja.. Hebu jiulize tangu wale watu wafungiwe ndani ya ile benki, umeona wamekula mara ngapi? Mimi kwa upande wangu nakumbuka ni mara moja tu kwenye hii Season ya 4. Kwa sababu chakula ni lazima kitoke nje ya benki.. Kwahiyo mpaka hapo tu wameshindwa kutuwekea uhalisia.

Halafu watu wanaenda mbali zaidi, eti wanamfananisha Scorfield na Professor. Kwamba Professor katumia akili nyingi zaidi.

Niwaambie tu, wale mlioangalia The heist peke yake kisha mkaamua kuja kuwasumbua wadau, tunawaona kama ni Amateurs.. Hamjui kitu!

Eti kuna kidemu nacho kiliniomba nikiwekee The Heist kwenye PC yake wiki chache zilizopita, kashaangalia eti katuma picha kwenye group la Whatsapp ya Professor na Michael ili watu wabishane na yeye anachangia kabisa!

Acheni utani nyie.. Hivi The Heist inaweza kuingia hata kidogo miziki ya 24 au Homeland?

Bado kuna mijitu itakaza vichwa!!

images%20(2).jpg
images%20(3).jpg
images%20(4).jpg
images%20(7).jpg
images%20(6).jpg
images%20(5).jpg
images%20(2).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni link ni download hiyo Money Heist

Hivi PB (Break Out) ndio imeisha pale akina Michael wanatoroka uarabuni? Kwanini haikuendelezwa?

Au ndio sababu zile zile kama za kusitishwa kwa Revolution, 24 Legacy n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 2018 January Fox walitangaza kuwa season six itakuwepo lakini kukatokea kamgogoro kati ya Fox na Disney hiyo mwaka jana 2019 August wakatangaza kuwa wame cancel season six.

Lakini producers wa PB wanakuambia "never say never for the future".
 
You nailed it man. Sehemu kubwa ya fanbase ya sasa haijui kuhusu #prison break au #24. Haijui pia kuhusu #the wire au #breaking bad.

Huwa nashangaa sana kuona hawa matozi akina Rio wanafananishwa na kina Sucre. Ndiyo Arturo anaboa ila Bellick alikuwa na show kubwa zaidi.

Kuhusu starring, character ya Scofield iko juu sana ikilinganishwa na ile ya Professor. Pia manzi ake Scofield (Sarah) alikuwa phenomenal kuliko yule Muriro wa Professor.

Kwa sasa Money heist ndiyo habari ya mjini ila kwa PB bado itaendelea kusubiri.

Yaah! Ile ndio season ya 5 na ya mwisho kwa taarifa zilizopo mpaka sasa, kwamba haitoendelea tena.

Michael anabadili jina anakuwa anaitwa Caniel Otis, mwisho wa siku anakuja kuchora jicho la yule gaidi, Poseidon kwenye mkono wake.

images%20(9).jpg
images%20(8).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni link ni download hiyo Money Heist

Hivi PB (Break Out) ndio imeisha pale akina Michael wanatoroka uarabuni? Kwanini haikuendelezwa?

Au ndio sababu zile zile kama za kusitishwa kwa Revolution, 24 Legacy n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Nishawahi soma sehemu kuwa kuna plan ya season 6 ila wameacha kwanza fans waendelee kui-consume season 5.

Pia safari hii waliacha more loose ends kuliko ilivyokuwa kwenye mwisho wa season 4. Nadhani itakuwa rahisi kuirejesha watakapotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You nailed it man. Sehemu kubwa ya fanbase ya sasa haijui kuhusu #prison break au #24. Haijui pia kuhusu #the wire au #breaking bad.

Huwa nashangaa sana kuona hawa matozi akina Rio wanafananishwa na kina Sucre. Ndiyo Arturo anaboa ila Bellick alikuwa na show kubwa zaidi.

Kuhusu starring, character ya Scofield iko juu sana ikilinganishwa na ile ya Professor. Pia manzi ake Scofield (Sarah) alikuwa phenomenal kuliko yule Muriro wa Professor.

Kwa sasa Money heist ndiyo habari ya mjini ila kwa PB bado itaendelea kusubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali mwamba..

Wakati unataja hao character, nikamkumbuka jamaa mmoja mule ndani anaitwa Paul KELLERMAN.. Hahahahaa!! Nilimkubali sana baadae, alikuwa jeshi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hujaangalia heist vizuri... professor pia ana akili ya ziada..
Mkuu nimeangalia zote mbili,hakuna cha ajabu alichofanya professor.MH ni yakawaida sana huwezi kuifananisha PB.akili iliyo tumika kwenye PB ni kubwa sana.huyo professor hamzidi akili hata mahone,kwa akili ya mahone kama angeigiza MH angemkamata kabla hata bank hawajaingia.
 
Mwaka 2018 January Fox walitangaza kuwa season six itakuwepo lakini kukatokea kamgogoro kati ya Fox na Disney hiyo mwaka jana 2019 August wakatangaza kuwa wame cancel season six.

Lakini producers wa PB wanakuambia "never say never for the future".
Tunahitaji wafatiliaji kama hawa.

Huyu hata akisema The heist ni bora tunakubali, kwa sababu ana sababu zake.. Lakini mtu anajiskia tu kuchangia ili aonekane hapitwi na mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimeangalia zote mbili,hakuna cha ajabu alichofanya professor.MH ni yakawaida sana huwezi kuifananisha PB.akili iliyo tumika kwenye PB ni kubwa sana.huyo professor hamzidi akili hata mahone,kwa akili ya mahone kama angeigiza MH angemkamata kabla hata bank hawajaingia.
Kakaa umenikumbusha huyo mwamba.. Sasa huyo awekwe kwenye upelelezi wa kumtafuta huyo Professor badala ya kile kidemu chenye ujauzito, si dakika 2 tu..

Michael mwenyewe kichwa kilikua kinamuuma kwa huyu jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Money heist Ni takataka tupu hata robo tu ya prison break haifikii kwanza inatabilika haina matukio mengi ya kusisimua Kama PB kingine zaidi wanalazamisha story iwe ndefu wakati ubunifu umeisha.Moja ya kitu nilichokipenda kwenye prison break Ni kwamba unakuta watu wenye uadui mkubwa na pia hamuaminiani inafika kipindi mnajikuta mazingira yanawazalimisha mshirikiane hata Kama mna uhasama mkubwa mfano mzuri Ni professor Mahone kuangana na kina Michael scottfield ingawa aliwaulia baba yao mzazi, mfano mwingine Ni T-bag jamaa Ni snitch Sana lakini ilibidi Michael scottfield ashirikiane ili kupata cylla hiyo Ni sehemu tu ndogo ya ubunifu uliotumika kwenye PB atujazungumzia mambo mengine kiufupi money heist itasubiri Sana kufika ubora wa PB.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom