Character yupi wa Prison break alikuvutia?

T-Bag aliambiwa na Bellick kwamba wewe ulizaliwa baada ya babako kumbaka dadako T Bag ambaye alikuwa anaumwa "Down Syndrome" ndio ukazaliwa T-Bag.

Mbaguzi lakini alikuwa smart.

"Captivity of negativity" moja kati ya speech kali aliyoitoa inaniispire.
na huo ndio ukweli, tena kwa nyiongeza ni kwamba, t bag alifanyiwa sexual harassment na baba yake toka utotoni hii inaeleza tabia yake ya kubaka watoto na kuwala wafungwa wenzie wa kiume
 
kulikuwa na mzee wa ma-lavi davi Fernando Sucre, kila mda anamuwaza dem wake tu...Movie za hawa jamaa ni za viwango vya hali ya juu sana, Bongo sijui kama tutawahi kuja kufikia level hizo. Kinachokufanya ujue ni maigizo ni kwa kuwa unajua imekuwa - acted ila kwa kuiangalia jamaa wapo serious na real katika kazi. hata 24 ya Jack Bauer ni kiwango sana.
 
To be honest hii ndio series niliyoenjoy Sana.
 
Back
Top Bottom