Character yupi wa Prison break alikuvutia?

Unaacha kuangalia series tamu balaa kisa tu umesikia baada ya kuambiwa jamaa ni shoga...yaaaan umesikia tuuu

Ajabu Zaidi bado unatazama maseries kibao ambayo ndani yake yanaonyesha kabisa ushoga!!

unajitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe,hehehehehe
Na hapa ndipo Wabongo wanajichanganya! Michael Scofield sio shoga na wala hakuwahi kuonesha elements zozote za kishoga! Matokeo yake, ushoga wa Wentworth wanauingiza kwa Michael!!

Hao hao ukiwauliza series gani mzuri watakuambia Money Heist wakati ndani yake kuna elements za ushoga ambao kwenye PB haupo ukiacha ule wa ndani ya jungle ambao unawasilisha uhalisia wa magereza.
 
Umempa jibu la akili asipokuelewa ajitafakari
 
Na hapa ndipo Wabongo wanajichanganya! Michael Scofield sio shoga na wala hakuwahi kuonesha elements zozote za kishoga! Matokeo yake, ushoga wa Wentworth wanauingiza kwa Michael!!

Hao hao ukiwauliza series gani mzuri watakuambia Money Heist wakati ndani yake kuna elements za ushoga ambao kwenye PB haupo ukiacha ule wa ndani ya jungle ambao unawasilisha uhalisia wa magereza.
Nilipenda Sana Michael scottfield na wenzake walivyoingizwa bongo dar-es-salaam na bwana Don self yule polisi pamoja na ujanja wao wote wanafanya kazi kubwa ya kupata sylla alafu bwana Don self anapata kiuraini
 
Alikuwa T-bag..tena nakumbuka alimeza funguo katika situation mbili tofauti

1.walipotoroka tu jela,akajifunga pingu mkono wake na wa scorfield ili wasimtoroke,halafu funguo akameza...ila jamaa walikuja kumkata mkono,daaaah hii seris kiboko

2.na mara nyingine ndo wakampa bakuli aende akaunye
Uliona ile Michael scottfield walivyopigwa bongo dar-es-salaam pamoja na ujanja wao wote na Don self yule polisi, walifanya kazi kubwa ya kupata sylla wanajikuta wanampa kirahisi don self alafu anawapa file la wao kuwa huru kumbe ndani yake wanafungua wanakuta karatasi tupu haina maandishi
 
Hahhahaaaaaaaa dah alikuwa akishafanya ivi ujipange kwa tukio litakalofata

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Unakumbuka Michael scottfield na wenzake walivyopigwa bongo dar-es-salaam na bwana Don self yule polisi? Pamoja na ujanja wao wote.
 
Nilipenda Sana Michael scottfield na wenzake walivyoingizwa bongo dar-es-salaam na bwana Don self yule polisi pamoja na ujanja wao wote wanafanya kazi kubwa ya kupata sylla alafu bwana Don self anapata kiuraini
Uliona ile Michael scottfield walivyopigwa bongo dar-es-salaam pamoja na ujanja wao wote na Don self yule polisi, walifanya kazi kubwa ya kupata sylla wanajikuta wanampa kirahisi don self alafu anawapa file la wao kuwa huru kumbe ndani yake wanafungua wanakuta karatasi tupu haina maandishi
Unajua watu inabidi wafanye kazi ya ziada kunishawishi kwamba Professor wa Money Heist ni genius kuliko Michael Scofield!!

Throughout his history, Michael kakumbana na vichwa bhana, we acha tu, na wote hawa walikuwa "wapinzani" wake, wengine wa ndani na wengine wa nje!

Nje akumbane na akina Alex Mahone, ndani akumbane na akina T-Bag ambao wote hao ni geniuses na hakuna walichokuwa wanawaza zaidi ya kum-doublecross Michael!!

Hajakaa vizuri anakuja kukutana na Don Self ambae sio tu aliweza kum-doublecross Michael na timu yake bali hata mshirika mwenzake Agent Miriam kutoka Homeland!

Kwenye timu mzima, wakati watu pekee ambao Michael angeweza kuwaamini ni Lincoln, Sarah, na Sucre peke yao, kwa upande mwingine Professor alikuwa na kundi kubwa la anaowaamini nyuma yake, kwa sababu hawa wote kabla hawajaingia kwenye heist mission walishakaa pamoja na ku-socialize huku Michael akiwa na timu ambayo karibu wote amekutana nao kwenye mission except Lincoln!

Hapo hujawataja The Company akikumbana akina Agent Kim (Bill) ambae hakuona taabu kutoa " a kill order" dhidi ya yeyote aliyeonekana threat kwa The Company!

Acha Michael awe Michael ingawaje mimi ni shabiki wa Captain Brad Bellick!

Si kazi ndogo kuwa-outsmart wote hao huku akiwa hana hata elements za kuua zaidi ya akili yake!! Na wala hakutegemea teknolojia zaidi ya kichwa chake!!
 
Michael scottfield alikuwa anakutana na changamoto na hapo hapo anapata idea ya kukubaliana nayo mtazamaji unayetazama unaweza ukaona hapa Michael kakwama alafu unakuja kushangaa amepata solution hapa hapa.Jambo lingine lilikuwa linanivutia kwa Michael kabla ajafanya mission anakuwa teyali kasha calculate plan nzima kwa ufanisi mkubwa mfano mzuri walivyomkamata General na pia kutokana na ulinzi mkubwa aliyonayo kwenye jengo lake General akawaambia humu amuwezi kutoka kumbe Michael alishamuandaa Sara ili amteke mtoto wa general na waitumie hiyo silaha kwaajili ya kutoka mjengoni cos Michael alijua mapema General anampenda Sana mtoto wake dah kikweli Michael scottfield ni genius indeed.
 
nakumbuka kuna wakati bellick alimeza ufunguo, scofield na brother wake wakamuekea poti aunye ufunguo, nilicheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni T-Bag ndo ulimeza funguo za loka alilofungia begi la hela, walio muwekea poti la kunya ni Belleck na yule afande mwingine alietimuliwa na pop kwa kuchongewa na maiko kuwa anadhulum wafungwa vitu vyao
 
Back
Top Bottom