Character yupi wa Prison break alikuvutia?

Character yupi wa Prison break alikuvutia?

Avacado lile lijitu lilikuwa linamla kiboga tweener, kabla ya kumla linatandika mashuka vizur kwanza,

Lkn Mara ya mwisho dogo akaamua liwalo na liwe akam salchicha sliced kama alivyosema sucre.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau kisu kimoja hapo kinaitwa Sophia, dem wa James Wesla kule Panama. Aisee panama kuna watoto wazuri maana hata dem wa Ochela mbambe wa gerzani alikuwa kisu hatari.

Hii ni list yangu ya madem wakali wa PB
Dem wa c-note
Sophia
Dem wa sucre
Dem wa Ochelo
Sarah
Demu wa ochela ndio ninayemkubali Sana sijui anaitwa Nani? nitajie jina lake Kama unalijua?
 
Sogo aliona bora afe kuliko kuwachoma wenzake. Maana mwanzo aliwahi wachoma akiwa gerezani. Malipo yake alipata mteso
Mahone alikuwa hana masihara hata kidogo, ila hatimaye alikuja kujiunga na Crew.
 
Kuna yule dogo mmoja aliuawa na Alexander Mahone season 2. Sikumbuki alikuwa anaitwa nani ila baada ya kutoka fox river yeye alikuwa akivaa cap iliyoandikwa "S" yaani stealer, huko ya genius wao ikiandikwa "C" yaani clever.

Huyu dogo alikuwa akinikosha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom