Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!

Wanabodi,

Hapa simzungumzii mtu yoyote bali nazungumzia hulka za watu wenye tabia za udikiteta katili, kitu kinachoitwa "character assassinations" ndio "modus oparandi" ya madikiteta wote duniani, na huanza kwa kuwa populist kwa kuonyesha heroick actions hivyo kushangiliwa sana kama mashujaa na kupendwa sana na watu!.

Hulka hizo za udikiteta zinatokana na kitu kinachoitwa "deep rooted neurosis" kwa madikiteta hawa kuwa waliteswa sana utotoni!, baadhi yao walikataliwa ndani ya familia, na hii hutokea baba kuhisi mtoto huyo sii wa kwake kwa kumhisi mke alichepuka, mama kamwe hawezi kukiri kuchepuka hata kama ni kweli alichepuka, hivyo baba anakuwa anamtesa sana mtoto, na mama hawezi kuingilia!, mtoto wa aina hiyo anakuwa amekulia katika usongo mkubwa wa mawazo, unaomtia hasira kusoma kwa bidii na huku ana visasi ili kuonyesha mateso hayo ni jambo la kupita tuu, na kweli wengi hufanikiwa, na wakiishafika at the top!, ndipo ile "deep rooted neurosis" ya kumbukumbu ya mateso iliyohifadgiwa kwenye "sub conscious mind" inaibuka na kupelekea kumfanya mtu huyo kuwa katili!, kwa ku inflict pain kwa njia za character assassinations, anaumiza ukiumia yeye ndio anapata furaha!.

Madikiteta wa Roma ya kale, waliandaa michezo ya kupigana ya ma gladiators mnapigana hadi mmoja afe!. yule gladiators mwenye nguvu kuliko wote, anakuja kuletwa pale kwenye Colosium (stadium) na kusakiziwa simba watatu wenye njaa ya siku 7, huku watu wamejaa kushuhudia jinsi binadamu anavyoraruwa na simba huku watu wanashangilia!.

Adolf Hitler yeye alikuwa akinyoosha mistari ya jeshi lake kwa risasi za moto, anayepindisha tuu, anakula hapo hapo!. Idi Amini Dada yeye alikuwa anatumia kikosi kinachoitwa "firing squad", lengo ni kuogofya!.

Hivyo wandugu, tusije wote tukawa washangiliaji wa hiki kinachoendelea tukitaraji tutafika mwisho na wote watanyooka, kumbe huu ukawa ndio kwanza ni mwanzo tuu wa makubwa yajayo!.

Naomba kumalizia kwa msisitizo, kuna aina mbili za madikiteta!. Kuna Madikiteta Katili na Masikiteta wazuri!. Mada hii inawazungumzia madikiteta katili!, hivyo nawaomba wachangiaji msije kuchanganya madawa mkaanza kuwadhania watu humu!.

Namalizia kwa swali, jee wote tunaoshagilia hizi character assassination za sasa, ambazo we take them as "the sweet", jee tuko tayari to "swallow the bitter with the sweet" wakati wa vidonge vichungu ukifika, au tutaendelea tuu kuchagua vidoge vitamu ndio tumeze, lakini vichungu tuteme?!.

Nawatakia Jumatatu Njema.

Pasco

Pasco umeanza kwa kusema humzungumzii mtu yeyote lakini umemaliza kwa kuuliza swali ambalo nina shaka kama ulimaanisha mwanzo wa sentensi yako...

Ila halijaharibika jambo. Mimi kwa mtazamo wangu hasa nikitilia maanani nchi ilipokua imefikia, tuko sahihi..pale nchi itapokaa katika mstari kila mtu akatambua wajibu wake, management style itabadilika automatically. Wengi tulitaka haya mabadiliko, uwajibikaji kuanzia serikali kuu mpaka chini, na mabadiliko hayo hayaji hivihivi ndugu yangu Pasco. Jiwe linaporushwa ktkt ya umati wa watu uliowakusudia, lazima litampiga mmojawapo, sasa unategemea ni muujiza gani jiwe kudondoka bila kumgusa yeyote? Hebu ifike muda tuwe wazalendo, waweza kutoona matunda yake sasa lakini watoto wetu watanufaika nayo baadae.

Mkuu, nikutakie Jumatatu njema na wewe.
 
Maelezo yako yote yamehitimishwa na paragraph ya tano.

Tanzania ilipofika na mazingira yaliyopo hatuwezi kufika huko unakodhani. Huu ni woga ambao ulitegemewa kwa sababu kinachofanywa na Rais kwa sasa kiko nje ya comfort zone za baadhi ya watu.

Ninafahamu ni wachache sana waliamini kama Rais Magufuli anaweza kumtumbua Kitwanga achilia mbali kumtumbua kwa aina kama ile huku Ikulu ikitoa Press Release yenye paragraph mbili ambazo ni fupi.

Hii imekuwa ni shock hasa ikichuliwa kuna wengine walisha bet na kusema watavua nguo au watatembea uchi kama Kitwanga atafukuzwa kazi.

Watu wanaomfahamu kwa karibu Rais Magufuli hawashangai kwa kile anachokifanya.

Ninakuhakikishia subiri mahakama ya mafisadi ianze utashangaa watakao kamatwa na kushitakiwa.

Hizi unazoziita character assassination itabidi wazizoee na njia ya kuepuka fanya kazi kama mkataba wako unavyotaka au achana na public sector na ingia kwenye private huku ukifuata sheria za nchi.

Kwa sasa kuna watu hali zao kifikra ni mbaya sana kwa sababu hawafahamu hatima yao kutokana na madhambi yao.

Rais Magufuli ni mtu anayechukia sana uonevu na uzembe lakini anaheshimu sana watenda mema kwa jamii hasa ya chini.

Kama kuna watu wanadhani wanaweza kupambana naye ili kumkwamisha ni bora wasahau hilo wazo kwa faida ya freedom zao.

Yes, as human being, Rais Magufuli ana mapungufu yake ambayo ni tone dogo sana kulinganisha na mazuri yake. By the way, hatukuchagua Maraika.

Mkuu umegusa penyewe. Kuna Ntu kibaruani kwangu utawala uliopita alikuwa anajifanya kama Mungu Ntu. Kwa kushirikiana na genge lake wakawa wapiga deal hasa. Mh. huyu alipoanza tumbua tumbua huyo bwana kanyea hasa. Na ana makandokando kweli tunasubiri ni swala la muda tu. tuna imani atatumbuliwa tu.
 
Pasco umeanza kwa kusema humzungumzii mtu yeyote lakini umemaliza kwa kuuliza swali ambalo nina shaka kama ulimaanisha mwanzo wa sentensi yako...

Ila halijaharibika jambo. Mimi kwa mtazamo wangu hasa nikitilia maanani nchi ilipokua imefikia, tuko sahihi..pale nchi itapokaa katika mstari kila mtu akatambua wajibu wake, management style itabadilika automatically. Wengi tulitaka haya mabadiliko, uwajibikaji kuanzia serikali kuu mpaka chini, na mabadiliko hayo hayaji hivihivi ndugu yangu Pasco. Jiwe linaporushwa ktkt ya umati wa watu uliowakusudia, lazima litampiga mmojawapo, sasa unategemea ni muujiza gani jiwe kudondoka bila kumgusa yeyote? Hebu ifike muda tuwe wazalendo, waweza kutoona matunda yake sasa lakini watoto wetu watanufaika nayo baadae.

Mkuu, nikutakie Jumatatu njema na wewe.
Ni kweli mabadiliko hayaji hivi hivi lakini hata kufuata taratibu na kanuni tulizojiwekea nayo inakuwa shida?
Leo Makonda anataka apewe majina na benki,jama hivi kweli?
 
Wanabodi,

Hapa simzungumzii mtu yoyote bali nazungumzia hulka za watu wenye tabia za udikiteta katili, kitu kinachoitwa "character assassinations" ndio "modus oparandi" ya madikiteta wote duniani, na huanza kwa kuwa populist kwa kuonyesha heroick actions hivyo kushangiliwa sana kama mashujaa na kupendwa sana na watu!.

Hulka hizo za udikiteta zinatokana na kitu kinachoitwa "deep rooted neurosis" kwa madikiteta hawa kuwa waliteswa sana utotoni!, baadhi yao walikataliwa ndani ya familia, na hii hutokea baba kuhisi mtoto huyo sii wa kwake kwa kumhisi mke alichepuka, mama kamwe hawezi kukiri kuchepuka hata kama ni kweli alichepuka, hivyo baba anakuwa anamtesa sana mtoto, na mama hawezi kuingilia!, mtoto wa aina hiyo anakuwa amekulia katika usongo mkubwa wa mawazo, unaomtia hasira kusoma kwa bidii na huku ana visasi ili kuonyesha mateso hayo ni jambo la kupita tuu, na kweli wengi hufanikiwa, na wakiishafika at the top!, ndipo ile "deep rooted neurosis" ya kumbukumbu ya mateso iliyohifadgiwa kwenye "sub conscious mind" inaibuka na kupelekea kumfanya mtu huyo kuwa katili!, kwa ku inflict pain kwa njia za character assassinations, anaumiza ukiumia yeye ndio anapata furaha!.

Madikiteta wa Roma ya kale, waliandaa michezo ya kupigana ya ma gladiators mnapigana hadi mmoja afe!. yule gladiators mwenye nguvu kuliko wote, anakuja kuletwa pale kwenye Colosium (stadium) na kusakiziwa simba watatu wenye njaa ya siku 7, huku watu wamejaa kushuhudia jinsi binadamu anavyoraruwa na simba huku watu wanashangilia!.

Adolf Hitler yeye alikuwa akinyoosha mistari ya jeshi lake kwa risasi za moto, anayepindisha tuu, anakula hapo hapo!. Idi Amini Dada yeye alikuwa anatumia kikosi kinachoitwa "firing squad", lengo ni kuogofya!.

Hivyo wandugu, tusije wote tukawa washangiliaji wa hiki kinachoendelea tukitaraji tutafika mwisho na wote watanyooka, kumbe huu ukawa ndio kwanza ni mwanzo tuu wa makubwa yajayo!.

Naomba kumalizia kwa msisitizo, kuna aina mbili za madikiteta!. Kuna Madikiteta Katili na Masikiteta wazuri!. Mada hii inawazungumzia madikiteta katili!, hivyo nawaomba wachangiaji msije kuchanganya madawa mkaanza kuwadhania watu humu!.

Namalizia kwa swali, jee wote tunaoshagilia hizi character assassination za sasa, ambazo we take them as "the sweet", jee tuko tayari to "swallow the bitter with the sweet" wakati wa vidonge vichungu ukifika, au tutaendelea tuu kuchagua vidoge vitamu ndio tumeze, lakini vichungu tuteme?!.

Nawatakia Jumatatu Njema.

Pasco
Pasco hivi Kuna nini kati yako na mkulu wa kaya?.
Pia inaonekana una contract ya mpunga mrefu sana ya kumsiliba mkulu wa kaya. Hongera zako.
 
Wewe ni Muongo ndugu Adolf Hitler hakuwahi kufanya jambo kama hilo'
 
Acha kuandika pumba, wapi palipoandikwa kufukuza Mawaziri ni udikteta!? Mawaziri wangapi waneshafukuzwa na Magufuli na kwa makosa yepi? Tafakari kwa kina achana na kukurupuka. Ukitaka kuuona udikteta wa Magufuli uko wazi kabisa na humu umeandikwa vya kutosha.

Magufuli hana udikteta wowote. Hata mimi huwa natamani sana siku moja kuwa na dikteta lakini siyo kwa demokrasia hii. CCM bado ipo intact kwahiyo Magufuli ataendeleza sera za chama na si vinginevyo. Hizi ngonjera za kufukuza mawaziri ndiyo mnaziita udikteta? Hivi mbona vitu vya kawaida tu.
 
John Kachembeho
Kumbuka kazi tuifanyayo sisi humu hii ni pamoja na Pasco
Nikuelezea tu yanayitokea na kuyafanyia analysis. Ikiwemo na kuyafanyia mfananisho na yaliyotokea ambayo ni recorded.
Hoja yako kuwa anaeneza chuki zidi ya mkuu wa Maya ni ni potovu.
Hii ni akili ya kujipendekeza kupita kiasi nanaamini hat a mkuu mwenyewe hakuungi mkono.
Hii ni hatari sana Mawazo huru ndiyo yaliifikisha dunia hapa ilipo.
Unajaribu kumtisha pasco ili zone post yake sio sahihi.
 
By common definition and meaning of Character assassination, from Wikipedia

Character assassination is a deliberate and sustained process that aims to destroy the credibility and reputation of a person, institution, social group, or nation. Agents of character assassinations employ a mix of open and covert methods to achieve their goals, such as raising false accusations, planting and fostering rumours, and manipulating information.

Character assassination is an attempt to tarnish a person's reputation. It may involve exaggeration, misleading half-truths, or manipulation of facts to present an untrue picture of the targeted person. It is a form of defamation and can be a form of ad hominem argument.

For living individuals targeted by character assassination attempts, this may result in being rejected by their community, family, or members of their living or work environment. Such acts are often difficult to reverse or rectify, and the process is likened to a literal assassination of a human life. The damage sustained can last a lifetime or, for historical figures, for many centuries after their death.

Now work it out yourself, as am not intending to get into personal arguments with you or anybody here. I only want you to understand things from inner perspectives!
cc Pasco
 
Wanabodi,

Hapa simzungumzii mtu yoyote bali nazungumzia hulka za watu wenye tabia za udikiteta katili, kitu kinachoitwa "character assassinations" ndio "modus oparandi" ya madikiteta wote duniani, na huanza kwa kuwa populist kwa kuonyesha heroick actions hivyo kushangiliwa sana kama mashujaa na kupendwa sana na watu!.

Hulka hizo za udikiteta zinatokana na kitu kinachoitwa "deep rooted neurosis" kwa madikiteta hawa kuwa waliteswa sana utotoni!, baadhi yao walikataliwa ndani ya familia, na hii hutokea baba kuhisi mtoto huyo sii wa kwake kwa kumhisi mke alichepuka, mama kamwe hawezi kukiri kuchepuka hata kama ni kweli alichepuka, hivyo baba anakuwa anamtesa sana mtoto, na mama hawezi kuingilia!, mtoto wa aina hiyo anakuwa amekulia katika usongo mkubwa wa mawazo, unaomtia hasira kusoma kwa bidii na huku ana visasi ili kuonyesha mateso hayo ni jambo la kupita tuu, na kweli wengi hufanikiwa, na wakiishafika at the top!, ndipo ile "deep rooted neurosis" ya kumbukumbu ya mateso iliyohifadgiwa kwenye "sub conscious mind" inaibuka na kupelekea kumfanya mtu huyo kuwa katili!, kwa ku inflict pain kwa njia za character assassinations, anaumiza ukiumia yeye ndio anapata furaha!.

Madikiteta wa Roma ya kale, waliandaa michezo ya kupigana ya ma gladiators mnapigana hadi mmoja afe!. yule gladiators mwenye nguvu kuliko wote, anakuja kuletwa pale kwenye Colosium (stadium) na kusakiziwa simba watatu wenye njaa ya siku 7, huku watu wamejaa kushuhudia jinsi binadamu anavyoraruwa na simba huku watu wanashangilia!.

Adolf Hitler yeye alikuwa akinyoosha mistari ya jeshi lake kwa risasi za moto, anayepindisha tuu, anakula hapo hapo!. Idi Amini Dada yeye alikuwa anatumia kikosi kinachoitwa "firing squad", lengo ni kuogofya!.

Hivyo wandugu, tusije wote tukawa washangiliaji wa hiki kinachoendelea tukitaraji tutafika mwisho na wote watanyooka, kumbe huu ukawa ndio kwanza ni mwanzo tuu wa makubwa yajayo!.

Naomba kumalizia kwa msisitizo, kuna aina mbili za madikiteta!. Kuna Madikiteta Katili na Masikiteta wazuri!. Mada hii inawazungumzia madikiteta katili!, hivyo nawaomba wachangiaji msije kuchanganya madawa mkaanza kuwadhania watu humu!.

Namalizia kwa swali, jee wote tunaoshagilia hizi character assassination za sasa, ambazo we take them as "the sweet", jee tuko tayari to "swallow the bitter with the sweet" wakati wa vidonge vichungu ukifika, au tutaendelea tuu kuchagua vidoge vitamu ndio tumeze, lakini vichungu tuteme?!.

Nawatakia Jumatatu Njema.

Pasco
Update
Umenikumbusha mbali sana...mbele ya hadhira kubwa ya watu tena akitabasamu kwa raha(kwasababu anakaribia kuinflict pain)..nimtumbueee nisimtumbueee...?TUMBUUAAA!!!
 
Back
Top Bottom