Pia hata maana ya Character assassination imekuwa distorted hapa. Alichokieleza mleta mada hakiendani na tafsiri ya character assassination.inaelekea bado una uchungu kwa mtu wako uliyemtegemea kutoswa kwenye urais wa awamu ya tano
Mtu anaewatetea wanaotumbuliwa sasa kwa lugha laini na kumpinga Magufuli kw visingizio vya namna tofautitofauti,kudhani na kuhisi,lazima ana matatizo. Nchi ilifika pabaya sana na kuna mburula wengi waliokuwa wakijiona kuwa wao ni binadamu wenye haki zaidi kuliko wengine,anachokifanya sasa Magufuli ni kidogo sana ukilinganisha na uozo unaotakiwa kuondolewa. Sio kitu cha ajabu kuwa kuna hao wapingaji maana anagusa maeneo yanayowahusu kwa ukaribu na waliobaki wanapoona hayo,wanahofia kuumbuliwa na kupoteza maslahi ambayo wamekuwa wakifaidi kwa muda mrefu.Mkuu umegusa penyewe. Kuna Ntu kibaruani kwangu utawala uliopita alikuwa anajifanya kama Mungu Ntu. Kwa kushirikiana na genge lake wakawa wapiga deal hasa. Mh. huyu alipoanza tumbua tumbua huyo bwana kanyea hasa. Na ana makandokando kweli tunasubiri ni swala la muda tu. tuna imani atatumbuliwa tu.
Hao hawajui maana ya udikteta,wanapenda kuongea tu.Je Rais wa korea alie muua mkuu wa majeshi kwa kombora la kutungulia ndege dogo ni katili kamuua mpaka mjombaake.
Waliofukuzwa UDOM walipata div 4 kidato cha nne kasemaWanabodi,
Hapa simzungumzii mtu yoyote bali nazungumzia hulka za watu wenye tabia za udikiteta katili, kitu kinachoitwa "character assassinations" ndio "modus oparandi" ya madikiteta wote duniani, na huanza kwa kuwa populist kwa kuonyesha heroick actions hivyo kushangiliwa sana kama mashujaa na kupendwa sana na watu!.
Hulka hizo za udikiteta zinatokana na kitu kinachoitwa "deep rooted neurosis" kwa madikiteta hawa kuwa waliteswa sana utotoni!, baadhi yao walikataliwa ndani ya familia, na hii hutokea baba kuhisi mtoto huyo sii wa kwake kwa kumhisi mke alichepuka, mama kamwe hawezi kukiri kuchepuka hata kama ni kweli alichepuka, hivyo baba anakuwa anamtesa sana mtoto, na mama hawezi kuingilia!, mtoto wa aina hiyo anakuwa amekulia katika usongo mkubwa wa mawazo, unaomtia hasira kusoma kwa bidii na huku ana visasi ili kuonyesha mateso hayo ni jambo la kupita tuu, na kweli wengi hufanikiwa, na wakiishafika at the top!, ndipo ile "deep rooted neurosis" ya kumbukumbu ya mateso iliyohifadgiwa kwenye "sub conscious mind" inaibuka na kupelekea kumfanya mtu huyo kuwa katili!, kwa ku inflict pain kwa njia za character assassinations, anaumiza ukiumia yeye ndio anapata furaha!.
Madikiteta wa Roma ya kale, waliandaa michezo ya kupigana ya ma gladiators mnapigana hadi mmoja afe!. yule gladiators mwenye nguvu kuliko wote, anakuja kuletwa pale kwenye Colosium (stadium) na kusakiziwa simba watatu wenye njaa ya siku 7, huku watu wamejaa kushuhudia jinsi binadamu anavyoraruwa na simba huku watu wanashangilia!.
Adolf Hitler yeye alikuwa akinyoosha mistari ya jeshi lake kwa risasi za moto, anayepindisha tuu, anakula hapo hapo!. Idi Amini Dada yeye alikuwa anatumia kikosi kinachoitwa "firing squad", lengo ni kuogofya!.
Hivyo wandugu, tusije wote tukawa washangiliaji wa hiki kinachoendelea tukitaraji tutafika mwisho na wote watanyooka, kumbe huu ukawa ndio kwanza ni mwanzo tuu wa makubwa yajayo!.
Naomba kumalizia kwa msisitizo, kuna aina mbili za madikiteta!. Kuna Madikiteta Katili na Masikiteta wazuri!. Mada hii inawazungumzia madikiteta katili!, hivyo nawaomba wachangiaji msije kuchanganya madawa mkaanza kuwadhania watu humu!.
Namalizia kwa swali, jee wote tunaoshagilia hizi character assassination za sasa, ambazo we take them as "the sweet", jee tuko tayari to "swallow the bitter with the sweet" wakati wa vidonge vichungu ukifika, au tutaendelea tuu kuchagua vidoge vitamu ndio tumeze, lakini vichungu tuteme?!.
Nawatakia Jumatatu Njema.
Pasco
Update
Mkuu wewe acha tu. Na inawezekana huko kwenye vyama vya siasa mafisadi wamejificha. Sasa wanaanza kupiga kelele ili asifike huko kuwatumbua pia. Wanatumia kichaka cha vyama kufisadi nchi. Kwa hali tuliyokuwa tumefika sheria ikae pembeni kwanza. Mimi namuunga mkono Mh. Magufuli ili kutimiza shabaha yake. Shabaha ya kuondoa unyonyaji na dhuruma katika Taifa letu.Mtu anaewatetea wanaotumbuliwa sasa kwa lugha laini na kumpinga Magufuli kw visingizio vya namna tofautitofauti,kudhani na kuhisi,lazima ana matatizo. Nchi ilifika pabaya sana na kuna mburula wengi waliokuwa wakijiona kuwa wao ni binadamu wenye haki zaidi kuliko wengine,anachokifanya sasa Magufuli ni kidogo sana ukilinganisha na uozo unaotakiwa kuondolewa. Sio kitu cha ajabu kuwa kuna hao wapingaji maana anagusa maeneo yanayowahusu kwa ukaribu na waliobaki wanapoona hayo,wanahofia kuumbuliwa na kupoteza maslahi ambayo wamekuwa wakifaidi kwa muda mrefu.
Hii ni rejea tuu katika kukumbushana, tulisemezana nini wakati wa kushangilia udikiteta na sasa tunalia nini! .Wanabodi,
Hapa simzungumzii mtu yoyote bali nazungumzia hulka za watu wenye tabia za udikiteta katili, kitu kinachoitwa "character assassinations" ndio "modus oparandi" ya madikiteta wote duniani, na huanza kwa kuwa populist kwa kuonyesha heroic actions hivyo kushangiliwa sana kama mashujaa na kupendwa sana na watu!.
Hulka hizo za udikiteta zinatokana na kitu kinachoitwa "deep rooted neurosis" kwa
baadhi ya madikiteta hawa kuwa waliteswa sana utotoni!, baadhi yao walikataliwa ndani ya familia zao!, na hii hutokea pale baba anapohisi huenda mtoto huyo sii wa kwake kwa kumhisi mkewe alichepuka!, mama naye kamwe hawezi kukiri kuwa alichepuka hata kama ni kweli alichepuka, (ukweli mwingine ni bora usisemwe kamwe), hivyo baba anakuwa anamtesa sana mtoto huyo, huku mama hawezi kuingilia kwa sababu anaujua ukweli!.
Mtoto wa aina hiyo anakuwa amekulia katika mateso makubwa ya ukatili, mateso ya kisaokolojia, mateso ya kutumikishwa hadi mateso ya mwili, vitu vyote hivi ukivijumlisha, vinamletea usongo mkubwa wa mawazo, unaomtia hasira kusoma kwa bidii na huku ana visasi ili kuonyesha mateso hayo ni jambo la kupita tuu!.
Na kweli wengi wa watoto wa aina hii, huja kufanikiwa sana, na wakiishafika at the top!, ndipo ile "deep rooted neurosis" ya kumbukumbu ya mateso ya utotoni iliyohifadgiwa kwenye "sub conscious mind" inaibuka na kupelekea kumfanya mtu huyo kuwa katili!, sadist, kwa ku inflict pain kwa njia za cruelity, torture or character assassinations, anaumiza na akiona mtu anaumia yeye ndio anapata furaha na gratification!, sometimes ukatili huu huingia hata katika mapenzi kwa kumpiga sana mpenzi wake au mke wake, baadhi ya wanaume wanakuwa ni wabakaji, huku wanawake wakipenda kubakwa au kupigwa kwanza. Hii ya ukatili kwenye mapenzi inaitwa masochism, wahusika wanaitwa masochistic, au macho men & women.
Madikiteta wa Roma ya kale, waliandaa michezo ya kupigana ya ma gladiators mnapigana hadi mmoja afe!. yule gladiators mwenye nguvu kuliko wote, anakuja kuletwa pale kwenye Colosium (stadium) na kusakiziwa simba watatu wenye njaa ya siku 7, huku watu wamejaa kushuhudia jinsi binadamu anavyoraruwa na simba huku watu wanashangilia!.
Adolf Hitler yeye alikuwa akinyoosha mistari ya jeshi lake kwa risasi za moto, anayepindisha tuu, anakula hapo hapo!. Idi Amini Dada yeye alikuwa anatumia kikosi kinachoitwa "firing squad", lengo ni kuogofya!.
Hivyo wandugu, tusije wote tukawa washangiliaji wa hiki kinachoendelea tukitaraji tutafika mwisho na wote watanyooka, kumbe huu ukawa ndio kwanza ni mwanzo tuu wa makubwa yajayo!.
Naomba kumalizia kwa msisitizo, kuna aina mbili za madikiteta!. Kuna Madikiteta Katili na Madikiteta wazuri!. Mada hii inawazungumzia madikiteta katili!, hivyo nawaomba wachangiaji msije kuanza kuchanganya madawa mkaanza kuwadhania watu humu!.
Namalizia kwa swali, jee wote tunaoshagilia hizi character assassination za sasa, ambazo we take them as "the sweet", jee tuko tayari to "to take the bitter with the sweet" ambao huu ni wakati tunashangilia kuwa hivi vidonge vitamu, tunavimeza kwa furaha na raha zetu huku tukishangilia!, jee wakati wa vidonge vichungu ukifika, pia tutavimeza kwa uchungu huku tukilia?, au tutaendelea tuu kuchagua ni vidoge gani tumeze!, vile vidonge vitamu tuu ndio tumeze, lakini vile vidoge vichungu tuteme?!.
Kwa sasa tuendelee kuuchekea huu udikiteta huku tukiushangilia kwa furaha, ila ukifikia wakati wa kulia, naombeni sana tusianze kulalamika.
Sisi wengine wenzenu ni waona mbali.
Nawatakia Jumatatu Njema.
Paskali
Update
Wewe tangu mamvi akatwe umekuwa kama taahira, njaaaaaaaaa mbayaaaaaaaaaaaaaaaaHii ni rejea tuu katika kukumbushana, tulisemezana nini wakati wa kushangilia udikiteta na sasa tunalia nini! .
Haya ni baadhi tuu ya matokeo ya modus operandi.
Paskali
SINA HAKIKA.Wewe tangu mamvi akatwe umekuwa kama taahira, njaaaaaaaaa mbayaaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu nyie mpo mjini huko, naomba utujuze kama huyu Kanali aliyeteuliwa jana alikuwa ameshastaafu au bado?Hii ni rejea tuu katika kukumbushana, tulisemezana nini wakati wa kushangilia udikiteta na sasa tunalia nini! .
Haya ni baadhi tuu ya matokeo ya modus operandi.
Paskali
Mkuu huu uzi ungeweka leo usinge eleweka madamu ni wa kitambo mwenye akili anaweza kukuelewaHii ni rejea tuu katika kukumbushana, tulisemezana nini wakati wa kushangilia udikiteta na sasa tunalia nini! .
Haya ni baadhi tuu ya matokeo ya modus operandi.
Paskali
Kwako na kwa wengine wote wanaodhani mimi ni mtu wa EL, naomba nisome hapa.Wewe tangu mamvi akatwe umekuwa kama taahira, njaaaaaaaaa mbayaaaaaaaaaaaaaaaa
Kitendo cha mtu yoyote kufurahia mtu mwingine yoyote akitolewa uhai, akitolewa roho, akiuwawa kwa sababu yoyote ile ni ukatili, barbaric na sadism, hii ni some form of deep rooted neurosis.Hulka hizo za udikiteta zinatokana na kitu kinachoitwa "deep rooted neurosis" kwa