iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,941
Kitendo cha mtu yoyote kufuruhia mtu mwingine yoyote akitolewa roho, akitolewa uhai, akiuwawa kwa sababu yoyote ile ni some form of deep rooted neurosis.
Paskali

unaendana na ID yako mkuuMaelezo yako yote yamehitimishwa na paragraph ya tano.
Tanzania ilipofika na mazingira yaliyopo hatuwezi kufika huko unakodhani. Huu ni woga ambao ulitegemewa kwa sababu kinachofanywa na Rais kwa sasa kiko nje ya comfort zone za baadhi ya watu.
Ninafahamu ni wachache sana waliamini kama Rais Magufuli anaweza kumtumbua Kitwanga achilia mbali kumtumbua kwa aina kama ile huku Ikulu ikitoa Press Release yenye paragraph mbili ambazo ni fupi. Hii imekuwa ni shock hasa ikichuliwa kuna wengine walisha bet na kusema watavua nguo au watatembea uchi kama Kitwanga atafukuzwa kazi.
Watu wanaomfahamu kwa karibu Rais Magufuli hawashangai kwa kile anachokifanya.
Ninakuhakikishia subiri mahakama ya mafisadi ianze utashangaa watakao kamatwa na kushitakiwa.
Hizi unazoziita character assassination itabidi wazizoee na njia ya kuepuka fanya kazi kama mkataba wako unavyotaka au achana na public sector ili uingie kwenye private sector huku ukifuata sheria za nchi.
Rais Magufuli ni mtu anayechukia sana uonevu na uzembe lakini anaheshimu sana watenda mema kwa jamii hasa ya chini. Kwa sasa kuna watu hali zao kifikra ni mbaya sana kwa sababu hawafahamu hatima yao kutokana na madhambi yao.
Kama kuna watu wanadhani wanaweza kupambana naye ili kumkwamisha ni bora wasahau hilo wazo kwa faida ya freedom zao.
Yes, as human being, Rais Magufuli ana mapungufu yake ambayo ni tone dogo sana kulinganisha na mazuri yake. By the way, hatukuchagua Maraika na hatutegemei awe kama Maraika.
Brother vipi hili la mahakama ya mafisadi limefikia wapi? Bado unayaamini maandishi haya kaka?Maelezo yako yote yamehitimishwa na paragraph ya tano.
Tanzania ilipofika na mazingira yaliyopo hatuwezi kufika huko unakodhani. Huu ni woga ambao ulitegemewa kwa sababu kinachofanywa na Rais kwa sasa kiko nje ya comfort zone za baadhi ya watu.
Ninafahamu ni wachache sana waliamini kama Rais Magufuli anaweza kumtumbua Kitwanga achilia mbali kumtumbua kwa aina kama ile huku Ikulu ikitoa Press Release yenye paragraph mbili ambazo ni fupi. Hii imekuwa ni shock hasa ikichuliwa kuna wengine walisha bet na kusema watavua nguo au watatembea uchi kama Kitwanga atafukuzwa kazi.
Watu wanaomfahamu kwa karibu Rais Magufuli hawashangai kwa kile anachokifanya.
Ninakuhakikishia subiri mahakama ya mafisadi ianze utashangaa watakao kamatwa na kushitakiwa.
Hizi unazoziita character assassination itabidi wazizoee na njia ya kuepuka fanya kazi kama mkataba wako unavyotaka au achana na public sector ili uingie kwenye private sector huku ukifuata sheria za nchi.
Rais Magufuli ni mtu anayechukia sana uonevu na uzembe lakini anaheshimu sana watenda mema kwa jamii hasa ya chini. Kwa sasa kuna watu hali zao kifikra ni mbaya sana kwa sababu hawafahamu hatima yao kutokana na madhambi yao.
Kama kuna watu wanadhani wanaweza kupambana naye ili kumkwamisha ni bora wasahau hilo wazo kwa faida ya freedom zao.
Yes, as human being, Rais Magufuli ana mapungufu yake ambayo ni tone dogo sana kulinganisha na mazuri yake. By the way, hatukuchagua Maraika na hatutegemei awe kama Maraika.
Tuendelee kuushangilia huu udikiteta unaoendelea kwa kufurahi pamoja, ila utakapowadia muda wa kulia na kusaga meno, nitawakumbusha ili pia tulie pamoja!.Wanabodi,
Namalizia kwa swali, jee wote tunaoshagilia hizi character assassination za sasa, ambazo we take them as "the sweet", jee tuko tayari to "to take the bitter with the sweet" ambao huu ni wakati tunashangilia kuwa hivi vidonge vitamu, tunavimeza kwa furaha na raha zetu huku tukishangilia!, jee wakati wa vidonge vichungu ukifika, pia tutavimeza kwa uchungu huku tukilia?, au tutaendelea tuu kuchagua ni vidoge gani tumeze!, vile vidonge vitamu tuu ndio tumeze, lakini vile vidoge vichungu tuteme?!.
Kwa sasa tuendelee kuuchekea huu udikiteta huku tukiushangilia kwa furaha, ila ukifikia wakati wa kulia, naombeni sana tusianze kulalamika.
Sisi wengine wenzenu ni waona mbali.
Nawatakia Jumatatu Njema.
Paskali
Paskal Mayalla kwa hii mada ya Leo nakuunga mkono kwa asilimia mia, huu ndio ubora wa muandiahi wa habari mahiri Paskal Mayalla, hapo katikati ulilegalega kutetea uovu wa makonda(na data za malipo tulikua tunazifuatilia kwa karibu).Wanabodi,
Hapa simzungumzii mtu yoyote bali nazungumzia hulka za watu wenye tabia za udikiteta katili, kitu kinachoitwa "character assassinations" ndio "modus oparandi" ya madikiteta wote duniani, na huanza kwa kuwa populist kwa kuonyesha heroic actions hivyo kushangiliwa sana kama mashujaa na kupendwa sana na watu!.
Hulka hizo za udikiteta zinatokana na kitu kinachoitwa "deep rooted neurosis" kwa
baadhi ya madikiteta hawa kuwa waliteswa sana utotoni!, baadhi yao walikataliwa ndani ya familia zao!, na hii hutokea pale baba anapohisi huenda mtoto huyo sii wa kwake kwa kumhisi mkewe alichepuka!, mama naye kamwe hawezi kukiri kuwa alichepuka hata kama ni kweli alichepuka, (ukweli mwingine ni bora usisemwe kamwe), hivyo baba anakuwa anamtesa sana mtoto huyo, huku mama hawezi kuingilia kwa sababu anaujua ukweli!.
Mtoto wa aina hiyo anakuwa amekulia katika mateso makubwa ya ukatili, mateso ya kisaokolojia, mateso ya kutumikishwa hadi mateso ya mwili, vitu vyote hivi ukivijumlisha, vinamletea usongo mkubwa wa mawazo, unaomtia hasira kusoma kwa bidii na huku ana visasi ili kuonyesha mateso hayo ni jambo la kupita tuu!.
Na kweli wengi wa watoto wa aina hii, huja kufanikiwa sana, na wakiishafika at the top!, ndipo ile "deep rooted neurosis" ya kumbukumbu ya mateso ya utotoni iliyohifadgiwa kwenye "sub conscious mind" inaibuka na kupelekea kumfanya mtu huyo kuwa katili!, sadist, kwa ku inflict pain kwa njia za cruelity, torture or character assassinations, anaumiza na akiona mtu anaumia yeye ndio anapata furaha na gratification!, sometimes ukatili huu huingia hata katika mapenzi kwa kumpiga sana mpenzi wake au mke wake, baadhi ya wanaume wanakuwa ni wabakaji, huku wanawake wakipenda kubakwa au kupigwa kwanza. Hii ya ukatili kwenye mapenzi inaitwa masochism, wahusika wanaitwa masochistic, au macho men & women.
Madikiteta wa Roma ya kale, waliandaa michezo ya kupigana ya ma gladiators mnapigana hadi mmoja afe!. yule gladiators mwenye nguvu kuliko wote, anakuja kuletwa pale kwenye Colosium (stadium) na kusakiziwa simba watatu wenye njaa ya siku 7, huku watu wamejaa kushuhudia jinsi binadamu anavyoraruwa na simba huku watu wanashangilia!.
Adolf Hitler yeye alikuwa akinyoosha mistari ya jeshi lake kwa risasi za moto, anayepindisha tuu, anakula hapo hapo!. Idi Amini Dada yeye alikuwa anatumia kikosi kinachoitwa "firing squad", lengo ni kuogofya!.
Hivyo wandugu, tusije wote tukawa washangiliaji wa hiki kinachoendelea tukitaraji tutafika mwisho na wote watanyooka, kumbe huu ukawa ndio kwanza ni mwanzo tuu wa makubwa yajayo!.
Naomba kumalizia kwa msisitizo, kuna aina mbili za madikiteta!. Kuna Madikiteta Katili na Madikiteta wazuri!. Mada hii inawazungumzia madikiteta katili!, hivyo nawaomba wachangiaji msije kuanza kuchanganya madawa mkaanza kuwadhania watu humu!.
Namalizia kwa swali, jee wote tunaoshagilia hizi character assassination za sasa, ambazo we take them as "the sweet", jee tuko tayari to "to take the bitter with the sweet" ambao huu ni wakati tunashangilia kuwa hivi vidonge vitamu, tunavimeza kwa furaha na raha zetu huku tukishangilia!, jee wakati wa vidonge vichungu ukifika, pia tutavimeza kwa uchungu huku tukilia?, au tutaendelea tuu kuchagua ni vidoge gani tumeze!, vile vidonge vitamu tuu ndio tumeze, lakini vile vidoge vichungu tuteme?!.
Kwa sasa tuendelee kuuchekea huu udikiteta huku tukiushangilia kwa furaha, ila ukifikia wakati wa kulia, naombeni sana tusianze kulalamika.
Sisi wengine wenzenu ni waona mbali.
Nawatakia Jumatatu Njema.
Paskali
Update
Ni katika kukumbushana tuu kuwa tuendelee kumeza hii dose inayotolewa, kwa sababu wakati akigawa vidoge vitamu, tulivimeza kwa furaha, sasa anapotoa vidonge vichungu pia tumeze tuu hivyo hivyo!.Wanabodi,
Hivyo wandugu, tusije wote tukawa washangiliaji wa hiki kinachoendelea tukitaraji tutafika mwisho na wote watanyooka, kumbe huu ukawa ndio kwanza ni mwanzo tuu wa makubwa yajayo!.
Namalizia kwa swali, jee wote tunaoshagilia hizi character assassination za sasa, ambazo we take them as "the sweet", jee tuko tayari to "to take the bitter with the sweet" ambao huu ni wakati tunashangilia kuwa hivi vidonge vitamu, tunavimeza kwa furaha na raha zetu huku tukishangilia!, jee wakati wa vidonge vichungu ukifika, pia tutavimeza kwa uchungu huku tukilia?, au tutaendelea tuu kuchagua ni vidoge gani tumeze!, vile vidonge vitamu tuu ndio tumeze, lakini vile vidoge vichungu tuteme?!.
Kwa sasa tuendelee kuuchekea huu udikiteta huku tukiushangilia kwa furaha, ila ukifikia wakati wa kulia, naombeni sana tusianze kulalamika.
Sisi wengine wenzenu ni waona mbali.
Nawatakia Jumatatu Njema.
Paskali
Kuna kitu muhimu sana umekizungumza hapa, ukichimbua historia za utotoni, makuzi namalezi ya madikiteta wote katili duniani, they were once abused wakiwa watoto. Hili la kulea watoto kama watumwa ni changamoto kubwa sana kwa familia za kiafrika, mimi nilitumia, sasa I paying the price ya kule watoto kizungu!.Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Siku tukijuwa kujiheshimu wenyewe ndiyo tutajuwa kuheshimu binaadam wengine.
Binadam hata awe na makosa hatakiwi kudhadhalishwa mbele ya vyombo vya sheria. Hukumu ndiyo utaamua adhabu ama la. Na kama ni adhabu basi nayo hutolewa kwa mujibu wa sheria.
Tatizo kubwa la kutoheshimu haki za binadam huanzia kwenye malezi majumbani mwetu. Tunalea watoto kama watumwa, fimbo kwa kwenda mbele.
Mtoto aliyelelewa hivyo (abused) utegemee nini kutoka kwake?
PaskaliHulka hizo zinatokana na kitu kinachoitwa "deep rooted neurosis" kwa
baadhi ya madikiteta hawa kuwa waliteswa sana utotoni!, baadhi yao walikataliwa ndani ya familia zao!, na hii hutokea pale baba anapohisi huenda mtoto huyo sii wa kwake kwa kumhisi mkewe alichepuka!, mama naye kamwe hawezi kukiri kuwa alichepuka hata kama ni kweli alichepuka, (ukweli mwingine ni bora usisemwe kamwe), hivyo baba anakuwa anamtesa sana mtoto huyo, huku mama hawezi kuingilia kwa sababu anaujua ukweli!.
Mtoto wa aina hiyo anakuwa amekulia katika mateso makubwa ya ukatili, mateso ya kisaokolojia, mateso ya kutumikishwa hadi mateso ya mwili, vitu vyote hivi ukivijumlisha, vinamletea usongo mkubwa wa mawazo, unaomtia hasira kusoma kwa bidii na huku ana visasi ili kuonyesha mateso hayo ni jambo la kupita tuu!.
Na kweli wengi wa watoto wa aina hii, huja kufanikiwa sana, na wakiishafika at the top!, ndipo ile "deep rooted neurosis" ya kumbukumbu ya mateso ya utotoni iliyohifadgiwa kwenye "sub conscious mind" inaibuka na kupelekea kumfanya mtu huyo kuwa katili!, sadist, kwa ku inflict pain kwa njia za cruelity, torture or character assassinations, anaumiza na akiona mtu anaumia yeye ndio anapata furaha na gratification!, sometimes ukatili huu huingia hata katika mapenzi kwa kumpiga sana mpenzi wake au mke wake, baadhi ya wanaume wanakuwa ni wabakaji
Paskali
Vipi bado unaamni haya uloyaandika?Maelezo yako yote yamehitimishwa na paragraph ya tano.
Tanzania ilipofika na mazingira yaliyopo hatuwezi kufika huko unakodhani. Huu ni woga ambao ulitegemewa kwa sababu kinachofanywa na Rais kwa sasa kiko nje ya comfort zone za baadhi ya watu.
Ninafahamu ni wachache sana waliamini kama Rais Magufuli anaweza kumtumbua Kitwanga achilia mbali kumtumbua kwa aina kama ile huku Ikulu ikitoa Press Release yenye paragraph mbili ambazo ni fupi. Hii imekuwa ni shock hasa ikichuliwa kuna wengine walisha bet na kusema watavua nguo au watatembea uchi kama Kitwanga atafukuzwa kazi.
Watu wanaomfahamu kwa karibu Rais Magufuli hawashangai kwa kile anachokifanya.
Ninakuhakikishia subiri mahakama ya mafisadi ianze utashangaa watakao kamatwa na kushitakiwa.
Hizi unazoziita character assassination itabidi wazizoee na njia ya kuepuka fanya kazi kama mkataba wako unavyotaka au achana na public sector ili uingie kwenye private sector huku ukifuata sheria za nchi.
Rais Magufuli ni mtu anayechukia sana uonevu na uzembe lakini anaheshimu sana watenda mema kwa jamii hasa ya chini. Kwa sasa kuna watu hali zao kifikra ni mbaya sana kwa sababu hawafahamu hatima yao kutokana na madhambi yao.
Kama kuna watu wanadhani wanaweza kupambana naye ili kumkwamisha ni bora wasahau hilo wazo kwa faida ya freedom zao.
Yes, as human being, Rais Magufuli ana mapungufu yake ambayo ni tone dogo sana kulinganisha na mazuri yake. By the way, hatukuchagua Maraika na hatutegemei awe kama Maraika.
Ulikua sahihi Kwenye Uzi mkuu: sasa tumeshuhudia watu kuuawa hovyo, makanisa kutishiwa kufutwa na uchafu cgungu nzima. Hii big up yako kama sio kejeli basi ni dalili ya kumendea uteuziKwenye hoja ya udikiteta wa rais Magufuli, kuna madikiteta wabaya na madikiteta wazuri au madikiteta wema.
Madikiteta wazuri ni wale ambao wanafanya vitendo vya udikiteta kwa nia njema, hata ikibidi kuivunja katiba, au kukiuka sheria, taratibu na kanuni, kwa nia njema, ni udikiteta unaokubalika, mfano katiba inaruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano, rais Magufuli anataka watu wafanye kazi na sio kuwa wazururaji kwa kisingizio cha kufanya maandamano, au kuwa ni watu wanaokaa bure tuu kwa kisingizio cha kuhudhuria mikutano ya siasa, watu wenye muda wa kuhudhuria mikutano ya siasa kila siku ni watu wasio na kazi, hivyo kama tangazo lake la kupiga marufuku mikutano ya siasa na maandamano ni ili watu wasizurure ovyo, na wasikae onyo bila kufanya kazi, then huu ni udikiteta mzuri. Dikiteta wa aina hii anaitwa a benevolent dictator.
Hata kuachiwa kwa Babu Seya, sheria hairuhusu wabakaji na wauwaji kuachiliwa kwa msamaha wa rais, kilichofanyika pia ni udikiteta, ila umefanywa kwa nia njema kuwa vipindi walivyotumikia gerezani, wamejirekebisa, na sasa ni watu wema, hivyo udikiteta is not necessarily ni udikiteta mbaya, udikiteta mwingine ni udikiteta mzuri.
Big up sana rais Magufuli.
Paskali
Hearly, hii ni kweli, kuna baadhi ya makabila wanafundisha Watoto wao wa kike kuwa sex ni dhambi, wakati makabila mengine kama Wazaramo na makabila ya ukanda wa pwani, mabinti wakikua tuu huchezwa ngoma kwa kufundisha jinsi ya kumhudumia mwanaume, hivyo kwenye real life, kujikuta wanawake waliofunzwa sex is good, they enjoy, lakini wale waliotishwa kuwa sex is bad, it is sin, wanakuwa na inhibitions, hivyo wanawake wa type hii mnaweza mkapanga kabisa kila kitu, lakini kufika ndani anakugomea hadi ufanye purukushani, ndipo nguo zinavuliwa tena sometimes kwa kuchanwa!, na baada ya hapo miguu itafungwa hadi purukushani nyingine tena, ili tuu aingiliwe kama anabakwa ndipo anapata gratification, wengine huhitaji kupigwa!.kwenye paragraph ya tatu umeniacha hoi hapo kwenye wanawake wenye viashiria vya udikteta
wanaopenda kubakwa na kupigwa kabla ya tendo..
huko kubakwa ndio 3 some au..?? maana nilikuwa najua kuwa haiyumkiniki mtu mwenye akili timamu awe anapenda kuingiliwa kinguvu tena bila ya ridhaa yake !!!
zaidi yayote nimekuelewa vyema mkuu...
hadi usingizi umekata ghafla hii sentensi imenifanya niwaze sana mimiDalili ya Kwanza ya Kuelekea Kwenye Udikiteta ni Ku Crush The Opposition